Hao wakufungwa 4-1 ni hao hao Inter waliocheza jana? Disadvantage ya Barca ni kuwa inabidi washambulie kutafuta magoli mengi na wazuie wasiconcede away goal sasa hapo ndipo patakuwa patamu na tukumbuke kuwa Mourinho ni tactician mzuri sana atakuja na mbinu za kuwafanya jamaa waachie tuu.
...hata sisi, (..ndiyo, sisi ARSENAL "chama kubwa!") tulidhani hayo hayo, matokeo yake Messi alitu 'Messed Up' ki kweli kweli...Barcelona watawafunga Inter hizo goli nne na Ubingwa kuuchukua.
Achaneni nao jamaa hawa wakiwa Camp Nou, acheni kabisa...!
Leo ndio leo....let me reserve my comment for now .....
Nina imani kubwa na Barca
haya bwana ngoja nishikilie tu tu hicho kitu
Kweli dada yangu. Usiseme kitu. Zamani wakati tunacheza tulikuwa na tabia ya kushikilia mahali fulani wakati tunasubiri kona au penalt ipigwe. Shikilia tu kwani hata Lyon walikuwa na matumaini. Mimi pia sisemi kitu.
Inter Milan face holders Barcelona in the semi-finals of the Champions League and the cast is an impressive one. [+]
Wakuu mnaweza kuweka utabiri wenu wa mechi hii kali na wengi tunategemea mshindi wa nusu fainali hii ana nafasi kubwa kuwa bingwa japokuwa bayern pia wana nafasi yao.
weweeee acha kabisa leo ndo boli linapigwa,hakuna kulala
moyo unanikimbia tu apa,oh my great team!!
weweeee acha kabisa leo ndo boli linapigwa,hakuna kulala
moyo unanikimbia tu apa,oh my great team!!
Kweli dada yangu. Usiseme kitu. Zamani wakati tunacheza tulikuwa na tabia ya kushikilia mahali fulani wakati tunasubiri kona au penalt ipigwe. Shikilia tu kwani hata Lyon walikuwa na matumaini. Mimi pia sisemi kitu.
I dedicate my 1000 post to all my avatar's haterz..