hapa sawa ,ila mapambano ya nini ambayo unataka wayaendelezo???Vijana wa mlimani endelezeni mapambano ila tu msivunje na kuchoma mali za shule!
hapa sawa ,ila mapambano ya nini ambayo unataka wayaendelezo???
Jamani tuwasaidie Wanafunzi hawa,kuwalaumu inaruhusiwa ila baada ya lawana tutoe ushauri unaojenga.Mimi si mshabiki wa chama chochote cha siasa ila ni mshabiki wa maendeleo. Kama chama chochote kikiwaita wanafunzi kwa maslahi ya wanafunzi hao sidhani kama kuna ubaya kuhudhuria. Kwa hili la kufukuzwa wanafunzi nashauri wajaribu kumtafuta Waziri wa Elimu, naibu waziri au mkurugenzi wizara ya elimu anayeshughulikia maswala ya vyuo kwani mahakamani hakulipi,nawahakikishia hilo.
Mwafrika wa kikeMapambano ya demokrasia katika uendeshaji wa mambo yao ya chama na haki zao kama wanafunzi wasomi na watu wazima kabisa wenye akili zao na wanaopaswa kuheshimiwa.
Mapambano ya demokrasia katika uendeshaji wa mambo yao ya chama na haki zao kama wanafunzi wasomi na watu wazima kabisa wenye akili zao na wanaopaswa kuheshimiwa.
Mwafrika wa kike
unajua unachokiongea??ninavyofahamu mie pale Chuo kikuu hakuna chama cha siasa,na kama unavyosema chama unamaanisha DARUSO..DAR Es sa laam University Student organization..ina maana kwa kiswahili gani organisation inafall kuwa a party??
Haki unayoisemea hapa ni haki ya kikatiba?ila cha kufahamu DARUSO imeanzishwa kutokana na sheria ya Chuo kikuu cha Dar es salam.na kuna Student bylaws ambzo mwanafunzi anatakiwa kuzifuata.
tutofautishe haya mambo mawili na sio kuongea ili mradi umepost thread
Sasa uwaelekeze hao vijana kuwa mapambano hayo hayahusishi kugoma hovyohovyo. wajue kwua mapmabano kama hayo hayahusishi kufanya fujo na vurugu zisizo na msingi. hata kama unaonewa, lakini ukichukua njiz zisizofaa kudai haki yako, unaweza kuonekana wewe ni mkosa kuliko yule anayekuonea. Hili ndilo linalotokea UDSM. Ni kweli kuwa uongozi una makosa lakini wanafunzi nao wanatumia njia zisizofaa kudai haki zao.
Kama tatizo ni uchaguzi, kwa nini wasichukue hiyo njia ya kwenda majakamani? kwani wao tatizo ni uchaguzi wa leo tu, kwa nini wasifanye kitu ambacho kitaweka mfumo ambao utahakikisha kuwa uongozi wa chuo hauingilii uchaguzi wa wananfinzi?
They have to get up and act like wasomi
wazo la pili ni kuwa wafungue kesi mahakamani, hiyo ni bure wala haihitaji ela. ila sasa inabidi waorodheshe madai yao ili tuweze kuyajadili hapa kabla ya kuyapeleka huko. japo kwa hints tu
Meanwhile inabidi kwanza chuo kiwarudishe hao wanafunzi wakati hiyo kesi ikifunguliwa maana so far hakuna sababu yoyote ya msingi ya kuwafukuza.
wazo la pili ni kuwa wafungue kesi mahakamani, hiyo ni bure wala haihitaji ela. ila sasa inabidi waorodheshe madai yao ili tuweze kuyajadili hapa kabla ya kuyapeleka huko. japo kwa hints tu
...As longer as wanagoma bila kufanya fujo, migomo yao ni halali kabisaaaaaa
Unakumbuka yaliyotokea februari na kusababisha kifo cha mwanafunzi? walikuwa wanafanya fujo na wakavamia mpaka nyumba za wahadhiri. Hiyo ndiyo nisiyoipenda mimi. Leo hii baadhi wamegoma na walichokifanya hakifurahishi kwa sababu wameanza hata kwuashambulia wanafunzi wenzao ambao hawataki kugoma, Sidhani kama kudai haki kwa nmna hii kunastahili kuungwa mkono!
Kama tatizo ni uchaguzi, kwa nini wasichukue hiyo njia ya kwenda majakamani? kwani wao tatizo ni uchaguzi wa leo tu, kwa nini wasifanye kitu ambacho kitaweka mfumo ambao utahakikisha kuwa uongozi wa chuo hauingilii uchaguzi wa wananfinzi?
They have to get up and act like wasomi
Nakuunga mkono walete hiyo list ya hayo matatizo maana hadi sasa haieleweki hasa what is what.
Mahakamani ndipo Mtikila aliposhinda kesi ya kikatiba ya kuwa na mgombea binafsi, na utekelezaji wake wote tumeuona.
Soma vizuri mama utaona madai yao yako humu na kwenye thread zingine walizoanzisha.