tifamo lanjamwa
Member
- Feb 5, 2017
- 24
- 13
John heche njoo uliweke sawa hili,UBASHITE hautakiwi popote pale.
MBONA MNACHEZEWA AKILI NA MPUMBAVU MMOJA ......HANA MATOKEO YA MUSOMA TECH YA WEGESA....HANA DETAILS ZA JOHN HECHE...ILA KAAMUA KUTUFANYA WOTE NI WAPUMBAFU KAMA YEYE......ACHANENI NA HUYU MPUMBAFU
vipi kuhusu Makonda una Details zozote au vyeti vyake au mmeamua tu.!Yaani wewe unampinga hadi Heche mwenyeweUmekosea Wegesa ni jina la kike so acha utoto na Umbea
Heche ndio jina lake kwa watu tunaomjua toka anazaliwa
hebu kasome post namba moja.Tunakuombea safari njema. Usisahau mrejesho mara tu utakapofika huko "Call Me J"Niko njiani naelekea koromije
Dabby=Derby
Acha kujifaragua.
Ila kwa kada mwenzio bashite umejitia upofu gamba weweMaelezo meengi, hata hayaleti maana, hapa kuna harufu ya kuiba jina la mtu!
Acha kujifaragua.
Ndugu wanaJF,
Nimelazimika kuanzisha thread hii kwa lengo moja tu la kutoa ufafanuzi juu ya upotoshwaji wa jina la mwenyekiti wa baraza la vijana Chadema unaofanywa na kundi la masalia kwa sababu maalum.
Mwishoni mwa mwaka jana TUNTEMEKE aliwahi kuibuka na madai kama haya kwamba John Heche anatumia cheti cha ndugu yake, na kwamba hakuwahi kusoma chuo kikuu cha mtakatifu augustino (SAUT) cha mwanza. Leo tena katika thread iliyoanzishwa na mwanamasalia aliyetimuliwa Chadema bi. Juliana Shonza amejitahidi sana kutumia jina la Wegesa Charles Suguta ama Wegesa Suguta.
Bila shaka ameamua kufanya hivyo kama muendelezo wa tuhuma walizozianzisha kundi la masalia kwa kutumia ID yao ya kundi ya Tuntemeke kama nilivyoeleza hapo mwanzo. Hili kundi la PM7 linataka kumuonyesha John Heche kwamba naye amegushi jina kama walivyo baadhi ya viongozi wakubwa huko ccm (wafadhili wao). Mathalani imetajwa mara kadhaa kwamba miongoni mwa watu wanaotumia majina ya kugushi huko ccm ni pamoja na Naibu katibu mkuu bara Bw. Mwigulu Nchemba (Lameck Madelu?) na Dr. HKigwangalla (Saidi Bagaile?) ambao wanadaiwa kutumia majina ya bandia.
Sasa nirudi kwenye hoja ya msingi. Kawaida sisi wakurya hata kama umezaliwa mjini ama katika mazingira ya mbali na nyumbani/kijijini lazima unapewa jina la kikurya, kwahiyo kwa wakurya wengi wanakuwa na majina mawili ama matatu lakini yote yakiwa ya mtu mmoja.
Kwa mfano mwalimu Nyerere, majina yake ni Julius Kambarage Nyerere(Julius jina la kikristo). Kuna mwanae Charles Makongoro Nyerere (Charles jina la kikristo), kuna Dr. James Mnanka Wanyancha-mwenyekiti wa Road Fund (James jina la kikristo), Marehemu Jenerali Ernest Mwita Kyaro (Ernest jina la kikristo), Jenerali mstaafu George Marwa Waitara (George jina la kikristo. Nadhani kwa kutaja hao wachache mnaweza kuona scenario ya majina ya kikurya, naamini kuna makabila mengine yenye utamaduni kama wa kwetu.
Sasa nije kwa John Heche Suguta:
Jina lake la kikurya ni Wegesa na baba yake mzazi anaitwa Heche Suguta. Wegesa Heche Suguta jina lake la kikristo ni John, ndipo sasa unapata John Heche Suguta. Jina la kikristo la baba yake John Heche (Heche Suguta) ni Charles, ndipo sasa unapata Charles Heche Suguta.
Katika vyeti vyake vya shule John Heche anatumia jina la Wegesa Charles Suguta (Wegesa Suguta). Aliandikishwa shule kwa jina la Kikurya na akaendelea kulitumia katika harakati zake zote za kishule. Ndugu zake na John Heche ni pamoja na Bw.Manchare Heche Suguta (Mwanasheria NEMC), Chacha Heche Suguta (M/Kiti Bavicha Tarime) na Mome Heche Suguta (Tarime) kwa kutaja wachache ambao angalau wanafahamika na watu wengi.
