Ufafanuzi wa tetesi ya upatikanaji wa huduma ya Internet inayosambazwa na kampuni ya Starlink kupitia Roaming

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,541
Reaction score
916
Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming

Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo

Mtandao wa kampuni yake haupatikani au
Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi)

"Unapotumia nyumba ya jirani kwa muda kwa sababu nyumba yako haipo karibu"

Swala la Roaming ya Starlink Tanzania linashangaza sana ni jambo geni duniani kwasababu ni kampuni ipi nyingine inayotoa huduma Tanzania ndipo kampuni ya Starlink iweze kupokea huduma kupitia vifaa vya Starlink

Kama huduma hiyo ya Roaming inatolewa na kampuni hiyo hiyo ya Starlink basi ni kinyume na Sheria kwasababu vifaa vyake vimehusika kusambaza huduma yake mwenyewe ambayo haijaruhusiwa Tanzania kisheria

Na Elon Musk atakuwa ni msomi wa aina gani hii inayokiuka sheria za dunia kwa kiasi hiki, ni jambo la kushangaza sana kwasababu hatujazoea kuona wasomi wa kiwango hiki cha elimu wakifanya mambo ya hovyo kiasi hiki

Pengine Roaming iwe ni upotoshaji lakini kama ni kweli basi Elon Musk atapoteza sifa ya kuwa msomi wa hali ya juu
 
Hivi una tatizo gani na starlink! Hii ni Makala ya pili. Nani kasema ni msomi?
Nafafanua upotoshaji na sio kuhangaika na kampuni ya Starlink
Watu wengi wanapenda kuzungumza uongo katika mitandao ya kijamii, uongo unaowaingiza watu wengine kwenye hasara au matatizo
 
Una shida si bure!

Una shida si bure!

Sidhani kama ni tatizo kwasababu upotoshaji huu unaweza kuwaingiza hasara Wananchi kwa kununua vifaa visivyofanya kazi au kuingia katika matatizo ya kisheria ndiyo sababu ya kutolea ufafanuzi
 
Starlink imezidi kukutoa ufafanuzi na utu, me nilijua utu umekutoka kwenye kufurahia mauaji ya D9 tuu, kumbe unachuki na kila kizuri kwa watanganyika
 
Hili la Starlink nimelizungumzia kisheria na ndivyo lilivyo sijaliweka kwa namna ya kisiasa
Na sijajua ni lini nilifurahia tatizo hilo sana sana nilizungumzia kisheria lakini nikabebeshwa lawama
 
Elon Musk atapoteza sifa ya kuwa msomi wa hali ya juu...

Kwanini labda una upima usomi wa Elon kwa tetesi za kutoa huduma as ulivyotuelewesha kwamba atapoteza sifa...

Yaani ikiwa kweli roaming ipo basi anakuwa sio msomi wa hali ya juu?
 
Roaming sio tatizo lakini tatizo ni roaming inayovunja sheria za dunia
Kuvunja sheria inatafsiriwa kama uhalifu na uhalifu unawezakumpunguzia sifa ya kiwango chake cha elimu akaonekana kuwa ni mtu wa hovyo
 
Kwanza kabisa nianze na maana ya Roaming

Roaming ni huduma inayoruhusu mteja wa kampuni moja ya mawasiliano kutumia mtandao wa kampuni nyingine, pale ambapo

Mtandao wa kampuni yake haupatikani au
Yuko nje ya eneo analohudumiwa kawaida (ndani au nje ya nchi)

"Unapotumia nyumba ya jirani kwa muda kwa sababu nyumba yako haipo karibu"

Swala la Roaming ya Starlink Tanzania linashangaza sana ni jambo geni duniani kwasababu ni kampuni ipi nyingine inayotoa huduma Tanzania ndipo kampuni ya Starlink iweze kupokea huduma kupitia vifaa vya Starlink

Kama huduma hiyo ya Roaming inatolewa na kampuni hiyo hiyo ya Starlink basi ni kinyume na Sheria kwasababu vifaa vyake vimehusika kusambaza huduma yake mwenyewe ambayo haijaruhusiwa Tanzania kisheria

Na Elon Musk atakuwa ni msomi wa aina gani hii inayokiuka sheria za dunia kwa kiasi hiki, ni jambo la kushangaza sana kwasababu hatujazoea kuona wasomi wa kiwango hiki cha elimu wakifanya mambo ya hovyo kiasi hiki

Pengine Roaming iwe ni upotoshaji lakini kama ni kweli basi Elon Musk atapoteza sifa ya kuwa msomi wa hali ya juu
Yaani we kvma ambaye hata chekechea hujaenda na umetandaza kvma yako chafu hapo kwa shemeji yako ndio wa kudoubt usomi wa Elon Musk ? , Unaingiliwa kinyume na maumbile wewe sio siri
 
Sasa **** ina ubaya gani kwasababu ni nyumba tuliyoishi wote tulipokuwa vijusi na vipi kuhusu kuingiliwa kinyume na maumbile aliyeingilia na aliyeingiliwa ni nani hao na waingiliane ili iweje vile vile kuna uhusianao gani na Starlink
 
Back
Top Bottom