Ufafanuzi: Tundu Lissu ni muislamu?

Ufafanuzi: Tundu Lissu ni muislamu?

Status
Not open for further replies.
Sangarara umevurugwa kila kona...Umeambiwa Lissu si Muislam ila bado unakomaa...

Lissu ni Mkristo Mkatoliki.....PERIOD
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka kujua imani yake, angalia mpangilio wa hoja zake.....! Unaweza kugundua kuwa ni Muislamu "Shia" au Mkristo Mkatoliki!!!!
 
Nyerere alikuwa anavaa kofia wanazovaa waislamu je na yeye alikuwa muislam,vazi si dini
 
Tundu Lisu ndie mwanasiasa anayeongoza kujadiliwa mitandaoni kuliko hata rais Jakaya
 
Kwani kuvaa kanzu na kikofia ni uisilamu!
samahani kwa watakaoona hii ni hoja nyepesi.

Mwaka jana nikiwa mkoni mbeya nilikutana na mtu ambaye aliniambia tundu lissu ni muislamu. Nikapuuzia.
Leo ninapitia gazeti la mwananchi na nimekuta imeandikwa kwamba huko dodoma ni wiki ya pili sasa bwana tundu lissu anavaa kanzu kila siku ya ijumaa.japo wameandika ni mkristo.

Zaidi ni kwamba, kwenye post aliyoweka ng'wanapalala juu ya kutokueleweka kwa huyu bwana kwenye video ya mahojiano yake na kina salama kwenye kipindi cha mikasi alipogundua inajengwa hoja ya kuonyesha kwamba yeye haipendi zanzibar akadai hata muda huo mke wake yuko zanzibar kwenye harusi, na kwamba huko zanzibar yeye anamarafiki binafsi wengi tu.

Sasaa .........
 
Ni kweli anaitwa omari Lissu.na pia kaoa maana babu mpaka sasa hajaoa.
 
Ikiwa utathibitisha ni muislm au mkristo itakusaidia nini? Ningekuona makini labda ungeuliza hivi. Je T, Lissu ni dini ya nyiramba au nyaturu, ningekuona una fikra ndefu,baadhi ya wa tz wameathirika sana na makabila kikrist na kislam,tuamke jamani
 
Napenda sana majina kama haya ya kina Tundu,Kimweng'enya, Msambila, Mwigulu. nk Yaani bila kuwaona wakiingia msikitini ama Kanisani huwezi jua huyu ni dhehebu gani. Kwa namna moha ama nyingine hii ingetuondolea udini ktk ajira na sekta nyinginezo ktk Serikalini na taasisi binafsi.

Mkuu Sangarara hata mimi nimekuwa nikipata wasiwasi juu ya dini ya huyu Kamanda, Nashukuru kwa mada yako atleast leo nimeweza kuosha uelewa wangu juu ya huyu Nguli wa Sheria hapa Nchini

Halafu Mkuu Otorong'ong'o usipanic kihivyo Kamanda wangu sisi ni watoto wa baba mmoja adui yetu ni mmoja...!!

Good night.

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Samahani kwa watakaoona hii ni hoja nyepesi.

Mwaka jana nikiwa mkoni mbeya nilikutana na mtu ambaye aliniambia Tundu Lissu ni Muislamu. nikapuuzia.
Leo ninapitia gazeti la Mwananchi na nimekuta imeandikwa kwamba huko Dodoma ni wiki ya Pili sasa bwana Tundu lissu anavaa kanzu kila siku ya Ijumaa.Japo wameandika ni Mkristo.

Zaidi ni kwamba, kwenye post aliyoweka ng'wanapalala juu ya kutokueleweka kwa huyu bwana kwenye video ya mahojiano yake na kina salama kwenye kipindi cha mikasi alipogundua inajengwa hoja ya kuonyesha kwamba yeye haipendi Zanzibar akadai hata muda huo mke wake yuko Zanzibar kwenye harusi, na kwamba huko Zanzibar yeye anamarafiki binafsi wengi tu.

sasaa .........

Hata Pengo na bosi wake Papaa wa Vatikano wanavaa kanzu.
 
Samahani kwa watakaoona hii ni hoja nyepesi.

Mwaka jana nikiwa mkoni Mbeya nilikutana na mtu ambaye aliniambia Tundu Lissu ni Muislamu nikapuuzia.

Leo ninapitia gazeti la Mwananchi na nimekuta imeandikwa kwamba huko Dodoma ni wiki ya Pili sasa bwana Tundu Lissu anavaa kanzu kila siku ya Ijumaa Japo wameandika ni Mkristo.

Zaidi ni kwamba, kwenye post aliyoweka ng'wanapalala juu ya kutokueleweka kwa huyu bwana kwenye video ya mahojiano yake na kina Salama kwenye kipindi cha Mikasi alipogundua inajengwa hoja ya kuonyesha kwamba yeye haipendi Zanzibar akadai hata muda huo mke wake yuko Zanzibar kwenye harusi, na kwamba huko Zanzibar yeye ana marafiki binafsi wengi tu.

Kanzu sio uislam!!
 
wewe una ushahidi kwamba ni mkristo?

Pia hata hoyo Asha Rose Migiro sina hakika kama ati naye bado Muislaamu.
Hapo pia pana maelezo mapana mno.

Ama ndo twachanganywa na mayina yao ...!? Mfano David Ramadhan au yule alokuwa Jaji mkuu @Augostino Ramadhan.

Nikieka mantiki kuwa mayina si huja, bali huja ni Uislaam ni matendo.

Ahsanta na nipo kipembeni hapa najifunda.

Asharose ni muislam safi.
Hata hivyo tunauhitaji utanzania wake na uzalendo wake na sio imani yake.

Sokoine alikua mkristo magumashi akiwa ameoa wake wengi lakini alikua mzalendo .Dini yake haina historia kwetu na haitusaidii kitu kwani hii nchi sio ya dini za wakoloni na sio koloni la dini za ulaya na asia.
 
Uislaam Safi waifahamu weye ama watania DINI ...!?
 
Samahani kwa watakaoona hii ni hoja nyepesi.

Mwaka jana nikiwa mkoni Mbeya nilikutana na mtu ambaye aliniambia Tundu Lissu ni Muislamu nikapuuzia.

Leo ninapitia gazeti la Mwananchi na nimekuta imeandikwa kwamba huko Dodoma ni wiki ya Pili sasa bwana Tundu Lissu anavaa kanzu kila siku ya Ijumaa Japo wameandika ni Mkristo.

Zaidi ni kwamba, kwenye post aliyoweka ng'wanapalala juu ya kutokueleweka kwa huyu bwana kwenye video ya mahojiano yake na kina Salama kwenye kipindi cha Mikasi alipogundua inajengwa hoja ya kuonyesha kwamba yeye haipendi Zanzibar akadai hata muda huo mke wake yuko Zanzibar kwenye harusi, na kwamba huko Zanzibar yeye ana marafiki binafsi wengi tu.

na wanaovaa hereni wote ni wanawake? hata wahaya kanzu ni vazi lao la jadi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom