Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

Characters wanaongezeka kwenye hii movie,as long as episode zinavozidi kukua,,,,,sasa ameongezeka GWAJIMA NA WALINZ WAWIL WA KANISA,,,,,,kuanzia kesho tutarajie mengi
 
Kitu na Tambua katika Jinai,MTAMBULIWA na MUHUSIKA ni ACUSSED PERSON,why not Msangi aliyedaiwa wallet na simu,wa pili yule afisa waliyekuwa nae bar kwani polisi wamefungua kitengo cha cyber crime kwa nini wasichunguze namba zilizotumika na yule afisa aliyejitambulisha wa usalama , mbona majambazi yanashikwa mara moja kwa mtego huo?tunawekewa kichaa hapo je hawa askari hawawezi kufanya uchunguzi,ok finaly walikuwa watu 4/5 kama huyo Gwajima planted(chizi) ASIWATAJE wale alikuwa nao ni fulani na fulani na case yenyewe ni PUBLIC INTEREST kama ameamua kutubu?au ilikuwa inatakiwa kauli "HAKUNA MAANDAMANO KWA SABABU SWALA LIKO MAHAKAMANI"kama walivyotiwa loba Wahesimiwa,wa MJENGONI? ni vitu vidogo vya (2+2=4),na muathirika kamtabua wapi huyo chizi wa kikenya,ila Mungu ni Mwema Kwa Mungu Kumsirikisha katika hili ni kosa kubwa labda asiwe huyu Mungu ninae mjua mimi (MUNGU WA ISRAEL,ISAKA,YAKOBO yaani YEHOVA) kwa vile wanataka kumshirikisha Mungu atawaumbua na UKWELI utakuwa WAZI ndani ya muda si mrefu na kuanzia hapo UHAI/AFYA ya ulimboka itaimarika maradufu kwa sababu wamemchokoza NIKO AMBAE NIKO!NA NAOMBA NAFASI KATIKA TUME HURU !stay tuned
 
Sijawahi kusikia mtu kapelekwa mahakamani na kashtakiwa wakati material witness yuko hospital. Ulimboka akikana kua huyo mkenya sie aliyemdhuru itakuaje?
 
Sijawahi kusikia mtu kapelekwa mahakamani na kashtakiwa wakati material witness yuko hospital. Ulimboka akikana kua huyo mkenya sie aliyemdhuru itakuaje?

Na wanampeleka mahakamani huku wakiamini kuwa ni kichaa! only in Tanzania.
 
kuna taarifa kutoka kwa watu waliokuwa kwenye ibada pale kawe kuwa tarehe iliyotajwa na GWAJIMA NI 29 NA SIO 26 kama alivyodai mtoa maada...so kama kuna mkanganyiko wowote(hasa unaotokana na kusikia) tunaomba mwaanzisha thread asahihishe kuondoa utata...lakini ukweli uko pale pale kova kachemka
 
Ukifatilia hii story kama hadithi kwa watoto wadogo,hivi in real sense why did they keep cool toka walivyompata huyo kichaa ambaye wanadai ni mtuhumiwa kwenye sakata la Uli?
 
Huyo anadaiwa ndiye alimteka dr. Ulimboka ni uongo mtupu na ni propaganda za magamba na serikali yake kutaka kuficha ukweli. Mtekaji wa Dr. Ulimboka na serikali yenyewe. Kila mtu anajua na hata wakitaka kupotosha ukweli hawataweza kamwe na damu ya Dr. Ulimboka itakuwa juu ya serikali hii dhaifu.
Walinzi hawakumruhusu kumwona Mch Kiongozi kwani walidhani ni kichaa au aliyekuwa na mission. Hata hivyo mtu huyo hakusema anataka kumwona Mch kutubu maana ni kanisa Katoliki pekee lenye utaratibu wa kutubu kwa Padri
 
Sijawahi kusikia mtu kapelekwa mahakamani na kashtakiwa wakati material witness yuko hospital. Ulimboka akikana kua huyo mkenya sie aliyemdhuru itakuaje?
sio material witness pekee (nikimaanisha victim kwa ulivyomtaja ulimboka) ndiye muhimu kuliko other witnesses. kumpeleka court kama wameshafanya hivyo hawajakosea kitu chochote, kwani si lazima ulimboka atoe ushahidi kama kutakuwa na mashahidi wengine potential kuliko yeye. Binafsi, nikiwa out of topic, nilimwonea huruma ulimboka kwasababu mateso aliyoyapata ni makubwa kupta kiasi, na yanaweza kumfanya mwanadamu yeyote achanganyikiwe akili kwasababu haielezeki...unangólewa kucha, meno, unapigwa, uko chini ya utekaji, pigwa hadi asubuhi, watu wanakujadili kuwa wanataka kukuuua, alafu mwishoni wakifikiri umekufa wanakutupa na wewe unapona kwa neema ya Mungu.....ni mateso beyond any human understanding/explanation.
 
Udini uko wapi sasa hapo?? au kwakua umeona SaidAlly amecomment ndio umeanza na hisia za Udini??

Nilichopinga hapo ni kua Wakatoliki peke yao ndio huwa wanatubu kwa Padri, hiyo sio kweli hata Waanglikana wanatubu kwa Padri pia. Tatizo ni lipi hapo?? Fanya utafiti utabaini na sijasema hivyo nikiwapuuza isipokua ndio utaratibu wa dini zao ulivyo.

Nieleze udini uko wapi hapo ili kama nimekosea niwatake radhi nitakaokua nimewakwaza, ninachokiona hapo wewe ndio mdini maana umeacha kutafuta ukweli umekimbilia kutazama jina SaidAlly.
SaidAlly, tatizo ni hili...usilolijua ni kama usiku wa giza, Waanglikana na padri wapi na wapi!
 
Last edited by a moderator:
Jamani hata sijui koku aaaah its kova anajua serikali ndio mhusika ndio maana akasema kwenye taarifa yake ya kuchonga kuwa aliemtuma huyo mkenya ni mtu wa serikali
 
Na wewe acha kupotosha taarifa. Hata kama mtuhumiwa alifika kanisani tar 29, bado inajikanganya na tarehe aliyotaja kova.
 
Back
Top Bottom