Uenezi CHADEMA jukumu la nani?

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
4,582
2,000
Kwa miaka mingi nimekuwa nikifuatilia namna Chadema inavyo jitangaza na kutafuta ufuasi. Katika jambo linalonipa maswali ni kutosikika kwa idara yake ya uenezi.

Sijafahamu vizuri kitengo cha uenezi kama kipo kwa jina jingine au hakipo na shughuli zake zimeelekezwa kwenye ngazi ipi. Ukifuatilia CCM kitengo cha uenezi miaka yote kinapewa nguvu na penda usipende, mwenezi wa CCM anafahamika katika ngazi ya taifa na MIKOA mikubwa.

Sijafahamu kama tatizo la Chadema ni muundo, mfumo wa utendaji au kumekuwa na waenezi dhaifu miaka yote.

Kuna baadhi ya majina kama Mtelemwa, Mushi, Makene sifahamu hawa ni maafisa habari au waenezi.

Kama kweli Chadema hawana hiyo ngazi ya uenezi basi muundo wao unawapunguzia nguvu ya kujiuza kwa wananchi. Ni vizuri Chadema wakatathmini muundo na nguvu wanayopaswa kuzipa idara zake .

Waenezi ni muhimu ngazi zote kuanzia taifa, Kanda, Mikoa , Wilaya, Tarafa na Kata. Si nafasi ya kupuuza.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,035

Ni humu kwenye mitandao ya kijamii. Bavicha wote ni kazi yao! Kila mtu kambare...
 
chagu wa malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
4,891

Kwani humjui mwenezi wa Chadema? Muda wote ni kulialia tu, anaitwa Erythrocyte
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
74,125
2,000
Kwa miaka mingi nimekuwa nikifuatilia namna Chadema inavyo jitangaza na kutafuta ufuasi. Katika jambo linalonipa maswali ni kutosikika kwa idara yake ya uenezi.

Sijafahamu vizuri kitengo cha uenezi kama kipo kwa jina jingine au hakipo na shughuli zake zimeelekezwa kwenye ngazi ipi. Ukifuatilia CCM kitengo cha uenezi miaka yote kinapewa nguvu na penda usipende, mwenezi wa CCM anafahamika katika ngazi ya taifa na MIKOA mikubwa.

Sijafahamu kama tatizo la Chadema ni muundo, mfumo wa utendaji au kumekuwa na waenezi dhaifu miaka yote.

Kuna baadhi ya majina kama Mtelemwa, Mushi, Makene sifahamu hawa ni maafisa habari au waenezi.

Kama kweli Chadema hawana hiyo ngazi ya uenezi basi muundo wao unawapunguzia nguvu ya kujiuza kwa wananchi. Ni vizuri Chadema wakatathmini muundo na nguvu wanayopaswa kuzipa idara zake .

Waenezi ni muhimu ngazi zote kuanzia taifa, Kanda, Mikoa , Wilaya, Tarafa na Kata. Si nafasi ya kupuuza.
Ocds na rpcs ndio waenezi wa chadema
 
Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
4,582
2,000
Ni humu kwenye mitandao ya kijamii. Bavicha wote ni kazi yao! Kila mtu kambare...
Kazi ya uenezi Chadema imekosa kiongozi. Makene anasimama kama afisa habari Msigwa lakini mwenezi hakuna !!!!!!Chadema ifanye mabadiliko iwe na idara ya uenezi. Inawezekana idara hii ndio inapaswa kutumia fungu kubwa la fedha za chama ndio maana viongozi hawapendi kuwa na kitengo imara cha uenezi badala yake Mwenyekiti, Katibu mkuu wakuu wa jumuiya ndio hao hao wanajigawia fungu na majukumu ya uenezi.

CCM wana Polepole na amepewa meno japo si mwenye kiwango bora lakini at least anafanya majukumu yake bila kubugudhiwa. Amekuwa bingwa wa siasa chokonozi za hovyohovyo.

Chadema nao wangekuwa na mwenezi na wamwezeshe ili kabla ya kumfikia mwenyekiti au Katibu Polepole akutane na mwenezi mwenzie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,078
2,000
Kurugenzi Ya Itikadi, Mawasiliano Na Mambo Ya Nje
Kutokana na Maboresho mbalimbali ya kimuundo na kiutendaji ambayo chama kimeyafanya mara baada ya uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 , Kurugenzi ya Itifaki,Mawasiliano na Mambo ya nje iliweza kuundwa na Kamati Kuu kwa mujibu wa Katiba ya Chama ibara ya 7.7.4 na Mkurugenzi wake kuteuliwa kwa mujibu wa Katiba Ibara ya 7.7.16 (b).
Kurugenzi hii iliundwa ili kuweza kutimiza malengo mapana ya chama kwa mujibu wa Mpango mkakati wa chama wa 2016-2021.
Kurugenzi hii ina idara tatu kama ifuatavyo;
  • Idara ya Uenezi
  • Idara ya mawasiliano ya Umma
  • Idara ya mambo ya Nje
Kurugenzi hii itakuwa na majukumu yafuatayo;
  1. CHADEMA Media
  2. Uenezi wa Chama
  3. Mawasiliano na umma
  4. Mahusiano na Makundi ya Kijamii
  5. Mahusiano ya Kimataifa na Diaspora
  6. Itifaki ndani ya Chama

Tunawakaribisha wadau wote ambao wako tayari kushirikiana nasi kama taasisi ili tuweze kuyafikia malengo tarajiwa kwa ajili ya kuwa na taifa lenye afya ya Kidemokrasia na lenye kufuata Katiba ,Sheria na kanuni tulizojiwekea.
 
Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
4,582
2,000
Nimefurahi sana kupata ufafanuzi kutoka kwako bwana Kibanga. Naendelea kushauri.

Chadema waone umuhimu wa kuwa na Katibu mwenezi badala ya kuwa na kurugenzi yenye mchanganyiko wa majukumu.

Ukitazama hapo unaona Kiongozi wa hii kurugenzi ya uenezi Hemedi Alli ni mgeni masikioni na machoni pa wengi. Vyombo vikubwa vya habari Sidhani kama anafahamika au anavitumia vya kutosha.

Nahitimisha kuwa kuna tatizo la ki muundo wa chama na hii imesababisha chama kujieneza kwa njia za kimafia kupitia watu kama Mdude , Mange, na wengine.

Tatizo hili linawapa kazi ngumu Katibu mkuu na mwenyekiti kufanya shughuli za uenezi na kuwafanya kuzoeleka. Ndio sababu Polepole anamparamia Mbowe .Angalikuwapo Katibu mwenezi mwenye nguvu angewalinda viongozi wa juu kwa ku absorb pressure za chini na kufanya baadhi ya Press.

Chadema pokeeni ushauri huu.

Watu kama Nyalandu, prof J , Shilinde anayeondoka, wangeweza kufanya jukumu hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom