kwenye hayo yaliyotoka officially kuna baadhi waliopata ingawa kwenye ile iliyoleak waliandikiwa not admit, na pia wapo ambao hawamo kwenye official list coz ile nyingine waliandikiwa not admit, sijui ile list ilikuwa inatoka tcu kwenda udsm, kama ni hivyo huenda walishapata vyuo vingine manake kwenye list ya wanaotakiwa kufanya 2nd round majina yao hayapo, ila kama hayo majina yalikuwa yanatoka udsm then yanaenda tcu huenda mtu akaambiwa kufanya 2nd round badae ingawa alishaambiwa provisionally selected,