UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Mpira hauko hivyo mkuu, kila game inakua approached kwa namna yake.

Madrid wapo below form hilo halina ubishi ndugu, ni advantage city today! Baada ya ku draw na Valencia nyumbani walienda away kwa Getafe(hawa ni visiki kama Stoke City ndio walimchapa hata Barca nyumbani kwao last season) Madrid akala kichapo cha 2-1 waliporudi home wakacheza na vibonde Granada wakashinda 3-0 ikaja mechi ngumu na Sevilla na wao walijua mechi hii ni ngumu japo msimu uliopita waliifunga Sevilla 6-1 hapo hapo kwao,matokeo ni kwamba hadi dakika 90 zinaisha walikuwa wamekalia msumari mmoja!
 
Haina jipya. Namkubali Ramires. Hazard has an ego problem sipendi wachezaji wa hivyo and if he doesn't come back down to earth inaweza kumcost.

Haha..sijainotice hiyo ego bado kwa dogo Hazard..why do u say so? do i need to watch his interviews labda i may notice it!??
eniwei, apo kwa Ramires tunawaza sawa..huwa sipendi (na sioni kama anacheza vizuri) akicheza Premier league sijui kwa nn.
Torress wamuuze au wamgawe tu pengine ama akubali kucheza namba kumi...though Sturridge simkubali kivile ila ni afadhali na uchoyo wake atlist anamtazamo goli...

Juventus naikubai mid yao kwa kweli inatisha aisee...
 
Mentor yeah, unahitaji kucatch up na interview zake. Nadhani wachezaji kama Ramires wanahitaji kucheza mfululizo na Di Matteo ana rotate mno. Kwenye Champions League Ramires alikua yumo kikosini panga pangua and that helped. Torres tatizo lake lipo kichwani zaidi, sijui mtamfanyaje.
 
Last edited by a moderator:

U have spoken well...like a true sportman!
Somehow na mimi huwa nakuwa tempted kufikiri kama wewe lakini at times hiyo rotation yake ndo ina help ku-surprise enemies wake...
Something in me tells me he was ust not cut for chelsea...au labda we give him time na more games as he claims!
 
View attachment 65266

  • Group A
    • Dynamo Kyiv
    • Dinamo Zagreb
    • Porto
    • PSG
  • Group B
    • Schalke
    • Montpellier
    • Arsenal
    • Olympiacos
  • Group C
    • Anderlecht
    • Málaga
    • Zenit
    • Milan
  • Group D
    • Man. City
    • Dortmund
    • Ajax
    • Real Madrid
  • Group E
    • Juventus
    • Shakhtar Donetsk
    • Nordsjælland
    • Chelsea
  • Group F
    • Valencia
    • LOSC
    • BATE
    • Bayern
  • Group G
    • Benfica
    • Barcelona
    • Spartak Moskva
    • Celtic
  • Group H
    • CFR Cluj
    • Man. United
    • Galatasaray
    • Braga

Welcome, Ladies and Gentlemen to this season's UEFA Champions League. Football is back. Let us share the match reviews, reports, action, hope and even despair. Viper, Ulimakafu, Katavi, Belo, BelindaJacob, ndetichia, mtotowamjini, kashengo, Wacha1, Rejao Balantanda, Giro, Jaguar, Questt, Pazi, Oxlade-Chamberlain, Manda, Peasant, Mentor, BAK, Kuntakinte, Ambitious Karibuni wakuu.

hapo i expect man u arsenal chelsea to go through...man city maybe...group A ni boring hakuna kitu...am looking forward to madrid vs man city tonight..thank God CL is back
 
hapo i expect man u arsenal chelsea to go through...man city maybe...group A ni boring hakuna kitu...am looking forward to madrid vs man city tonight..thank God CL is back

also thanks ur lord god you support team which is not in death group like my team see you there already i bet for draw..
 
nitafurahi sana kama man city watakishinda na kuking'oa kisiki cha morinyo
 
Hivi Arsenal mtafika mbali kweli? eniwei game ya leo kama mmeshashinda vile!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom