UDSM- nakubeba hall 6 kwa 190000. First floor block B

Ila watu siku hizi mna tamaa! Wnzi za mwalimu tulibebana kwa hiari na bila kulipishana. Tena kisa mtu yuko off campus tu, anakaa na mshkaji main campus.
Haya bwana, biashara njema.

I remember my life at campus, especially at Hall Six! Kubebana Ilikuwa more a brotherhood courtesy than monetary or profit making business
 
I remember my life at campus, especially at Hall Six! Kubebana Ilikuwa more a brotherhood courtesy than monetary or profit making business

Sasa hivi taabu sana, majitu yana tamaa na pesa. Halafu mnakuja kukutana baada ya kumaliza chuo mtu anaona aibu maana mlipokuwa chuoni alitanguliza pesa badala 'brotherhood'. Watu kama hao, hata kuishi nao chumba kimoja ni taabu tu.
 
Kweli kabisa kubebana sio biashara jamani ila ni msaada tuu kwa mwenzako, mbona mimi nilipokua first year nilimbeba mwenzangu bure, hatimaye na mimi mwaka wa pili nikabebwa bure, fanya wema Mungu atakulipa, first year udsm kumbukeni mwaka ujao zamu yenu kubebwa hebu kuweni na moyo wa huruma kwa wenzenu najua wengi wao udsm ni watoto wa maskini.
 
Back
Top Bottom