UDSM KUMSHTAKI Ephraim Kibonde;

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
TAARIFA KUTOKA UONGOZI WA WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA DAR-ES-SALAAM WANAJIPANGA KUFUNGUA KESI YA DEFAMATION DHIDI YA MTANGAZAJI WA CLOUD FM NA MC WA KITCHEN PARTS MAARUFU KWA UROPOKAJI EPHRAIM KIBONDE.

HII INATOKANA NA KASHFA NA MANENO YA UDHALILISHAJI ALIYOTOA WIKI ILIYOPITA DHIDI YA WASOMI HAO KUHUSIANA NA MGOMO NA MAANDAMANO YAO

safii sana mplekeni huyu kwa amani MASHOSTITO wa kitchen part watammisi sana;;
 
King of Kings


  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
JF Senior Expert Member
This message has been deleted by Invisible. Huu ujumbe huwa unanikwaza sana maana umelenga katika kukiuka haki yangu ya kusoma maneno mazito dhidi ya Efrahim kibonde.
 
huyu bwana kibonde analazimisha ufamous kwa kutoa kauli kwa kutumia feelings na sio reasonng,sasa atakiona......................
 
Wasomi was UDSM, wanati mnapoandaa kudarafuti mashitaka yenu, ninawaomba msiache kuijumulishia clouds FM kwenye hiyo kesi.....Hapo ndipo patakuwa patamu zaidi..Since its clouds FM iliyotangaza.
 
Auntvirus:kibonde ni moja ya watu wenye akili mbovu sana hapa tanzania,sio mtu wa maana sana wa kumjadili kwa sababu anamatatizo ya akili kidogo.
 
Mi nadhani Kibonde asamehewe tu, ila Clouds FM ndo wa kuwashtaki kwa kuajiri mtu kama kibonde bila kumuwekea mipaka ya nini azungumze. Kwa mfano kibonde anapendwa sana na wamama kumsikiliza wanapokuwa saloon au vibarazani wakikunana mba, wakati huohuo ni kichefuchefu kumsikiliza kibonde mahala kama chuo kikuu ambapo watu wapo serious. Plz asamehewe huyu mtu
 
Hivi kibonde ana shule gani? Maana msije mkaanza kufukuzana na kichaa! He sounds kihiyo fulani hivi! Kijitu kisicho na uwezo kazi kujipendekeza tu!!!!!!!
 
Hivi kibonde ana shule gani? Maana msije mkaanza kufukuzana na kichaa! He sounds kihiyo fulani hivi! Kijitu kisicho na uwezo kazi kujipendekeza tu!!!!!!!

Lakini nao watawala wakati mwingine wanakuwa wanamdharau, inamaana mpaka sasa hawajajua kibonde anahitaji nini? inamaana wameshindwa kumtafutia hata kawilaya kamoja ambako hakana changamoto akaongoze? Sijapenda
 
Nitashukuru kwa hilo la kumshtaki Kibonde, maana mimi nilishaacha kuisikiliza Clouds Fm kwa sababu ya huyohuyo kibonde
 
huyu mtu kweli ni kibonde kama lilivyo jina lake nionavyo mimi apewe severe punishment inaweza ikasaidia.
ikishindikana no way out aende MILEMBE tu huyo.
 
Back
Top Bottom