Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,163
- 37,801
Habari zenu?
Labda iliwahi kufafanuliwa, ikanipita! Naomba ufafanuzi wenu, kwanini kule nje wanapokwenda ndug zetu kunaitwa Ughaibuni?
Na kimsingi, ni nchi ama bara gani hasa ndio Ughaibuni? Je, Kenya, South Africa, Malawi, Cambodia, Afghanstan, iRAQ na kwingineko ni Ughaibuni pia?
Pale Tunduma, ama Namanga, mtanzania akivuka upande wa pili wa Zambia, Kenya, anakuwa tayari Ughaibuni ama?
Natanguliza shukrani