UEFA Champions League, Special Thread

UEFA Champions League, Special Thread

Status
Not open for further replies.
Yule anaexperience na anajua jinsi ya kuwin
 
Yule anaexperience na anajua jinsi ya kuwin

Hopefully it'll happen as you suggest.Ila akizembea anaangukia pua vibaya sana hao Dortmund ni moto wa kuotea mbali,Man City wako njema na Ajax si wageni ni household name kwenye CL.
 
Nzi mkuu tathmini yako imebidi niisome mara mbili.Imagination yako inafanya kazi vizuri sana ni kama umeshacheza baadhi ya match kichwani kwako.
Ila naona kuwa uwezekano wa kuweko kwa last minute surprise packages za kutosha kwenye haya makundi,hawa UEFA ni kana kwamba wamepangilia mambo yawe very exciting.
Nakubaliana na wewe mpira utachezwa barabara kwenye kundi A yaani itapigwa ile kitu ya mtu kufia uwanjani ili apite kwenye hilo kundi kwa sababu wote wana uwezo wa kupenya hapo.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Man U kwa Braga atapoteza angalau point 4. Sijaona kikwazo kwa bingwa mtetezi. Real madrid vs ma city will be the game of season in group stage
 
Man U kwa Braga atapoteza angalau point 4. Sijaona kikwazo kwa bingwa mtetezi. Real madrid vs ma city will be the game of season in group stage

Poti mbona unaitabiria mabaya Man U hebu toa sababu ya wewe kusema hivyo.
Chelsea atafurukuta bila shaka.
 
Man city real madrid and ajax??!! Now thats interesting bt in football u never say never.. I hope man city get thru the group so that they have as many games as the rest of us
 
Ambitious , kama wadau wengine walivyoona hilo group D ni changamoto. Angalau sie Manure group halitishi, ila kwenye mpira chochote kinaweza kutokea.
 
Last edited by a moderator:
Man city real madrid and ajax??!! Now thats interesting bt in football u never say never.. I hope man city get thru the group so that they have as many games as the rest of us

Man City wameangukia kundi gumu sana Mancini atakuwa amelaani sana.
Ila wakikaza watapita ila Dortmund wako njema sana kutakuwa na ushindani babu kubwa.
 
Ambitious , kama wadau wengine walivyoona hilo group D ni changamoto. Angalau sie Manure group halitishi, ila kwenye mpira chochote kinaweza kutokea.

Kwa huu muda kidogo ambao nimekuwa duniani na kuufiatilia huu mchezo wa soccer ni kweli lolote laweza tokea.
Manchester United iko na nafasi ya kufanya vizuri hasa kukifanyika marekebisho kwenye backline.
 
Last edited by a moderator:
lets hope to get exciting moments from group D huku Morinho kule Mancini duh sijui hata itakuwaje hiyo mechi ya kwanza
 
lets hope to get exciting moments from group D huku Morinho kule Mancini duh sijui hata itakuwaje hiyo mechi ya kwanza

Ha..ha..ha Namsubiria bwana Balotelli mzee wa mbwembwe za ajabu lazima atazinguana na Mourinho coz wote wana jeuri sana.
 
hahah hamuwezi morinho na kwenye hiyo mechi anaweza aspangwe kabisa
 
On papers kundi D ndio gumu kuliko mengine,ila kundi la chelsea (E) nalo ni very tricky hasa kutoka kwa Juventus na Shaktar sababu hzo team mbili ztakua ngumu sana kufungwa nyumbani, Juve wako vzuri na team ishakaa pamoja kwa muda wa kutosha tofauti na chelsea ambayo ni kama project mpya, Shaktar wale wabrazil wao na spirit yao ya kicommunist inaweza ikawa shubiri pale kwao kwa wagen hasa chelsea, hao wa denish ni ngazi tu
 
Man City wameangukia kundi gumu sana Mancini atakuwa amelaani sana.
Ila wakikaza watapita ila Dortmund wako njema sana kutakuwa na ushindani babu kubwa.

If you look at which teams are favorites to go thru tutasema madrid and ajax simply coz madrid na ajax wameshashinda champions lg before and city havent so people would say they r favorites to go thru the knockout stages bt we all know anything can happen in football and u dont rule out man city that easily
 
Group D ngoma inogile ingawa naona kama Ajax ndio watakuwa wanyonge.

Je unafikiri ajax itakubali kupigwa kwa mara ingine tena na real madrid na je chama langu city litakubali kutolewa kwenye makundi tena ishu nyengine hata hawa BvB nao watakubali kiurahisi kweli siipati picha hapo bernabeu itakuwa madrist v city kweli ukubwa jiwe..
 
Man city real madrid and ajax??!! Now thats interesting bt in football u never say never.. I hope man city get thru the group so that they have as many games as the rest of us

kweli mkuu maana hapa nahisi ndio itakuwa kwenye hali ngumu kupita timu zote za UK sina hamu kabisa na kina platini..
 
Poti mbona unaitabiria mabaya Man U hebu toa sababu ya wewe kusema hivyo.
Chelsea atafurukuta bila shaka.

Mkuu Ambitious historia ina heshima yake katika football. Man U hajawahi shida katika ardhi ya Ureno
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom