Ufafanuzi juu ya shitaka namba 3 la kutokutumia .tz

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,817
IMG_20161216_135039_950.jpg
Inamaana
IMG_20161216_133749_596.jpg
IMG_20161216_133723_066.jpg
hizi ziko sawa? au na wenyewe wako mahabusu? Kwa sababu zote zina .com

[HASHTAG]#freemaxcencemello[/HASHTAG]


IMG_20161216_133949_598.jpg
IMG_20161216_133749_596.jpg
IMG_20161216_133723_066.jpg
 
Kimsingi kama sheria haina maslahi kwa wananchi waliowengi ni jukumu la wananchi wenyewe kuipinga kupitia taratibu tulizojiwekea badala ya kusubiri madhara yatokee kama hivi.
Lazima watu tuamke na kujitambua badala ya kulalamikia utekelezaji wake.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom