hili game kweli ni zito nimeanza kukubali ,
Mhhh, naona ni kazi kweli kweli kuangalia hii mechi. Kama ingewezekana basi ningetoka kidogo ili nikute mpira umeisha. Ni roho mkononi full time. Ngoja tusubiri dak 45 zijazo.
Barca wanashinda........Refa kawabeba,labda wasibebeke....Sema Inter wana ukuta mgumu haswaaaaaaaaa
Hapa ni mwendo wa kupaki basi tuu na kubutua kudadeki zao. Ila tatizo la Barca ni kama zilipendwa watawapigia zeze inter mpaka wataachia wenyewe.
jipe moyo,muda ndio unataradadi.
Shots on goal yenyewe tangia mechi ianze ni moja tu sasa sijui watashindaje.jipe moyo,muda ndio unataradadi.
Nijipe moyo wa nini, unajua nashabikia timu gani hapo? Hao slowly wanarun out of ideas.....!!!
Sufuri mazee..hii ngoma imelala,barca hawarudishi goli mbili..............hivi wana hata 1 shot on target second half??
Ujipe moyo wa eti inter wataachia.