aviJR
Member
- Oct 1, 2015
- 77
- 6
Nacte thruu udsm VP jaman hatuelew
Mbn mm tayarii .kozi gani uliomba?
Nacte thruu udsm VP jaman hatuelew
Natafuta wa kunibeba...mabibo ....ntalipia room...
Ngoja wapange utapata wana kibao huko[/QUO
poa aseh

sema manninashida
Laptop gani in nzuri na inauwezo mzur naweza kuipata kwa 400,000/= dukani?
Dell na Acer had 350000
Jaman msaada vp hayo majina ya waliochaguliwa unaangalia vp mbona mi kwnye simu yangu not supprted format,na je mbona katika web y udsm hakuna ilo tangazo na katka profile zetu cas hakuna kilichobdlika? naombeni majbu anaefaham wakuu.