salamu ya shikamoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hii salamu ya shikamoo imekaaje?

    Huwa najiuliza maswali mengi, kwa ufahamu wangu mdogo najua salamu ni kujuliana hali baina ya watu Ila napata mkanganyiko kwenye salamu kwa kutumia neno shikamoo maana naona halina maana ya kujua hali kwani ukisalimiwa shikamoo jibu ni marhaba, kwahiyo hata kama unatatzo utajibu marhaba Mbaya...
  2. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu salamu za kiswahili

    Niache blah blah nyingi twende moja kwa moja kwenye swali langu la msingi. Katika kiswahili kuna maneno au viambishi ambavyo vinaashiria kukubali au kukanusha unachodhamiria kusema. Sasa katika salamu ya Hujambo tumezoea kuitikia Sijambo, ambayo ni kukanusha. Mwenye ufafanuzi wa hii salamu...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri Salamu ya “Shikamoo” watoe watoto chini ya Miaka 16. Inaonekana wakubwa wengi hawaipendi

    Hili Suala la Hii Salam ya Shikamoo limekuwa na Ukakasi Kidogo, watu wengi katika makundi ya watu wazima, wazee, na vijana wa makamo wamekuwa hawapendi salamu hii zaidi na zaidi , makundi haya ya watu huwa hawapendi kusalimiwa na makundi ya watu wakubwa wenzao mfanyo mzee kusalimiwa na mtu wa...
Back
Top Bottom