UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
MwafrikaHalisi Mie nsdhani sijakuelewa kaka... Ina maana kwa games za CL hatuna haja kwenda kwenye clubs special threads au??? Koz kuna Arsenal Special Thread for any kind of compitition we as JF arsenal Fanz & Arsenal Haters do meet there.... So with this new thread up on air whats up with the previous???

Anyway thanx for the co bro!!! Always GOONER
 
tembo hashindwi na mkonga wake...
Mie na Ac Milan...Ac Milan na Mie.
Watatusema vibaya, watatuchukulia wachezaji wetu, tutafungwa wee lakini kwa sasa ni ''world most sucssesful football club''...

Forza Milan.
Rosonelli mpaka kufa.
 
In a days of glory, in the days of sorrow the true
fans are always with you, Milan!!!
 
Mkuu Questt nakuelewa, but here we get to talk about every other game. Ukiangalia thread za timu zilizo changamka ni chache. So I thought we can collectively engage here. Ila kule kwenye timu zetu tutakuwepo kama kawaida.
 
PSG has had the best signings in the summer transfer window. Let's wait and see ..

Yeah wamejitahidi kusign lakini kama Ibrahimovic alivyosema kwa mwaka huu hawana uwezo wa kushindana na the likes of Barcelona, Madrid, Bayern, etc.
 
Glory glory Manchester United...
Leo kuna ka-mechi murua kabisa wasema mengi wanakutana uso kwa uso...Man City wamepania sana hii game.
Arsenal wakizubaa tu hawana chao.
 
tembo hashindwi na mkonga wake...
Mie na Ac Milan...Ac Milan na Mie.
Watatusema vibaya, watatuchukulia wachezaji wetu, tutafungwa wee lakini kwa sasa ni ''world most sucssesful football club''...

Forza Milan.
Rosonelli mpaka kufa.

Hehe. Pale nyumbani kwako si mmeanza kujenga timu upya? Mna kazi sana.
 
Glory glory Manchester United...
Leo kuna ka-mechi murua kabisa wasema mengi wanakutana uso kwa uso...Man City wamepania sana hii game.
Arsenal wakizubaa tu hawana chao.

Naona mmeanza mapema. You guys won't stop writing off Arsenal eh? 90 minutes.
 
first eleven JUVENTUS ni Buffon, Chielini, bonucci, barzagli(ulinzi hapo) Pirlo,Vidal, Marchisio, Asamoa, Giacchelini(viungo hao) Giovinco na Vucinic(ushambuliaji)
1 Buffon
2 Lucio
3 Chiellini
4 Caceres
6 Pogba
8 Marchisio
9 Vucinic
11 De Ceglie
12 Giovinco
15 Barzagli
17 Bendtner
19 Bonucci
21 Pirlo
22 Asamoah
23 Vidal
24 Giaccherini
26 Lichtsteiner
27 Quagliarella
30 Storari
32 Matri
33 Isla
34 Rubinho
39 Marrone
 
Real Madrid leo wanampiga mtu.

Yaweza kuwa tofauti ndugu, madrid wako out of form hata Valencia ameweza kuwasimamisha Bernabeu! Leo Madrid akipona sana draw, Man City wana watu wanaoielewa Madrid vema na wanaweza acha kilio Bernabeu Aguero,Silva,Yaya Toure,Xavi Garcia! pia kuna matatizo pale Madrid CR7 hayuko happy,imepelekea timu kuwa haiko happy watu wanajipigia tu!

If you think i dont know football, just throw a ball in the neighbourhood and i will prove you wrong
 
Mbona B52 simuoni hapa? Chelsea anakufa hapa
 
Yaweza kuwa tofauti ndugu, madrid wako out of form hata Valencia ameweza kuwasimamisha Bernabeu! Leo Madrid akipona sana draw, Man City wana watu wanaoielewa Madrid vema na wanaweza acha kilio Bernabeu Aguero,Silva,Yaya Toure,Xavi Garcia! pia kuna matatizo pale Madrid CR7 hayuko happy,imepelekea timu kuwa haiko happy watu wanajipigia tu!

If you think i dont know football, just throw a ball in the neighbourhood and i will prove you wrong

Mpira hauko hivyo mkuu, kila game inakua approached kwa namna yake.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom