UDSM waagizwa kufuta matokeo Uchaguzi wa Rais mpya DARUSO

Kwahiyo ' Logically ' tu wasio Wasomi kama Mimi au wale ambao hawakupita hapo UDSM huu ' Upuuzi ' wao wanafaidika vipi nao? Nasubiri jibu lako katika hili ili niweze kujua ' Usomi ' wako na ikibidi hata kuijua pia aina ya ' IQ ' ambayo unaimiliki katika ' Kichwa ' chako hicho.
Elewa neno wasomi nimelitumia kwa jumla jumla ila inaonekana unataka ligi...hivyo vitu vinafaida kwa wana UDSM watu kama wewe, tena wakimbizi havina umuhimu, cha msingi unachotakiwa kuelewa ni kwanini inasemekana executive au kuna maelekezo kutoka juu yanayotaka kibatilisha ushindi uliopatikana kwa mteule wa Daruso maswala ya IQ au chochote kile no irrelevant kwenye hoja yako uliotumia
 
Kama huu ndiyo uwezo wako wa mwisho wa Kufikiri basi acheni tu Wanyarwanda hasa Watutsi tuwatawaleni Watanzania. You've got a very low IQ!
 
Wazo hilo ungelielekeza kwa watawala wa serikali ya awamu ya tano. Watanzania tuna matitizo lukuki sasa inakuwaje serikali hii inahangaika na uchaguzi wa DARUSO?
No,hata kwa DARUSO ni sahihi mkuu.Kwa nini wanafunzi watumie nguvu nyingi na muda mwingi kwenye mambo ambayo hayana matokeo chanya kwao?Kwa nini wasijihusishe na masomo ambayo yatawasadia wao wenyewe,familia zao na taifa kwa ujumla?
 
34066365_1428488443963804_5741505104402448384_n.jpg

hii ndio barua rasmi DARUSO
 
Yaani Watanzania tunaacha kuhangaika na matatizo na changamoto ambazo hadi leo zinatufanya tuwe masikini / fukara hivi Kimaisha na Kimaendeleo Watu wazima kabisa tena wanaojitapa kabisa kuwa ni Great Thinkers akili zao zote wameziweka katika Uchaguzi wa DARUSO. Hivi Rais wa DARUSO ndiyo anayetengeneza Uchumi wa Tanzania na Ustawi wake Kiujumla?

Sijawahi kusikia mahala popote pale Waingereza wanapoteza muda Wao na ' affairs ' za Wanafunzi wa Oxford University au sijawahi kusikia Wamarekani wanapoteza ratiba zao za Kimaisha kwa ' affairs ' za Wanafunzi wa Havard University ila ' Upuuzi ' huu utaukuta tu Afrika na nadhani sana sana hapa Tanzania.

Acheni tu Wazungu ' watucheke ' na watuone wa ' hovyo hovyo ' kila Siku huku Wao wakichanja mbuga na kutuacha!
Huu upuuzi unaousema, umeanzishwa na serikali ya CCM baada ya pandikizi lililowekwa na chama chako cha CCM kushindwa kidemokrasia kabisa kwenye Uchaguzi wa Rais wa DARUSO..
Ilaumu serikali ya chama chako CCM kwa kutokuwa na akili.
 
Huo ni mtazamo wako tu nondo aliwapigania wenzake Leo yuko wap kama so kuachwa solemba,tena watu kama nyie mnafurahia saizi sababu bado hajapatwa na janga akipatwa wote kimya.mwanza wamefukuzwa wanafunzi wangekuwa na uchungu na wenzao wangechukua hatua
fanya kazi wewee
 
Huu upuuzi unaousema, umeanzishwa na serikali ya CCM baada ya pandikizi lililowekwa na chama chako cha CCM kushindwa kidemokrasia kabisa kwenye Uchaguzi wa Rais wa DARUSO..
Ilaumu serikali ya chama chako CCM kwa kutokuwa na akili.
That is the fact,
Na Mastermind behind all this upuuzi ni Bwana Humphrey Chakubanga 2xPole
 
Back
Top Bottom