Chuo imekuwa ikimegwa megwa sana...ardhi university, muhimbili university, nk yote yalikuwa chini ya udsm sasa tamaa za uprincipal zimemega chuo sasa hata coet wanataka wawe universityUdsm zamani kidogo miaka ya 2009 ndo kilikuwa tano bora kwenye ranking ya vyuo vikuu vya kusini kwa jangwa la sahara, hapo nakumbuka ilifuata SUA 22, ikafuata Mzumbe 39 na IFM 74,
Lakin tokea 2013 nimekuwa nafuatilia index hizo udsm inacheza 27+ hivi vingine kwenye 200+
Kiongozi nakuomba usipotoshe jamii. Usiipotoshe jamii kwa habari kama hii. Ni vizuri ukauliza ili kupewa uelewa.Chuo imekuwa ikimegwa megwa sana...ardhi university, muhimbili university, nk yote yalikuwa chini ya udsm sasa tamaa za uprincipal zimemega chuo sasa hata coet wanataka wawe university
Sheria kwani haipo siku hizi?Kiliwahi kushika nafasi ya 7,sheria ilikuwa inakipandisha sana
PASCHAL MAYALA UDSM ISHWAHI KUWA YA 25 KATI YA 100 AFRICA.Hoja yako ingekuwa na mashiko kama zamani kilikuwa nafasi za juu, kikashuka, au kwa vile UDSM, kilikuwa chuo kikuu cha kwanza Tanzania, sasa kimepitwa na vyuo vingine vikuu vilivyoanzishwa. Ukisema UDSM imeshika nafasi ya 36, unapaswa kusema kati ya ngapi, mfano hata kwenye football ranking ya Tanzania ni nafasi ya 36, lakini bado tunajivunia, na tumechanga zaidi ya milioni 300 jana kuwamotisha vijana wetu.
Kwenye GDP, Tanzania ni nchi tajiri kwenye top ten barani Africa, tukuchukua the top ten richest, Tanzania ndio ya mwisho.
Hivyo usikisimange chuo chetu, UDSM is still the best in TZ despite all the odds.
P
Jinsi unavyomega university ndivyo unavyofanya kuwa km primary school...Kiongozi nakuomba usipotoshe jamii. Usiipotoshe jamii kwa habari kama hii. Ni vizuri ukauliza ili kupewa uelewa.
Niambie kuna sababu gani uclas kuwa ardhi universityKiongozi nakuomba usipotoshe jamii. Usiipotoshe jamii kwa habari kama hii. Ni vizuri ukauliza ili kupewa uelewa.
Hoja yako ingekuwa na mashiko kama zamani kilikuwa nafasi za juu, kikashuka, au kwa vile UDSM, kilikuwa chuo kikuu cha kwanza Tanzania, sasa kimepitwa na vyuo vingine vikuu vilivyoanzishwa. Ukisema UDSM imeshika nafasi ya 36, unapaswa kusema kati ya ngapi, mfano hata kwenye football ranking ya Tanzania ni nafasi ya 36, lakini bado tunajivunia, na tumechanga zaidi ya milioni 300 jana kuwamotisha vijana wetu.
Kwenye GDP, Tanzania ni nchi tajiri kwenye top ten barani Africa, tukuchukua the top ten richest, Tanzania ndio ya mwisho.
Hivyo usikisimange chuo chetu, UDSM is still the best in TZ despite all the odds.
P
Weka namba mkuu..kesho unapata UDCNimesoma kwa kina comment ya kila mmoja wetu nikabaini kuwa ipo haja yakupata uelewa wa namna gani hizo ranks za vyuo zinavyopatikana. Nasihi vijana pale tunapoona kuna shida kama hizi ambazo zinahitaji ufafanuzi wa kibobezi wa kitaaluma ni vyema kuuliza na si kutupa lawama. Sambamba na hilo, exposure na vyuo vingine vikiwemo vya ndani na hata nje inahitajika pia ili kujua hiki na kile ili kuwa na chakusema. Nasema haya kwa ujasiri mkubwa na uelewa mpana sana kuwa UDSM bado ni chuo kizuri barani Afrika. Ikimbukwe katika vyuo vikuu kazi za wahadhiri ni tatu tu: Kufundisha, Kutafiti na Kushauri. Je, ni ipi kati ya hizo ndiyo hutumika katika kutoa hizo rank? Pia kuna issues zingine ziko nyuma ya pazia juu ya rank hii (*+). Hivyo, binafsi kwa ujasiri mkubwa naendelea kuomba vijana tuwe na namna ya kuomba kujua hususani mada zinazohitaji ubobezi na si kutupa lawama.
Kiliwahi kushika nafasi ya 7,sheria ilikuwa inakipandisha sana
Mkuu hakuna sababu ya msingi zaidi ya kugawana madaraka na vyeo..Jinsi unavyomega university ndivyo unavyofanya kuwa km primary school...
• Harvard Business School
• Harvard College
• Harvard Division of Continuing Education
• Harvard School of Dental Medicine
• Harvard Divinity School
• Harvard Faculty of Arts and Sciences
• Harvard Graduate School of Design
• Harvard Graduate School of Education
• Harvard Graduate School of Arts & Sciences
• Harvard JohFn A. Paulson School of Engineering and Applied Sciences
• Harvard Kennedy School
•
Harvard Law School
• Harvard Medical School
• Radcliffe Institute for Advanced Study
• Harvard T.H. Chan School of Public Health
Niambie kuna sababu gani uclas kuwa ardhi university
Hivi udsm nacho ni "chuo kikuu"?
Chuo kikuu cha DAR ES SALAAM pamoja na kuwa ni chuo chenye kuchukua wanafunzi waliofaulu zaidi mitihani ya kidato cha Sita na baadhi ya wanafunzi kukilaumu chuo hicho kuwa na urasmu na upendeleo wa wazi kwa baadhi ya wanafunzi bado ni chuo kilicho nyuma sana miongoni mwa vyoo vikuu barani Africa.Baadhi ya viongozi wa kitaifa kupitia chuo hiki kuna haja ya kufanyà kila linawezekana kubadilisha hali hii na kujua chanzo cha kukifanya chuo hiki kubakia kuwa chuo dhaifu kwa utoaji wa elimu miongoni mwa vyoo barani Afrika.Kama wadau mnafikiri nini chanzo cha chuo chetu kubakia kuwa nyuma barani AFRICA na Africa mashariki na kati? Ingia mtandaoni utaona tuko nafasi ya ngapi.Tuko nafasi ya 36 kwa mwaka 2018-2019