Ufafanuzi: Tundu Lissu ni muislamu?

Ufafanuzi: Tundu Lissu ni muislamu?

Status
Not open for further replies.
sijasema, nimeomba ufafanuzi. kwani kutokuvaa kanzu ndio kutokuwa muislamu?

Agustino Lyatonga Mrema huwa anavaa kibandiko...

Je mtu huyu imani yake ni Ukristo au Uislamu?
 
Kuvaa kazu hata vichaa wanavaa Kwani ni waislamu unachunguza dini ya ya ili iweje?itakusaidia nini kama unatafuta mume yule ameoa.
 
Samahani kwa watakaoona hii ni hoja nyepesi.

Mwaka jana nikiwa mkoni Mbeya nilikutana na mtu ambaye aliniambia Tundu Lissu ni Muislamu nikapuuzia.

Leo ninapitia gazeti la Mwananchi na nimekuta imeandikwa kwamba huko Dodoma ni wiki ya Pili sasa bwana Tundu Lissu anavaa kanzu kila siku ya Ijumaa Japo wameandika ni Mkristo.

Zaidi ni kwamba, kwenye post aliyoweka ng'wanapalala juu ya kutokueleweka kwa huyu bwana kwenye video ya mahojiano yake na kina Salama kwenye kipindi cha Mikasi alipogundua inajengwa hoja ya kuonyesha kwamba yeye haipendi Zanzibar akadai hata muda huo mke wake yuko Zanzibar kwenye harusi, na kwamba huko Zanzibar yeye ana marafiki binafsi wengi tu.

Alafu tukisha jua:what::what:
 
Kwahiyo kama ni muislam, uislamu wake utakusaidia nini wewe. Wewe hangaika na uislamu wako tenda mema uione pepo. Hata hivyo kuulizia ulizia dini za watu ni dalili za ujinga.
 
wewe una ushahidi kwamba ni mkristo?

Wewe una ushahidi kwamba ni muislam? Kuvaa kanzu mbona hata vibabu vya Bukoba vinavyaa kanzu huku vinasukuma lubisi kwa kwenda mbele?
 
'Ukimuona mtu anakimbilia kwenye udini, ukabila na umajimbo, uelewe kuwa huyo mtu amefilisika kisiasa' - Mwalimu Nyerere, 1995
 
Kwani kanzu ni
Nguo ya kiislam au ni utamaduni ?wahaya wakioa siku ya harusi lazma mume avalishwe kanzu ukumbini na kupewa mkuki na panga, je wahaya wote ni waislam? Au wawindaji?
Yesu kristo sikuwahi kusikia kavaa suruali au kaptula, pia mapdre wanavaa na papa wao , je papa, yesu na mapadre , na wamisionari ni waislamu?
 
Wewe una ushahidi kwamba ni muislam? Kuvaa kanzu mbona hata vibabu vya Bukoba vinavyaa kanzu huku vinasukuma lubisi kwa kwenda mbele?
Ndio maana nauliza kanzu ni nguo ya dini? Hata ivo inakuwaje watu waanza kuchunguza dini za watu? Kuwa muislam au mkiristo ni habari kweli???
 
Uislam na Ukristu wenu umewasaidia nini?. Mbona mmebaki kuwa maskini wa kutupwa dunia hii...Wenye dini zao wanakula pepo hukuhuku duniani...nyie subirini pepo yenu baada ya kufa...
 
Kwahiyo kama ni muislam, uislamu wake utakusaidia nini wewe. Wewe hangaika na uislamu wako tenda mema uione pepo. Hata hivyo kuulizia ulizia dini za watu ni dalili za ujinga.

Ujinga pamoja na upumbavu....kwani dini ni uadui?kwa nini tuangaliane kwa Imani? Mleta mada ni mdini mkuu msaidizi!!
 
1423372333849.jpg
 
sijasema, nimeomba ufafanuzi. kwani kutokuvaa kanzu ndio kutokuwa muislamu?

Mbona umepewa ufafanuzi kuwa ni mkiristo lakini bado huelewi. Umeuliza umejibiwa lakini bado kichwa kigumu tu.
 
We are one, that's the is the message from him and others who do the same
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom