Ufafanuzi: Tundu Lissu ni muislamu?

Ufafanuzi: Tundu Lissu ni muislamu?

Status
Not open for further replies.

Sangarara

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
13,104
Reaction score
5,665
Samahani kwa watakaoona hii ni hoja nyepesi.

Mwaka jana nikiwa mkoni Mbeya nilikutana na mtu ambaye aliniambia Tundu Lissu ni Muislamu nikapuuzia.

Leo ninapitia gazeti la Mwananchi na nimekuta imeandikwa kwamba huko Dodoma ni wiki ya Pili sasa bwana Tundu Lissu anavaa kanzu kila siku ya Ijumaa Japo wameandika ni Mkristo.

Zaidi ni kwamba, kwenye post aliyoweka ng'wanapalala juu ya kutokueleweka kwa huyu bwana kwenye video ya mahojiano yake na kina Salama kwenye kipindi cha Mikasi alipogundua inajengwa hoja ya kuonyesha kwamba yeye haipendi Zanzibar akadai hata muda huo mke wake yuko Zanzibar kwenye harusi, na kwamba huko Zanzibar yeye ana marafiki binafsi wengi tu.
 
Mkatoliki safi toka kijiji cha mahambe wilaya ya ikungi mkoa wa singida, by the way udini hautatufikisha popote

are you sure mkuu?

Au kwa vile alipokuwa mdogo alikuwa anakwenda sunday school?
 
Kwa hiyo unasema Tundu Lissu ni muislamu kwa kuwa anavaa kanzu? Kwani kuvaa kanzu kuna uhusiano gani na dini? Kanzu ni vazi kama mavazi mengine na sio sahihi kulihusisha vazi hilo na uislamu.

Tiba
 
Kwa kawaida watu wanaohoji au kujitambulisha kwa dini au kabila huwa wanaupungufu fulani katika makuzi yao.

hivi kama dini sio kitu cha muhimu kwa nini binaadamu wenye imani kwenye mambo hayo ni wengi kuliko wasio amini? au ndio umekariri mafundisho ya mwalimu.

wamarekani wako wanajadili kama Obama ni Mkristo kweli au la! nao hawana wanaupungufu wa akili?
 
Waislamu bana mnavutia kwenu wasomi kwa lazma pelekeni watoto shule wakasome
 
Kwa hiyo unasema Tundu Lissu ni muislamu kwa kuwa anavaa kanzu? Kwani kuvaa kanzu kuna uhusiano gani na dini? Kanzu ni vazi kama mavazi mengine na sio sahihi kulihusisha vazi hilo na uislamu.

Tiba
sijasema, nimeomba ufafanuzi. kwani kutokuvaa kanzu ndio kutokuwa muislamu?
 
Start date 20 January 1968
Home Town Singida
Affiliation Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA)
Country Tanzania
Current
office
Office: Mbunge (Singida
Kusini-Mashariki)
District: Singida Vijijini
Party: Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA)
Political
views Other
Religious
views Christian
Gender Male
 
Start date 20 January 1968
Home Town Singida
Affiliation Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA)
Country Tanzania
Current
office
Office: Mbunge (Singida
Kusini-Mashariki)
District: Singida Vijijini
Party: Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA)
Political
views Other
Religious
views Christian
Gender Male

hizi information lissu aliziverify?
 
Acha kukariri kuvaa kanzu kila ijumaa haimaanishi kama mtu ni muislamu. Kwani uislamu si kanzu
 
Pia hata hoyo Asha Rose Migiro sina hakika kama ati naye bado Muislaamu.
Hapo pia pana maelezo mapana mno.

Ama ndo twachanganywa na mayina yao ...!? Mfano David Ramadhan au yule alokuwa Jaji mkuu @Augostino Ramadhan.

Nikieka mantiki kuwa mayina si huja, bali huja ni Uislaam ni matendo.

Ahsanta na nipo kipembeni hapa najifunda.
 
Last edited by a moderator:
Acha kufikiria udini na usilazimishe upeo wako kwamba kila mtu avaapo kanzu ni muisilamu. Kanzu ni kama vestment mengine. Kwahiyo waweza sema kwamba mapadri ni waisilamu coz wanavaa kanzu? Usikariri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom