Ufafanuzi juu ya shitaka namba 3 la kutokutumia .tz

.com means cormecial
.go means government
.edu means education
wanataka nini sasa maana sijaelewa hili shitaka au jamiiforum sio ipo kibiashara?
 
Haaaah wameingia king kweli hawa jamaa....

Yaani nawaonea hadi huruma mawakili wa Serikali....

Kazi yao kuburuzwa tu hakika kuna Kazi sana ......

Sijui walisoma wapi? Vilaza namna hii....
mkuu wamesoma sana, lakini unawezakuta wameambiwa wafanye hivyo, na hiyo ni taasisi ya serikali sio private law firm. hao jamaa wanapata shida sana kwasababu wakati mwingine professionalism haitumiki ila kutii amri.
 
Kwa hiyo kumiliki tovuti ambayo haijasajiliwa Tanzania ni kosa na kutumia tovuti au mtandao ambao haujasajiliwa Tanzania nalo ni kosa?

Kama sijakosea Magu naye ana akaunti ya Twitter, siyo?

CCM nao wana akaunti ya Twitter, sio?

Sidhani kama ni kosa kisheria
nashangaa tu
 
Haaaah wameingia king kweli hawa jamaa....

Yaani nawaonea hadi huruma mawakili wa Serikali....

Kazi yao kuburuzwa tu hakika kuna Kazi sana ......

Sijui walisoma wapi? Vilaza namna hii....
wanapo amua kufanya mambo yao wanatafuta kisingizio tu na kutoa hukumu habari ya sheria utabaki nayo kwenyewe mpira refa uwanja vyote vyakwao utatokea wapi
 
Back
Top Bottom