UDSM waagizwa kufuta matokeo Uchaguzi wa Rais mpya DARUSO

Inashangaza sana mgombea unakata rufaa kwenda Utawala badala ya kuelekeza rufaa kwenda Bodi ya Rufaa ya uchaguzi, na hii inathibitisha kabisa kuwa kuna maelezo yametoka kutoka juu.

Nimepita viungani UDSM nikazungumza na baadhi ya wajumbe wa Tume ya uchaguzi na Pia Bodi ya Rufaa wamethibitisha kupokea Petition kutoka kwa wagombea wawili Frank na Matulanya Wao wakipewa kwa taarifa ila Petition ikielekezwa kwa Makamu mkuu msaidizi upande wa utawala kwa ajili ya utekelezaji wake.
 
Taarifa zilizopo kwa watumishi mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na wanafunzi wa chuo hicho ni kuwa limetolewa "agizo kutoka juu" kuwa matokeo ya uchaguzi wa rais wa serikali ya wanafunzi yafutwe kwasababu mgombea aliyeshinda "ni mtu hatari"

Katika kutekeleza jambo hilo, tayari zoezi la kumuapisha Nhonya Haroun Stanley limesitishwa, kwa maelekezo ya Dean of students.

Taarifa kutoka kwa mmoja wa watumishi wa chuo hicho zinadai kuwa, uchaguzi huo umeagizwa ufutwe na viongozi waandamizi wa chama tawala Mara baada ya wagombea Frank Isack na Matulanya Evarist waliokuwa wakiungwa mkono na Haroun Stanley aliyetajwa kuungwa mkono na wanafunzi wapenda mabadiliko.

Mmoja kati ya wagombea hao wawili wanaodaiwa kuwa walikuwa wakiungwa mkono na CCM amedaiwa kusambaza taarifa kwa marafiki zake kuwa waliagizwa na viongozi wa chama chao kuwa waandike "barua ya kukata rufaa na kuielekeza kwa DVC administration kupinga matokeo ya uchaguzi, ili uongozi wa chuo utoe kisingizio kuwa umepokea malalamiko na kufuta uchaguzi."

Tayari pia mchakato wa uchaguzi wa Spika na naibu Spika umesitishwa na uongozi wa UDSM.
enzi zetu "Mzee Punch" angefanya vitu vyake afu kesho revolutionary square pangechimbika!!
 
hapo UDSM SIKU izi pamejaa ujinga ujinga tu. kwani rev .squre mlishaua? nendeni mkutane hapo mliamzishe. enzi zile mzee luhanga methiew alikuwa anakimbia nyimbo tu
 
Mbwiga kufananisha vitu siyo kuvidharau kama ambavyo akili yako ina kata kata!
kuna DHARAU, ZARAU na ZALAU we fala umeleta zalau kwa kufananisha udsm na Shule zetu, mkiwa humu jf mnajikuta mnaakilii papuchi za mama zenu!
 
Vijana wajikite kwenye Masomo

Miaka Mitatu Au minne Ni michache sana,

Siasa za Daruso zisiwatoe kwenye Msingi wa kilichowapeleka
Miaka ya nyuma serikali ya wanafunzi haikwepo na na je hawakusoma?
 
Kwa waliosoma UDSM na vyuo vingine students politics hazisaidii kitu chochote kwenye future ya mtu.Ni bora wakajitahidi kusoma kwa bidiii na wamalize masomo yao salama. Finally, DARUSO or whatever, ipo pale kuwanufaisha students leaders kwa kiasi kikubwa
 
Back
Top Bottom