UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

Haya muende mkanunue subwoofer, iphone, android, mademu.. muende mliman city mkale bata pesa zikiisha muanze kula RB!!! baada bata mrudi muanze kusoma afu mwisho wa siku wale kichwa mseme maticha wa noko!!

Hahahaaa mambo ya hostel bila woofer room haithaminiki
 
naizo direct cost inakua kama laki na 80 iv... ��������

DUCE wanatumia hostel tatu, za ndani ya chuo(110,000), za mbagala na mabibo(bei ni moja 95,000)
 
Back
Top Bottom