Uenezi CHADEMA jukumu la nani?

Chadema Ni chama Cha makambale wote wana ndevu(kila mtu msemaji wa chama)
Kuna huyu Mrema sielewi kazi yake. Yupoyupo tu kama reporter si reporter akili ya siasa hakuna kabisa. Hawezi kujiongeza akajenga au kupangua hoja . Hajitegemei lazma awe ubavuni mwa Mwenyekiti au Katibu.

Benson Kigaila ama Sugu wangefaa sana .Chadema ifanye siasa isitwegemee wafuasi hoyahoya au wahuni wanaotukana mtandaoni.

Utasikia chadema italinda kura, Chadema itakinukisha sio kweli kwakuwa chadema haienezi hakuna mfia chama na ccm wanajua. Watamtangaza yeyote kwakuwa chadema haina wa kuipigania, labda mgombea mwenyewe.
 
Back
Top Bottom