Nimalizie kwa kuwajulisha masalia kwamba kama mnadhani mnaweza kumchafua Bw. John Heche kwa staili ya majina basi nawashauri msahau kwakuwa watu wote waliokua nae toka utotoni Tarime, shuleni alikosoma sekondari ya Bulima (O level), Musoma Alliance (A level), Bunda TTC na hatimaye SAUT Mwanza wanamfahamu sana John Heche kwa majina yote mawili.
John Heche aligombea na kushinda kiti cha udiwani Tarime mjini mwaka 2008 katika uchaguzi mdogo kufuatia kifo cha Chacha Wangwe, kwa kumshinda mbabe wa Tarime Bw. Peter Zakaria. Wakati huo alikuwa mwanafunzi wa chuo cha mtakatifu augustino (SAUT) Mwanza. Kama angelikuwa anatumia majina ya bandia ama majina ya mtu mwingine bila shaka hilo lisingejificha wakati wa kampeni za uchaguzi.
Baada ya kusema hayo nadhani nime-clear doubts zilizokuwa zimeanza kujitokeza kwa baadhi ya watu hapa JF.
Nawatakia jioni njema.
Broo utanipitia ni nakaa ubungo kibangu.it will be my first time kusali kwa baba mpendwa askofu Gwajima,homa ya jijiGwajima kaumwaga wote mpaka vyeti anavyo.Jumapili tunategemea na wazee kutoka kijijini.Leta na wewe wa kwako.
Bila kusahau sadaka ya elf 50 ikiwa ndani ya bahasha ya kakiBroo utanipitia ni nakaa ubungo kibangu.it will be my first time kusali kwa baba mpendwa askofu Gwajima,homa ya jiji
. number yangu ni 0780001266.
Hapa lazima nikamsikilize yule mgeni kutoka ikolomije.
Acha kujifaragua.
UZURI MAJIBU YA HECHE YALIKUWAPO TANGU AKIWA DIWANI, YAPO AKIWA BAVICHA NA YATAKUWAPO KWA MIAKA MITANO BUNGENI , huyu wetu hataki na anapuuza hoja ya UCHAFU mkubwa kwa KIONGOZI WA UMMA. TUNAMTAKA AMSAIDIE RAIS KUJIBU UCHAFU HUU... AMA AJIONDOE. KIONGOZI NI DIRA kamwe HAWEZI KUWA MVIZIAJI.....ANAVIZIA SASA NA WOTE TUNAMUONA ANAVIZIAVIZIA.....MSHAHRA WA MWAKA HUU HAUJAONGEZWA NA MOJA YA SABABU NI KUANGALIA KAMA TUNAO WATUMISHI WA UMMA WENYE KUKIDHI MATAKWA NA TAARIFA SAHIHI ZIWAHUSUZO.....AJE AONYESHE UHALALI WA YEYE KUWA NI A NA SIYO B....ALIFANYA HIVYO KWENYE BASTOLA WHY NOT VYETI NA UHALALI KUWA HAJAGHUSHI ELIMU KUANZIA MSINGI AU SEKONDARI AU VYUONI .....SIMPLE , NA CCM INAPASWA KULISEMEA HILI HARAKA KABLA UMMA HAUJATUGEUKIA.... SI DOGO....GERMANY KUNA WAZIRI ALIJIUDHURU KWA KUDUKUA RESEARCH ILIYOMPATIA PHD YAKE .....WACHILIA MBALI KIHIYO ALIYEKIMBIA UDHALILI WA LAMWAI MAHAKAMANI...HUYU NI SERIKALI ....ANAONGOZA WATU WENYE WEREDI....KAMA ANA TUHUMA NZITO YA ELIMU NA UDANGANYIFU ...NINI FATE YA CCM ON A SERIOUS NOTE?![]()
![]()
![]()
vipi kuhusu Makonda una Details zozote au vyeti vyake au mmeamua tu.!
Nime bahatika kuwa na mke wa kikurya kunakitu ameniambia cha kwanza wakurya wanaongoza kwa kugushi miaka pili wanatumia vyeti vya ndugu zao vya form two ndio maana mtu moja anakua na majina mawili family moja inawatu wawili wenye majina sawa either mmoja ataenda jeshini or mwengine ataenda kwenye taasi nyingineNdugu wanaJF,