Ufafanuzi kuhusu tunda la mti wa katikati

Habarini wana jamvi!

Ufuatao ni ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya mambo yaliyotokea kwenye bustani ya edeni.naomba kutoa angalizo la kuwa uchambuzi huu hauna lengo la kumfanya mtu yeyote aamini nitakayosema bali unaweza isoma kama taarifa tu.

Lengo lingine la uzi huu ni kutaka kuchokonoa siri iliopo katika kufanya mapenzi kwa maana ya uhusiano uliopokati ya mwili,roho na mwili wakataki wa kufanya mapenzi.so nitafurahi kama nitaulizwa maswali, kukosolewa na kuelimishwa pia.

Katika mada ya leo nitajikita kuzungumzia kuhusiana na miti miwili ambayo ilikuwapo katikati ya bustani ya edeni( purity state of human being) kwa maana mti wa uzima ( uti wa mgongo wa binadamu)na mti wa mema na mabaya(kufanya mapenzi).

kwa kuanza naomba niseme kuwa bustani ya edeni haikuwa bustani ambayo inaonekana au kushikika bali ni bustani ya kufikirika japo kulikuwa na seheme nchini Iraki (mesopotania) ambayo ilikuwa inaitwa edeni.kwa ufahamu wangu bustani ya edeni lilikuwa ni lugha ya fumbo ambayo ilikuwa inamaanisha hali ya usafi (purity state) na aina ya maisha ambayo binadamu tulikuwa nayo kabla ya kumuasi MUNGU.

Maandiko yanasema kuwa Adamu ndie alikuwa binadamu wa kwanza kuumbwa na kupitia Adamu akapatikana Eva kutokea kwenye ubavu wake. Adamu kimsingi hakuwa mtu kwa maana ya binadamu kama mimi na wewe bali alikuwa anawakilisha nguvu mbili za mapenzi(sexual energy) ambazo zinapatikana kwenye miili ya wanadamu na kutumika katika uumbaji..

Adamu huumaniisha nguvu ya kiume na eva humaanisha nguvu ya kike ambazo ni nguvu zitumikazo katika uumbaji. kwa maana hiyo adamu aliumbwa akiwa na nguvu mbili za uumbaji ambazo ni za kike na kiume na baada ya muda Mungu akazitenganisha na kuapata nguvu mbili tofauti katika miili tofauti na katika kipindi hiki ndo binadamu tukaumbwa katika miili ya nyama tuliyonayo.baadaya muda adamu na eva wakapewa maelekezo na kuambiwa kuwa wanaweza kula matunda yote isipokuwa tunda la mti wa kati.

Kumbuka kuwa katika Edeni kulikuwa na miti mingi tu bali miti iliozungumziwa ni miwili tu ambayo ni mti wa uzima( uti wa mgongo) na mti wa mema na mabaya( mapenzi)
adamu(mwanaume) na eva(mwanamke) waliruhusiwa kufurahia mti wa mema na mabaya (kufanya mapenzi)ila wakakatazwa kula tunda la mti huo(kufika kileleni/orgasim).

Mti wa mema na mabaya humaanisha kufanya mapenzi na tunda linalotokana na mti huo ambao walikatazwa wasile ni kufika kileleni au orgasim.kwa maana ya kawaida ni kua binadamu tuliruhusiwa kufanya mapenzi ila tukakatazwa kufanya orgasim.

Kwanini binadamu tulikatazwa kufanya orgasim?

Hapo zamani mapenzi yalikuwa yanafanyika katika mahekalu na kwa usimamizi wa malaika wa uumbaji huku binadamu tukipokea maelekezo kutoka kwa Mungu mana wakati wa kufanya mapenzi binadamu tunakuwa na sifa ya KIMUNGU ya uumbaji.so wakati tunafanya uumbaji ni lazima tupokee maelekezo kutoa kwa Mungu juu ya kufanya uumbaji huo.

Ili kuweza kuunganishwa na Mungu katika kitendo hicho na kuweza kupokea maelekezo kutoka kwake wakati wa uumbaji binadamu tunatakiwa tuwe katika hali ya ufahamu wa kiroho na ufahamu wa kimwili.ikitokea roho yetu kupoteza fahamu basi kunakuwa hakuna muunganiko kati yetu na Mungu so tunashindwa kupokea maelekezo wakati wa uumbaji na mwisho wa siku tunaumba kwa kutumia marifa ya kibinadamu na sio ya kimungu tena.

Orgasim ilikatazwa kwa sababu kuwa orgasim huwakilisha tamaa za mwili na hivyona kwa kusikiliza miili yetu hupelekea kutenganisha mwili na roho wakati wa kufanya mapenzi.orgasim hulenga kukamilisha taama za kimwili zaidi na kwa kuendekeza tamaa za kimwili tunakuwa tunakiuka kanuni za kiiumbaji.

Orgasim pia hupelekea uchovu wa roho na mwili na hali hii hupelekea mwili na roho kupoteza fahamu.roho ikipoteza fahamu basi kunakuwa hakuna njia nyingine ambayo MUngu huweza kuwasiliana na sisi. Mfano mzuri ni uchovu baada ya mtu kupata orgasim. Sasa uchovu huu si wa mwili tuu bali ni uchovu wa roho pia.

Kwa kifupi hapo mwanzo binadamu tulikuwa tuliruhisiwa kuumba lakini kuumba huko kulitakiwa kuwe kwa kufuata maelekezo ya MUNGU (kufurahia mti wa mema na mabaya).

Jambo ambalo tulikatazwa ni kuusisha tamaa za kimwili wakati tunafanya umbaji kwani tamaa za mwili hututenga na MUngu wakati wa kufanya uumbaji(tunda la mti wa kati) na kupelekea kuumba bila kufuata maelekezo ya Mungu.

Mfano mzuri ni hadithi ya samson na delila. Samsoni alikuwa na nywele ndefu na ndo kilikuwa chanzo cha nguvu zake. Katika utamaduni za kizamani nywele ndefu humaanisha sex purity kwa maana nyingine kuwa samson alikuwa anajua jinsi ya kukontroo sexual energy ndani ya mwili wake lakini baada ya kushawishiwa na delila samson akaanza kufuata tamaa za kimwili na hivyo kupoteza uwezo wake wa kukontroo sexual energy na ivo kupoteza nguvu jambo ambalo huwakilishwa na kukatwa nywele na delila.

Ieleweke pia kuna uhusiano kati ya nguvu mbali mbali zilizopo kwenye mwili wa binadamu so ikitokea binadamu anashindwa kukontroo nguvu moja hupelekea kuathiri nguvu nyingine pia.

Nyoka ambaye ndo shetani aliyemshawishi adamu hakuwa nyoka kwa maana ya mnyama bali alikuwa anawakilisha tamaa au nguvu zilizopo kwenye mwili wa binadamu.ikumbukwe pia kuna aina mbili za nguvu katika mwili wa binadamu ambazo ni hasi na chanya.kwa kuwa binadamu tunakuwa na nguvu mbili tofauti so ni jukumu letu kuweza kuzitawala nguvu hizo.ikitokea nguvu zinatutawala ndo hupelekea kufanya mambo mbayo ni mazuri au mabaya. Bali ukiweza kuzitawala utakuwa unachagua nini cha kufanya. So kitendo cha nyoka kumshawishi Eva humaanisha kuwa nguzu hasi za tamaa zilimtawala Eva na ivo kujikuta anamshawishi adamu kufanya tendo walilokatazwa.

Naomba niishie hapa kwa sasa ila nakalibisha maswali, ukosoaji na uchangiaji wenye lengo la kuelimisha kwani michango mtakayonipa itanisaidia kufungua milango mingine ya fahamu.

Karibuni!

Duuuh basi sawa,ila ungetuambia hayo maandiko yanayosema hivo,maana mwazo 5:1-2 inaeleza kuhusu siku alipoumbwa mtu yaani ADAMU,Mwanamme na mwanamke waliumbwa cku moja akawaita jina lao adamu.kumbe hapa mwanzo 1:26-27 waliitwa ADAMU
 
MTI wa mema na mabaya ni lugha ya uandishi ulikuwa unawakilisha UHURU WA KIMAADILI NA KUJITAWALA.Mungu aliuandaa huo mti kama wigo wa mpaka,kama njia ya kuonyesha tofauti kati ya mema na mabaya,kwa maneno mengine tunasema,uchaguzi wa Adam na Hawa haukuwa kati ya kutokujua mema na mabaya bali katika kubakia kuwa wema,sura ya mtihani ilikuwa kwamba lolote watakalo lichagua,watakuja kujua mema na mabaya,zingatia Adamu na walikuwa mme na mke halali kwa hiyo walikuwa na maisha kufanya tendo la ndoa,kilichokuwa kimekatazwa kwa mwanadamu ni uwezo wa kuamua nini kiwe na nn kisiwe kwa ajili ya manufaa yake,Mungu hakutoa maamuzi ya namna hiyo kwa mwanadamu kwa sababu ni Mungu pekee anaweza kufanya uamuzi sahihi na wenye upendo kwa ajili ya manufaa ya mwanadamu wakati wote.
Mkuu, bado sijazisoma post zote nimeamua kuanzia mwisho kwanza, ila nadhani uko karibu sana na ukweli. Kwa kuongezea hili, mkuu ule ulaji wa lile tunda uliwaasili Adam na Eva tu ktk kufikiri tu au na hata mazingira yao? Namaanisha ulimwengu mzima.

Kama na mazingira yalibadilika, mfano simba kula nyama, jua kuwa kali zaidi nk basi ni lazima hii maana tuipanue kuufikia ukweli.
 
Habarini wana jamvi!

Ufuatao ni ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya mambo yaliyotokea kwenye bustani ya edeni.naomba kutoa angalizo la kuwa uchambuzi huu hauna lengo la kumfanya mtu yeyote aamini nitakayosema bali unaweza isoma kama taarifa tu.

Lengo lingine la uzi huu ni kutaka kuchokonoa siri iliopo katika kufanya mapenzi kwa maana ya uhusiano uliopokati ya mwili,roho na mwili wakataki wa kufanya mapenzi.so nitafurahi kama nitaulizwa maswali, kukosolewa na kuelimishwa pia.

Katika mada ya leo nitajikita kuzungumzia kuhusiana na miti miwili ambayo ilikuwapo katikati ya bustani ya edeni( purity state of human being) kwa maana mti wa uzima ( uti wa mgongo wa binadamu)na mti wa mema na mabaya(kufanya mapenzi).

kwa kuanza naomba niseme kuwa bustani ya edeni haikuwa bustani ambayo inaonekana au kushikika bali ni bustani ya kufikirika japo kulikuwa na seheme nchini Iraki (mesopotania) ambayo ilikuwa inaitwa edeni.kwa ufahamu wangu bustani ya edeni lilikuwa ni lugha ya fumbo ambayo ilikuwa inamaanisha hali ya usafi (purity state) na aina ya maisha ambayo binadamu tulikuwa nayo kabla ya kumuasi MUNGU.

Maandiko yanasema kuwa Adamu ndie alikuwa binadamu wa kwanza kuumbwa na kupitia Adamu akapatikana Eva kutokea kwenye ubavu wake. Adamu kimsingi hakuwa mtu kwa maana ya binadamu kama mimi na wewe bali alikuwa anawakilisha nguvu mbili za mapenzi(sexual energy) ambazo zinapatikana kwenye miili ya wanadamu na kutumika katika uumbaji..

Adamu huumaniisha nguvu ya kiume na eva humaanisha nguvu ya kike ambazo ni nguvu zitumikazo katika uumbaji. kwa maana hiyo adamu aliumbwa akiwa na nguvu mbili za uumbaji ambazo ni za kike na kiume na baada ya muda Mungu akazitenganisha na kuapata nguvu mbili tofauti katika miili tofauti na katika kipindi hiki ndo binadamu tukaumbwa katika miili ya nyama tuliyonayo.baadaya muda adamu na eva wakapewa maelekezo na kuambiwa kuwa wanaweza kula matunda yote isipokuwa tunda la mti wa kati.

Kumbuka kuwa katika Edeni kulikuwa na miti mingi tu bali miti iliozungumziwa ni miwili tu ambayo ni mti wa uzima( uti wa mgongo) na mti wa mema na mabaya( mapenzi)
adamu(mwanaume) na eva(mwanamke) waliruhusiwa kufurahia mti wa mema na mabaya (kufanya mapenzi)ila wakakatazwa kula tunda la mti huo(kufika kileleni/orgasim).

Mti wa mema na mabaya humaanisha kufanya mapenzi na tunda linalotokana na mti huo ambao walikatazwa wasile ni kufika kileleni au orgasim.kwa maana ya kawaida ni kua binadamu tuliruhusiwa kufanya mapenzi ila tukakatazwa kufanya orgasim.

Kwanini binadamu tulikatazwa kufanya orgasim?

Hapo zamani mapenzi yalikuwa yanafanyika katika mahekalu na kwa usimamizi wa malaika wa uumbaji huku binadamu tukipokea maelekezo kutoka kwa Mungu mana wakati wa kufanya mapenzi binadamu tunakuwa na sifa ya KIMUNGU ya uumbaji.so wakati tunafanya uumbaji ni lazima tupokee maelekezo kutoa kwa Mungu juu ya kufanya uumbaji huo.

Ili kuweza kuunganishwa na Mungu katika kitendo hicho na kuweza kupokea maelekezo kutoka kwake wakati wa uumbaji binadamu tunatakiwa tuwe katika hali ya ufahamu wa kiroho na ufahamu wa kimwili.ikitokea roho yetu kupoteza fahamu basi kunakuwa hakuna muunganiko kati yetu na Mungu so tunashindwa kupokea maelekezo wakati wa uumbaji na mwisho wa siku tunaumba kwa kutumia marifa ya kibinadamu na sio ya kimungu tena.

Orgasim ilikatazwa kwa sababu kuwa orgasim huwakilisha tamaa za mwili na hivyona kwa kusikiliza miili yetu hupelekea kutenganisha mwili na roho wakati wa kufanya mapenzi.orgasim hulenga kukamilisha taama za kimwili zaidi na kwa kuendekeza tamaa za kimwili tunakuwa tunakiuka kanuni za kiiumbaji.

Orgasim pia hupelekea uchovu wa roho na mwili na hali hii hupelekea mwili na roho kupoteza fahamu.roho ikipoteza fahamu basi kunakuwa hakuna njia nyingine ambayo MUngu huweza kuwasiliana na sisi. Mfano mzuri ni uchovu baada ya mtu kupata orgasim. Sasa uchovu huu si wa mwili tuu bali ni uchovu wa roho pia.

Kwa kifupi hapo mwanzo binadamu tulikuwa tuliruhisiwa kuumba lakini kuumba huko kulitakiwa kuwe kwa kufuata maelekezo ya MUNGU (kufurahia mti wa mema na mabaya).

Jambo ambalo tulikatazwa ni kuusisha tamaa za kimwili wakati tunafanya umbaji kwani tamaa za mwili hututenga na MUngu wakati wa kufanya uumbaji(tunda la mti wa kati) na kupelekea kuumba bila kufuata maelekezo ya Mungu.

Mfano mzuri ni hadithi ya samson na delila. Samsoni alikuwa na nywele ndefu na ndo kilikuwa chanzo cha nguvu zake. Katika utamaduni za kizamani nywele ndefu humaanisha sex purity kwa maana nyingine kuwa samson alikuwa anajua jinsi ya kukontroo sexual energy ndani ya mwili wake lakini baada ya kushawishiwa na delila samson akaanza kufuata tamaa za kimwili na hivyo kupoteza uwezo wake wa kukontroo sexual energy na ivo kupoteza nguvu jambo ambalo huwakilishwa na kukatwa nywele na delila.

Ieleweke pia kuna uhusiano kati ya nguvu mbali mbali zilizopo kwenye mwili wa binadamu so ikitokea binadamu anashindwa kukontroo nguvu moja hupelekea kuathiri nguvu nyingine pia.

Nyoka ambaye ndo shetani aliyemshawishi adamu hakuwa nyoka kwa maana ya mnyama bali alikuwa anawakilisha tamaa au nguvu zilizopo kwenye mwili wa binadamu.ikumbukwe pia kuna aina mbili za nguvu katika mwili wa binadamu ambazo ni hasi na chanya.kwa kuwa binadamu tunakuwa na nguvu mbili tofauti so ni jukumu letu kuweza kuzitawala nguvu hizo.ikitokea nguvu zinatutawala ndo hupelekea kufanya mambo mbayo ni mazuri au mabaya. Bali ukiweza kuzitawala utakuwa unachagua nini cha kufanya. So kitendo cha nyoka kumshawishi Eva humaanisha kuwa nguzu hasi za tamaa zilimtawala Eva na ivo kujikuta anamshawishi adamu kufanya tendo walilokatazwa.

Naomba niishie hapa kwa sasa ila nakalibisha maswali, ukosoaji na uchangiaji wenye lengo la kuelimisha kwani michango mtakayonipa itanisaidia kufungua milango mingine ya fahamu.

Karibuni!
Orgasim chanzo cha matatizo duniani
 
Yes and No, it depends on your inner power, how to control your thought and your views and your body feelings ( see my comments above in #22). Myself i have done this several time.

....that means Adam was told to control his views ,thought and feelings to not experience orgasm ?

Because ,frankly ,I am trying to figure it out but I found that it doesn't make sense because it doesn't ,you know in our normal condition especially for men once you are about ejaculating Orgasm is something inevitable unless you have undergone some training for a while ,and that should be purposely,otherwise it won't work Sir .

So don't you see that was a punishment for Adam to not experience organism in normal state ?
Unless these things should not be taken literally.
And thank you I have understood very well your comment above ,the first one .
 
mnalazimisha kuongea vitu msivokua na taaluma zake ndo mnaleta upotoshaji Hapa et wasex ila wasifikie orgasm ii mpya ndo naisikia kwako aisee

Ila bro kuna kitu kimoja una miss muhimu ,upo too réactive ,pia hujui kuandika SMS vizur na kwa heshima ,lengo hapa ni kujadili na kuelimishana.so lazma pia uangalie lugha yako vizur ,huwezi kumuita Mtu muongo ,AU kutoa maneno ya kejeli na dharau ,be gentlemen pinga kwa heshima na lugha nzuri ili sote tujifunze.
Mtu akisoma SMS yako unaonekana upo rough rough sana .
Hapa watu wanajifunza mambo
Mengi sana so tumia lugha nzur hata kama una disagree na Mtu basi fanya KWA heshima na Logic ,
 
Mungu aliwaambia Adam na Eva, endeni mkazaliane na kuijaza dunia. Hayo mawazo yako ni potofu.
Hivi vitabu vitakatifu havitafsiriwi kwa kusoma aya moja.
Kweli kuna watu hazimo hii nchi yaani wewe ulivyosoma tu "nendeni mkazae na kuijaza dunia" tayari ukajua ni kufyatua watoto kwa kwenda mbele hadi dunia ijae.
La hasha haina maana hiyo kama ulidoji seminari ama mafundisho ya Biblia jitahidi kuhudhuria upya maana hapa umedhihirishiwa kuwa kichwani u mweupe mithiri ya nywele za ka-lowasa.
 
Habarini wana jamvi!

Ufuatao ni ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya mambo yaliyotokea kwenye bustani ya edeni.naomba kutoa angalizo la kuwa uchambuzi huu hauna lengo la kumfanya mtu yeyote aamini nitakayosema bali unaweza isoma kama taarifa tu.

Lengo lingine la uzi huu ni kutaka kuchokonoa siri iliopo katika kufanya mapenzi kwa maana ya uhusiano uliopokati ya mwili,roho na mwili wakataki wa kufanya mapenzi.so nitafurahi kama nitaulizwa maswali, kukosolewa na kuelimishwa pia.

Katika mada ya leo nitajikita kuzungumzia kuhusiana na miti miwili ambayo ilikuwapo katikati ya bustani ya edeni( purity state of human being) kwa maana mti wa uzima ( uti wa mgongo wa binadamu)na mti wa mema na mabaya(kufanya mapenzi).

kwa kuanza naomba niseme kuwa bustani ya edeni haikuwa bustani ambayo inaonekana au kushikika bali ni bustani ya kufikirika japo kulikuwa na seheme nchini Iraki (mesopotania) ambayo ilikuwa inaitwa edeni.kwa ufahamu wangu bustani ya edeni lilikuwa ni lugha ya fumbo ambayo ilikuwa inamaanisha hali ya usafi (purity state) na aina ya maisha ambayo binadamu tulikuwa nayo kabla ya kumuasi MUNGU.

Maandiko yanasema kuwa Adamu ndie alikuwa binadamu wa kwanza kuumbwa na kupitia Adamu akapatikana Eva kutokea kwenye ubavu wake. Adamu kimsingi hakuwa mtu kwa maana ya binadamu kama mimi na wewe bali alikuwa anawakilisha nguvu mbili za mapenzi(sexual energy) ambazo zinapatikana kwenye miili ya wanadamu na kutumika katika uumbaji..

Adamu huumaniisha nguvu ya kiume na eva humaanisha nguvu ya kike ambazo ni nguvu zitumikazo katika uumbaji. kwa maana hiyo adamu aliumbwa akiwa na nguvu mbili za uumbaji ambazo ni za kike na kiume na baada ya muda Mungu akazitenganisha na kuapata nguvu mbili tofauti katika miili tofauti na katika kipindi hiki ndo binadamu tukaumbwa katika miili ya nyama tuliyonayo.baadaya muda adamu na eva wakapewa maelekezo na kuambiwa kuwa wanaweza kula matunda yote isipokuwa tunda la mti wa kati.

Kumbuka kuwa katika Edeni kulikuwa na miti mingi tu bali miti iliozungumziwa ni miwili tu ambayo ni mti wa uzima( uti wa mgongo) na mti wa mema na mabaya( mapenzi)
adamu(mwanaume) na eva(mwanamke) waliruhusiwa kufurahia mti wa mema na mabaya (kufanya mapenzi)ila wakakatazwa kula tunda la mti huo(kufika kileleni/orgasim).

Mti wa mema na mabaya humaanisha kufanya mapenzi na tunda linalotokana na mti huo ambao walikatazwa wasile ni kufika kileleni au orgasim.kwa maana ya kawaida ni kua binadamu tuliruhusiwa kufanya mapenzi ila tukakatazwa kufanya orgasim.

Kwanini binadamu tulikatazwa kufanya orgasim?

Hapo zamani mapenzi yalikuwa yanafanyika katika mahekalu na kwa usimamizi wa malaika wa uumbaji huku binadamu tukipokea maelekezo kutoka kwa Mungu mana wakati wa kufanya mapenzi binadamu tunakuwa na sifa ya KIMUNGU ya uumbaji.so wakati tunafanya uumbaji ni lazima tupokee maelekezo kutoa kwa Mungu juu ya kufanya uumbaji huo.

Ili kuweza kuunganishwa na Mungu katika kitendo hicho na kuweza kupokea maelekezo kutoka kwake wakati wa uumbaji binadamu tunatakiwa tuwe katika hali ya ufahamu wa kiroho na ufahamu wa kimwili.ikitokea roho yetu kupoteza fahamu basi kunakuwa hakuna muunganiko kati yetu na Mungu so tunashindwa kupokea maelekezo wakati wa uumbaji na mwisho wa siku tunaumba kwa kutumia marifa ya kibinadamu na sio ya kimungu tena.

Orgasim ilikatazwa kwa sababu kuwa orgasim huwakilisha tamaa za mwili na hivyona kwa kusikiliza miili yetu hupelekea kutenganisha mwili na roho wakati wa kufanya mapenzi.orgasim hulenga kukamilisha taama za kimwili zaidi na kwa kuendekeza tamaa za kimwili tunakuwa tunakiuka kanuni za kiiumbaji.

Orgasim pia hupelekea uchovu wa roho na mwili na hali hii hupelekea mwili na roho kupoteza fahamu.roho ikipoteza fahamu basi kunakuwa hakuna njia nyingine ambayo MUngu huweza kuwasiliana na sisi. Mfano mzuri ni uchovu baada ya mtu kupata orgasim. Sasa uchovu huu si wa mwili tuu bali ni uchovu wa roho pia.

Kwa kifupi hapo mwanzo binadamu tulikuwa tuliruhisiwa kuumba lakini kuumba huko kulitakiwa kuwe kwa kufuata maelekezo ya MUNGU (kufurahia mti wa mema na mabaya).

Jambo ambalo tulikatazwa ni kuusisha tamaa za kimwili wakati tunafanya umbaji kwani tamaa za mwili hututenga na MUngu wakati wa kufanya uumbaji(tunda la mti wa kati) na kupelekea kuumba bila kufuata maelekezo ya Mungu.

Mfano mzuri ni hadithi ya samson na delila. Samsoni alikuwa na nywele ndefu na ndo kilikuwa chanzo cha nguvu zake. Katika utamaduni za kizamani nywele ndefu humaanisha sex purity kwa maana nyingine kuwa samson alikuwa anajua jinsi ya kukontroo sexual energy ndani ya mwili wake lakini baada ya kushawishiwa na delila samson akaanza kufuata tamaa za kimwili na hivyo kupoteza uwezo wake wa kukontroo sexual energy na ivo kupoteza nguvu jambo ambalo huwakilishwa na kukatwa nywele na delila.

Ieleweke pia kuna uhusiano kati ya nguvu mbali mbali zilizopo kwenye mwili wa binadamu so ikitokea binadamu anashindwa kukontroo nguvu moja hupelekea kuathiri nguvu nyingine pia.

Nyoka ambaye ndo shetani aliyemshawishi adamu hakuwa nyoka kwa maana ya mnyama bali alikuwa anawakilisha tamaa au nguvu zilizopo kwenye mwili wa binadamu.ikumbukwe pia kuna aina mbili za nguvu katika mwili wa binadamu ambazo ni hasi na chanya.kwa kuwa binadamu tunakuwa na nguvu mbili tofauti so ni jukumu letu kuweza kuzitawala nguvu hizo.ikitokea nguvu zinatutawala ndo hupelekea kufanya mambo mbayo ni mazuri au mabaya. Bali ukiweza kuzitawala utakuwa unachagua nini cha kufanya. So kitendo cha nyoka kumshawishi Eva humaanisha kuwa nguzu hasi za tamaa zilimtawala Eva na ivo kujikuta anamshawishi adamu kufanya tendo walilokatazwa.

Naomba niishie hapa kwa sasa ila nakalibisha maswali, ukosoaji na uchangiaji wenye lengo la kuelimisha kwani michango mtakayonipa itanisaidia kufungua milango mingine ya fahamu.

Karibuni!

Your post is very interesting.nimejifunza mengi ndani yake .but still hii topic inaonekana ni Very complex and too tough for our mind to understand.

The other day I heard that ,Adam and Hawa ate a fruit ,the really one and was not sexual inter course at all .

They ate psychoactive substance which changed their state of minds ,the plant was visionary mushroom [emoji265],you know mushroom has got different species and one of its species is psychoactive which is amanita muscaria ,they ate that one.,(according to that story ).

Psychoactive substances are those which change the state of mind like heroin ,cocaine ,cannabis ,mushrooms etc etc.

YOU know man ,this really makes sense to me than any other story ,do you know how these substances affect people once they start ,once you smoke or inhale it makes you experience the benefit,you feel free ,not enslaved,you feel like you don't have any problem,the feeling is inexplicable,you feel everything is okay in this world .

They say that was a state in which Adam and Hawa were ,untill they explored it by eating the fruit.I actually tried once to smoke cocaine(the devil in chemical form) I felt something very different in my life ,I felt so happy ,great human ,No problems ,just every thing was okay ,shortly I was experiencing ETERNAL NOW ,the present moment ,was like a baby ,you don't think anything than just enjoying the life .the other day I was pushed by myself to take again the drug to experience that benefit,I said no to myself ,I told myself that you shall not repeat it again ,it's dangerous and you must be honest to your self.And that call of retaking the drug was coming multiple times but refused responding to it ,I was very honest with myself .

Cocaine is a devil in chemical form ,I am not advising any one to try because some people can't manage themselves and be honest to themselves.once you start and you are not smart ,you will be chasing it while it runs away from you and you will never catch it until it destroys and Kills you .

So according to the stories of Adam and Hawa ,I am likely to be convinced that they ate something,and that thing was a psychoactive substance which changed the state of their minds .

The story of Adam and Hawa is all about changing from one state to another,that is changing the mind ,that's all .That is to say the fruit was psychoactive.
 
Uongo kweli kweli. ..rudi tena kwenye BIBLIA. ..alwaumba wakazaane. ..A tree of knowledge and wisdom is THE THIRD EYE
 
Habarini wana jamvi!

Ufuatao ni ufafanuzi kuhusiana na baadhi ya mambo yaliyotokea kwenye bustani ya edeni.naomba kutoa angalizo la kuwa uchambuzi huu hauna lengo la kumfanya mtu yeyote aamini nitakayosema bali unaweza isoma kama taarifa tu.

Lengo lingine la uzi huu ni kutaka kuchokonoa siri iliopo katika kufanya mapenzi kwa maana ya uhusiano uliopokati ya mwili,roho na mwili wakataki wa kufanya mapenzi.so nitafurahi kama nitaulizwa maswali, kukosolewa na kuelimishwa pia.

Katika mada ya leo nitajikita kuzungumzia kuhusiana na miti miwili ambayo ilikuwapo katikati ya bustani ya edeni( purity state of human being) kwa maana mti wa uzima ( uti wa mgongo wa binadamu)na mti wa mema na mabaya(kufanya mapenzi).

kwa kuanza naomba niseme kuwa bustani ya edeni haikuwa bustani ambayo inaonekana au kushikika bali ni bustani ya kufikirika japo kulikuwa na seheme nchini Iraki (mesopotania) ambayo ilikuwa inaitwa edeni.kwa ufahamu wangu bustani ya edeni lilikuwa ni lugha ya fumbo ambayo ilikuwa inamaanisha hali ya usafi (purity state) na aina ya maisha ambayo binadamu tulikuwa nayo kabla ya kumuasi MUNGU.

Maandiko yanasema kuwa Adamu ndie alikuwa binadamu wa kwanza kuumbwa na kupitia Adamu akapatikana Eva kutokea kwenye ubavu wake. Adamu kimsingi hakuwa mtu kwa maana ya binadamu kama mimi na wewe bali alikuwa anawakilisha nguvu mbili za mapenzi(sexual energy) ambazo zinapatikana kwenye miili ya wanadamu na kutumika katika uumbaji..

Adamu huumaniisha nguvu ya kiume na eva humaanisha nguvu ya kike ambazo ni nguvu zitumikazo katika uumbaji. kwa maana hiyo adamu aliumbwa akiwa na nguvu mbili za uumbaji ambazo ni za kike na kiume na baada ya muda Mungu akazitenganisha na kuapata nguvu mbili tofauti katika miili tofauti na katika kipindi hiki ndo binadamu tukaumbwa katika miili ya nyama tuliyonayo.baadaya muda adamu na eva wakapewa maelekezo na kuambiwa kuwa wanaweza kula matunda yote isipokuwa tunda la mti wa kati.

Kumbuka kuwa katika Edeni kulikuwa na miti mingi tu bali miti iliozungumziwa ni miwili tu ambayo ni mti wa uzima( uti wa mgongo) na mti wa mema na mabaya( mapenzi)
adamu(mwanaume) na eva(mwanamke) waliruhusiwa kufurahia mti wa mema na mabaya (kufanya mapenzi)ila wakakatazwa kula tunda la mti huo(kufika kileleni/orgasim).

Mti wa mema na mabaya humaanisha kufanya mapenzi na tunda linalotokana na mti huo ambao walikatazwa wasile ni kufika kileleni au orgasim.kwa maana ya kawaida ni kua binadamu tuliruhusiwa kufanya mapenzi ila tukakatazwa kufanya orgasim.

Kwanini binadamu tulikatazwa kufanya orgasim?

Hapo zamani mapenzi yalikuwa yanafanyika katika mahekalu na kwa usimamizi wa malaika wa uumbaji huku binadamu tukipokea maelekezo kutoka kwa Mungu mana wakati wa kufanya mapenzi binadamu tunakuwa na sifa ya KIMUNGU ya uumbaji.so wakati tunafanya uumbaji ni lazima tupokee maelekezo kutoa kwa Mungu juu ya kufanya uumbaji huo.

Ili kuweza kuunganishwa na Mungu katika kitendo hicho na kuweza kupokea maelekezo kutoka kwake wakati wa uumbaji binadamu tunatakiwa tuwe katika hali ya ufahamu wa kiroho na ufahamu wa kimwili.ikitokea roho yetu kupoteza fahamu basi kunakuwa hakuna muunganiko kati yetu na Mungu so tunashindwa kupokea maelekezo wakati wa uumbaji na mwisho wa siku tunaumba kwa kutumia marifa ya kibinadamu na sio ya kimungu tena.

Orgasim ilikatazwa kwa sababu kuwa orgasim huwakilisha tamaa za mwili na hivyona kwa kusikiliza miili yetu hupelekea kutenganisha mwili na roho wakati wa kufanya mapenzi.orgasim hulenga kukamilisha taama za kimwili zaidi na kwa kuendekeza tamaa za kimwili tunakuwa tunakiuka kanuni za kiiumbaji.

Orgasim pia hupelekea uchovu wa roho na mwili na hali hii hupelekea mwili na roho kupoteza fahamu.roho ikipoteza fahamu basi kunakuwa hakuna njia nyingine ambayo MUngu huweza kuwasiliana na sisi. Mfano mzuri ni uchovu baada ya mtu kupata orgasim. Sasa uchovu huu si wa mwili tuu bali ni uchovu wa roho pia.

Kwa kifupi hapo mwanzo binadamu tulikuwa tuliruhisiwa kuumba lakini kuumba huko kulitakiwa kuwe kwa kufuata maelekezo ya MUNGU (kufurahia mti wa mema na mabaya).

