UDSM-Law First Classes

Kweli mkuu
 
Poleni sana.Sasa wenzenu tulikuwa tunasoma Law of Contract ya units 6...mwaka mzima
Mkuu umesoma icho kitivo cha sheria udsm...
nataka nikuulize swali

Je unadhani mtu kusoma chuo fulani kunadetermine atakuja kua 'wakili mzuri' akija kuamua kupractice law??

Nikisema wakili mzuri namaanisha competent lawyer kweny kila aspect ya practical law
 
Mkuu nakubaliana na wewe aisee...
Hao jamaa aliowataja sijui wana first class mbona mimi nawaona kua kama vilaza tu hasa huyo Hasani Majamba???

Muangalie mtu kama Buxton Chipeta....aiseee jamaa alikua ni kichwa haswaa....afu unaeza kukuta alikua na degree ya*pass*....

First class haidetermine ubora wa mtu...mbona kuna mawakili kibao ni vilaza haswaaa ila sasa cheki vyeti vyaoo
 
Ulikuwa SAHIHI Leo ya Lissu vs kabudi yanaonekana dhahiri
 
ULIKUWA SAHIHI SANAA
Leo tunashangaa ya Kabudi
 
Upo sahihi Leo yamejidhihirisha
 
naipenda sana sheria na ndo maana naisoma japo ktk chuo cha kata tumaini...but ma role modals ni tundu lisu,prof jwani mwaikusa(rip),general ulimwengu,prof palamagamba kabudi
Haukuwa wrong kumpa TL nafasi
 
Ni vizuri hakuna 1st class za mchezo mchezo,na hata wenye upper second wapo vizuri sana
 
Mi Sijaelewa hapo yani wanachaguliwa cream of the nation halafu hawapati first Class
 
Sema Mkuu nataka natamani sana nikuone mahakamani ukipractice nione kweli iyo upper second yako kama inakufanya uwe wakili mzuri ama bush lawyer....
Mana wengi mahakamani mnambwera mbwera sana yanii ni aibu aibu....
Yanii evidence rules zinawapiga chenga sana sijui mlikua mnakariri hadi mkapata izo GPA kubwa kubwa...
 
Mkuu,mahakamani ndiyo nyumbani kwangu
 
Mkuu,mahakamani ndiyo nyumbani kwangu
Usije kua unapata sifa kama za Pita Kibatala kwenye media wakati hata kuweka 'foundation' ili documentary evidence iwe admitted anashindwa....like seriously.

Ama kama mabere marando mtupu wa legal knowledge ila ukimuona mahakamani ni ujanja ujanja tuu yanii ....yanii mawakili bongo so far niliyemuona kweli yupo fit ni Aisha Zumo Bade....ila hao niliobahatika kuwashuhudia kwakwel ni disaster ....
 
Wale jamaa hata hawafai japo nilipata A kozi mbili nilisoma kule.
Lakini pale msamiati wa disco ulikuwa haufahamiki! Walikuwa wanaanza wote na kumaliza wote! Hizo ni taarifa nikiwa pale mlimani 1983-1986, nikifurahia Chemistry chini ya Prof. Ndalio (ameshatangulia mbele ya haki). Disco nyingi zilikuwa CONAS wakati huo kilikuwa ni kitivo na si college kama Leo. Na idara kinara cha disco ilikuwa ni chemistry! Tulikuwa tukizungumzia disco wale wa sheria hawakuwa wanaelewa! Pale ni free output! as simple as saying good morning! Nasikia pale mlimani Conas bado ni kinara wa disco! Lakini haishangazi! Natural science is difficult compared to applied sciences kama vile medicine, agriculture and the like!
 
The gap between practice and GPA is very big like heaven and hell!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…