Kweli ni noma kweli kweli..
au unasikia kuwa Heaven on earth anamdukua figganigga kwa mwenendo wake wa siri siri na Passion Lady..
siku za nyuma kulikuwa na mdukuzi matata sana hapa cc!
sijajua siku izi anatumia ID gani..
kiwatengu we kweli mdakuzi yaani hii habari umeinyakaaKweli ni noma kweli kweli..
au unasikia kuwa Heaven on earth anamdukua figganigga kwa mwenendo wake wa siri siri na Passion Lady..
siku za nyuma kulikuwa na mdukuzi matata sana hapa cc!
sijajua siku izi anatumia ID gani..
hahahaaa!!acha watu wadukuliwe bana
kwa raha zao wadukuane,mi napita naenda kwny kampeni!!
nguvu anayotumia ni zaidi ya nguvu....