Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 651
etoo vs barcelona will be the best to watch.
Kaka naye anarudi San Siro patamu hapo.
etoo vs barcelona will be the best to watch.
thats a wish more than reality if u real mean arsenal fc.I cannot see Arsenal going through ....pamoja na kuwa na timu dhaifu!
Arsenal inasaidiwa kwa kila jambo....lakini haisadikiki
true,kaka sidhani kama atashangilia siku hio kama akifunga goli lol.Kaka naye anarudi San Siro patamu hapo.
true,kaka sidhani kama atashangilia siku hio kama akifunga goli lol.
Kheeeeee heeeeee heeeee Eeeh....!Shem kumbe na huku upo? Kuna jamaa alisema unapenda threads za umbeya na mambo ya Zeutamu wanaziita "Yo Yo effecto"
fingerz crossed tusikutane na Chelsea
...tatizo nilionalo kwa Manure ni hizo safari za ushenzini,...
Moscow na uturuki ni miji mibaya sana, game ngumu sana kwao hizo za ugenini.
Arsenal angalau tunaweza kwa mbaaali kuchungulia Quarters finals hata kipyenga hakijapulizwa...
fingerz crossed tusikutane na Chelsea au Liverpool kwenye Quarters au Semis,...
Nawatamani Barcelona, Real Madrid au Inter Milan tuwafunze adabu!
All in all, Goodluck kwa MAN U, CHELSEA, LIVERPOOL na Ze GUNNERS wote...
CL bila top (four) English Clubs haijanoga bado!
duuh nilisahau kwamba ibrahimovic nae anaenda kumshambulia mourhino nae.hii barcelona vs inter = etoo vs ibrahimovic .
Mi nasubiria kuona tutapangwa na nani hatua ya mtoano ,huku sina presha kabisaaa...No, mwezi May tayari theluji ishasahaulika huko. Hizi games zitakuwa miezi ya winter mpwa... wana kaaaaaazi kweli kweli kina Belo na Eqlypz mwaka huu...!
presha zitaanza karibuni tu lool.Waungwana mambo ndio yanaanza leo masaa machache kutoka sasa. Vipi waingereza wataingiza timu nyingine kwenye fainali msimu huu?
![]()
thats a wish more than reality if u real mean arsenal fc.
sheria mpya ndio itaongea zaidi.nasikia arsenal wanajiita VETA siku hizi, kutengeneza wachezaji chipukizi kwa ajili ya timu zingine wakati wao wakivurunda kila siku na kuendelea kusubiri "msimu ujao"
presha zitaanza karibuni tu lool.