Jambo ambalo tulikatazwa ni kuusisha tamaa za kimwili wakati tunafanya umbaji kwani tamaa za mwili hututenga na MUngu wakati wa kufanya uumbaji(tunda la mti wa kati) na kupelekea kuumba bila kufuata maelekezo ya Mungu.

Mfano mzuri ni hadithi ya samson na delila. Samsoni alikuwa na nywele ndefu na ndo kilikuwa chanzo cha nguvu zake. Katika utamaduni za kizamani nywele ndefu humaanisha sex purity kwa maana nyingine kuwa samson alikuwa anajua jinsi ya kukontroo sexual energy ndani ya mwili wake lakini baada ya kushawishiwa na delila samson akaanza kufuata tamaa za kimwili na hivyo kupoteza uwezo wake wa kukontroo sexual energy na ivo kupoteza nguvu jambo ambalo huwakilishwa na kukatwa nywele na delila.

Ieleweke pia kuna uhusiano kati ya nguvu mbali mbali zilizopo kwenye mwili wa binadamu so ikitokea binadamu anashindwa kukontroo nguvu moja hupelekea kuathiri nguvu nyingine pia.

Nyoka ambaye ndo shetani aliyemshawishi adamu hakuwa nyoka kwa maana ya mnyama bali alikuwa anawakilisha tamaa au nguvu zilizopo kwenye mwili wa binadamu.ikumbukwe pia kuna aina mbili za nguvu katika mwili wa binadamu ambazo ni hasi na chanya.kwa kuwa binadamu tunakuwa na nguvu mbili tofauti so ni jukumu letu kuweza kuzitawala nguvu hizo.ikitokea nguvu zinatutawala ndo hupelekea kufanya mambo mbayo ni mazuri au mabaya. Bali ukiweza kuzitawala utakuwa unachagua nini cha kufanya. So kitendo cha nyoka kumshawishi Eva humaanisha kuwa nguzu hasi za tamaa zilimtawala Eva na ivo kujikuta anamshawishi adamu kufanya tendo walilokatazwa.

Naomba niishie hapa kwa sasa ila nakalibisha maswali, ukosoaji na uchangiaji wenye lengo la kuelimisha kwani michango mtakayonipa itanisaidia kufungua milango mingine ya fahamu.

Karibuni!
Kilichondikwa kwenye BIBLIA humaanisha kile kisemwacho, palipo hitaji tafasiri biblia yenyewe imetoa tafasiri. Mimi huamini hivyo.
 
Hivi unaeeza elezea zaidi mapenzi hufanyajwe bila kufika mshindo yaani organism
 
eva alikua mke halal wa adamu ktk edn mungu aliweka miti miwl mti w uzima n mti w mema n mabaya hawa alidanganywa n nyoka kuwa akila tunda mti w mema n mabaya atakuwa n nguvu kama mungu akachukua matunda akala n kmpa adam kutokana kutokumtiii mungu laana zikatolewa n mungu mfano kifo n mungu akawafukza ktk eden lengo mungu tuish milele ikabid mungu kuweka kerubi aulinde mti w uzim kusud adam n hawa wasije wakala tunda l uzm wakaish milele. hvy adam n hawa walipotza uzm w milele akaja yesu kuurejesha uzm kila atakae mcha mungu n kuchukia mabaya n nguvu y mungu ikiwa juu yake atakwnda kuish milele n mungu get ready my friends
 
Kweli kuna watu hazimo hii nchi yaani wewe ulivyosoma tu "nendeni mkazae na kuijaza dunia" tayari ukajua ni kufyatua watoto kwa kwenda mbele hadi dunia ijae.
La hasha haina maana hiyo kama ulidoji seminari ama mafundisho ya Biblia jitahidi kuhudhuria upya maana hapa umedhihirishiwa kuwa kichwani u mweupe mithiri ya nywele za ka-lowasa.
Hoja yako ni ipi? Unaelewa nilikuwa najibu hoja gani?
Ulichoandika hapa kinadhihilisha kuwa umetoroka Milembe, hukuruhusiwa.
 
Usirukeruke kama maharage ye hooligan sema tu umeumbuka kwa misconception uliymayo na hili ndo tatizo lenu wapayukaji makanisani. Acha kupayuka na kusema "amina sana"kwa kila neno la mchungaji.
 
Kutoka katika qur an tukufu

"Natimizeni mizani(vipimo) kwa uadilifu

Akasema allah SW tena katika surat mutwafifin
(Ole wao wanaohafifisha(kupunja,kuhadaa katika vipimo)

Kwa hyo ni hatari sana na ni dhambi kubwa mbele ya M.Mungu kupunja ama kuhadaa katika mizani tujiepusheni na tuikumbuke siku tutakaposimama mbele ya mola wetu
 
Usirukeruke kama maharage ye hooligan sema tu umeumbuka kwa misconception uliymayo na hili ndo tatizo lenu wapayukaji makanisani. Acha kupayuka na kusema "amina sana"kwa kila neno la mchungaji.
Rudi Milembe.
 
Soma Rumi 1:28

Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom