TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,762
- 21,232
Imetokea jana hapa mkoani Arusha eneo karibu na kiwanda cha mbolea cha Minjingu.
Hapo chini kuna pikipiki na mtu ambaye tyre ya gari imepanda kichwani na juu ya chuma jirani na kioo cha mbele na roof huyo ni afisa usafirishaji baada ya kuchapwa ndiye katulia hapo jumla.
Kwa muonekano huo wa gari hadi kukunjika bodi na vyuma vya hapo mbele (ngao), unaweza kuhisi ni spidi aina gani afisa usafirishaji alikuwa nayo.