Ufafanuzi juu ya shitaka namba 3 la kutokutumia .tz

Kimsingi kama sheria haina maslahi kwa wananchi waliowengi ni jukumu la wananchi wenyewe kuipinga kupitia taratibu tulizojiwekea badala ya kusubiri madhara yatokee kama hivi.
Lazima watu tuamke na kujitambua badala ya kulalamikia utekelezaji wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…