Ufahamu kuhusu nyota za angani

Na kwann huwa zinaonekana usiku??
nyota huonekana usiku kwasababu mwanga wa jua unakuwa haupo ambapo mwanga huo wa jua unapokuwepo hukinga/huzidi mianga myengine ya nyota hivyo hufanya kutokuonekana kwa nyota ambazo zenyewe hutoa mwanga hafifu kutokana na kuwepo mbali.
 
Mkuu tunangojea kwa shauku sana, ila usisahau kujibu maswali yangu ya mwisho niliyouliza kuhusu PLEIADES
Sawa mkuu nitakujibu kuhusu Pleiades (Subaru au KILIMIA kwa kiswahili). Unajua kuna imani kuwa aliens wa kwanza waliokuja hapa duniani (na kuchanganya DNA zao ili kutupata sisi binaadam wa kileo) na kujenga pyramids, Mayan technology na vinginevyo wametoka katika sayari liliyopo katika moja ya nyota za Pleiades?

Kwa nini mkuu una shauku ya kujua zaidi kuhusu Pleiades au Kilimia?

Kuna imani pia kuwa hawa aliens kutoka Pleiades bado tunao hapa duniani bali wanachagua wakati gani waonekane na wakati gani wasionekane. Hii sio sayansi (haijathibitishwa kisayansi) bali ni dhana tu ya wale wanaoamini kuwa kuna aliens.
 
Hilo la Aliens kujenga pyramids tungependa kuyafamu zaidi. Mpaka sasa sijawahi kujua pyramids zilijengwa na nani na kwa madhumuni yapi, mwenye uelewa zaidi tafadhali atueleze pia.
 
Wakuu Kifyatu, Neo 1, yonga, Makanyanga na wengine naombeni mrudi kwa ajiri ya darasa letu.
Pamoja na maswali ninayosubiri kujibiwa naomba kujua kuhusu hii nyota inayoitwa Sirius inayoaminika kuwa ndio bright kuliko nyingine zote. Nyota hii iko kwenye galax yetu? Nyota zote ambazo ni more bright ziko kwenye galax yetu? Kuna sehemu nimesoma kuwa nyota hii inasogea zaidi kuelekea Solar system ambapo miaka 60,000 ijayo itaongezeka zaidi brightness, na baada ya miaka kadhaa itafifia. Nini kitatokea mpaka iwe hiyo? Sayari zipi zinazoonekana kwa macho na miezi gani na upande upi? Ntazitofautishashe na hizi nyota zenye mng'ao mkubwa?
 
Sawa mkuu nitakujibu kuhusu Pleiades (Subaru au KILIMIA kwa kiswahili). Unajua kuna imani kuwa aliens wa kwanza waliokuja hapa duniani (na kuchanganya DNA zao ili kutupata sisi binaadam wa kileo) na kujenga pyramids, Mayan technology na vinginevyo wametoka katika sayari liliyopo katika moja ya nyota za Pleiades?

Kwa nini mkuu una shauku ya kujua zaidi kuhusu Pleiades au Kilimia?

Kuna imani pia kuwa hawa aliens kutoka Pleiades bado tunao hapa duniani bali wanachagua wakati gani waonekane na wakati gani wasionekane. Hii sio sayansi (haijathibitishwa kisayansi) bali ni dhana tu ya wale wanaoamini kuwa kuna aliens.
"The Nephilim were on the earth in those days—and also afterward—when the sons of God went to the daughters of humans and had children by them. They were the heroes of old, men of renown."

Ukosoma Mwanzo 6:1- utaikuta habari ya wtu wanaoitwa Wanephils watu wrnye akili na mashujaa wa kitambo, ambao walikuwa ni chimbuko la wana wa Mungu walioshuka duniani na kuzaa na wadamu.
Pia Mwanzo 1:1 inasema hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia. Kwanini hapa ilitajwa sayari moja tu ambayo ni dunia? Kwanini haikusema Mungu aliumba mbingu na vyote vilivyomo?
Najaribu kukonekti dots kati ya uhusiano wa Mungu, Heavens ambayo nadhani ndio universe, Pleiades ( Nyota subaru) uwepo wa aliens kutoka katika nyota hizo kuja sayari dunia na kumodify DNA na kupatikana watu wenye akili sana na kifungu hicho cha biblia.
Ndomana naitamani sana Quantum mechanics in relation with spirituality/consciousness
Karibu sana mkuu Kifyatu na somo hilo
 
Mkuu Kifyatu na yonga mmeadimika wakuu. Tunasubilia mwendelezo wa Quantum and consciousness
 
Kama kusubilia mwendelezo wa uzi wetu pendwa imekuwa too much sasa. Mengi sana tumelimishana mpaka hapa tulipofikia lakini si vyema kuachia hapa maana tumebakisha sehemu nzuri sana kati ya sisi binadama na uhusiano wa kutokea kwa ulimwengu na uwezekano wa kuwepo maisha mengine out there spiritually or phyisically may be. Kwa wenye ufahamu tuendelee
 
mkuu swala la kuwepo maisha mahala pengine bado ni nadharia coz mpk sasa hakujathibitika hilo,ila tunahisi hivyo kwasababu ya kuchagizwa na mazingira i mean kuwepo kwa solar systems nyengine(stars) na kuwepo kwa sayari.. kwahiyo hapo tu kumetoa priority ya kufikiri kuwepo kwa viumbe wengine lkn mpk sasa hakujathibitika kuwepo na viumbe.
binafsi nadhani huenda wakawepo ila umbali na technologia yetu bado haijaweza kutung'amurisha na kuthibitisha hayo..
ipo kazi kwelikweli
 
Sasa huwa najiuliza sana hili swala la Alliens, kuwepo kwa conspiracies nyingi zinazoelezea uwepo wa hawa viumbe toka sayari zingine na kugundulika kwa earth like planet strucures inatuaminisha labda kuna uwezekano mkubwa wa uwepo wa viumbe vingine.
Ni kweli kuna mkanganyiko mkubwa na na kwa mkanganyiko huo haiwafanyi wanasayansi waache tafiti. May be one day watagundua jambo zuri na lenye faida kwa binadamu moja kwa moja. Wacha tuendelee kufuatilia
 
26863465df242a55e9e3a342d0be7ea6.jpg
Mungu ni habari nyingine!
 
Hawa ndugu zetu akina Kifyatu, yonga na wengine sijui nini kimewapata, labda majukumu yamewazidi wanashindwa kupata muda wa darasa hili. Any way bado tunawasubiri.
 
Back
Top Bottom