Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,775
Sorry hiyo ni typing error. Nimemuuliza mdogo wangu kasema yeye yuko normal, e.g. kasema wakati mwingine power point na maspika hutumika. umeme ukikatika basi anazungumza hivyox2 atakayeweza kumsikia sawa. Kusahihisha ni issue pia. Eg. Continous assessment 1,500 wordsx300students= 450, 000 words ataweza kukagua kila kitu?hahahah,mkuu hat kuandika lecturer unashndwa kwel? afu huyo mdogo wako,sina hakika kam kwel atakuw normal.kwan darasan lecturer kufundisha anatumia nin? na anafundisha kwa muda gan au chuo ni kama advance? embu ficha ujinga wako wa kusema umesoma masters.embu kuwa serious kidogo afu jenga hoja zinaeleweka bhan,acha kupoteza muda.
Ingia google: THE BEST UNIVERSITIES IN AFRICA 2015. Sijaweza kuunganisha na hiyo source.hizo takwimu labda za TWAWEZA,udsm ilishuka sana
udsm iko out of 10 kitambo sana labda kama TWAWEZA wamepika dataIngia google: THE BEST UNIVERSITIES IN AFRICA 2015. Sijaweza kuunganisha na hiyo source.
Huko kushuka sana hadi ikawa ya 7 kumbe ilikuwa juu sana.
Ktk top 10 kwa vyuo vya Africa, SAUT sijakiona.
Pole mkuu na TWAWEZA sijui ilikukosea nini.udsm iko out of 10 kitambo sana labda kama TWAWEZA wamepika data
mkuu lakin,wanafunzi wake wapo makin kufuatilia lectures na ni competent idadi ya wanafunz kwel ni kubwa lakin ukingia kiundani kuna course ambazo wanasoma wanafunzi wte na zngne watu w course husika,pia kuna changamot ya joto katka venues hakuna ac wala mapanga boi,kwel n shida sana kwa mazngira yale but nina uhakika ndio hayo mazingira yanafanya vijana wanasurvive na kutoka na degree iliyoiva au kupikwa vizur.ukicompare na vyuo vyote ambvo havifanani na iko chuo kimazngra,pamoja na wakufunzi wake weng ni makini.Sorry hiyo ni typing error. Nimemuuliza mdogo wangu kasema yeye yuko normal, e.g. kasema wakati mwingine power point na maspika hutumika. umeme ukikatika basi anazungumza hivyox2 atakayeweza kumsikia sawa. Kusahihisha ni issue pia. Eg. Continous assessment 1,500 wordsx300students= 450, 000 words ataweza kukagua kila kitu?
unaweza kuwa serious kweli mkuu?Laiti mngejua tunayokutana nayo maofisini,msingeleta hizi habari za graduates kutoka UDSM......anyway,nadhani UDSM inakuwa juu kwenye rank kwa kubebwa na wingi wa "maprofesa" waliopo pale kwani nacho huwa ni kigezo.
Sorry sijakuelewa. Kwa hiyo kinachofanya udsm kuwa bora zaidi kuliko vyuo vingine ni nini haswa? Joto la Dar? Kukosekana kwa ac/mapangaboi? Kudahili wanafunzi wenye akili sana? Au ukubwa wa jengo? Au lecturers kuwa na akili sana?mkuu lakin,wanafunzi wake wapo makin kufuatilia lectures na ni competent idadi ya wanafunz kwel ni kubwa lakin ukingia kiundani kuna course ambazo wanasoma wanafunzi wte na zngne watu w course husika,pia kuna changamot ya joto katka venues hakuna ac wala mapanga boi,kwel n shida sana kwa mazngira yale but nina uhakika ndio hayo mazingira yanafanya vijana wanasurvive na kutoka na degree iliyoiva au kupikwa vizur.ukicompare na vyuo vyote ambvo havifanani na iko chuo kimazngra,pamoja na wakufunzi wake weng ni makini.
Ni kawaida kila MTU kusifia chuo chake.Halafu huyo mdada kwanini kaweka UDSM kama Reference kwanini asingesema StJohns au Muslim University?SAUT? Chuo cha kata hicho..watu kuscore coursework za 40 ni kawaida kabsa. Sasa nenda udsm kama hujadisco.
Habar wakuu kuna post mdada kapost akidai degree moja ya Saut ni sawa na degree tatu za Udsm iv wakuu kuna ukweli hapaView attachment 449583
Endelea kujidanganya hvo hvo,, hata divison 3 n cream?? Ma division 3 yapo kibao udsm!!? Ni cream gan hasa unayoizungumzia??Matokeo ya form six yakishatoka cream inaenda Udsm , makapi Ndiyo yataenda vyuo vilivyobaki
Eti kati ya kichuguu na mlima Kilimanjaro, kipi kirefu?Habar wakuu kuna post mdada kapost akidai degree moja ya Saut ni sawa na degree tatu za Udsm iv wakuu kuna ukweli hapaView attachment 449583
wew mwenyewe umesoma masters SAUT baada ya kukosa GPA ya kutosha kuwa enrolled UDSMNi kweli, udsm chuo cha kitoto. Mimi nimesoma saut (masters) na udsm (undergraduate). Saut wako serious acha kabisa!
Nina gpa ya 3.8, nilisoma saut kwa kupenda mazingira. udsm wahadhiri wapo busy na miradi yao. Saut wapo busy na wanafunzi. Usidharau saut kuna wahadhiri waliobobea. Hata Prof Mwasigwa B unamdharau? Na Prof Mlambiti je? Na madaktari kibao kutoka nchi zilizoendelea, waliowafundisha walimu wa udsm waliosoma nje.wew mwenyewe umesoma masters SAUT baada ya kukosa GPA ya kutosha kuwa enrolled UDSM