hbr wana jf
hv majuzi nilibahatika kupata ruhusa ya siku mbili hv so nkaona bora niende chuo udsm nkachukue cheti changu bt niliyo yakuta ckuamini kama kweli udsm wanatoa huduma ya elimu au wanafanya biashara cz nilipofika nikaambiwa natakiwa nitoe sh 5000 kwa ajili ya fomu ya mwanasheria sa mi najiuliza mwanasheria kwa lipi hasa wakati nimesoma hapo hadi nikamaliza nikachukua na transcript suala la mwanasheria liniingiaje hapa na pia transcript yenyewe nililipia sh 10000 af kuchukua chet unaambiwa uje vi photocopy ya transcript na kitambulisho chako cha kazi au kura au barua ya serikali ya mtaa na ikumbukwe kuwa mitihani tulikuwa tunalipia kwa kila mwaka sasa mi nakuuliza we mkandala je hizi pesa tunazotoa sasa ni kwa ajili ya kununua cheti au mbona mnafanya mambo ya kihuni kiasi hicho mfano mzuri ni necta enzi zetu tulukuwa tunalipia tu mtihani na cheti unapata bila ya longolongo bt na wao wakaja na kamchango cha kusafirisha had shuleni ila mi naona hizi ni biashara na si huduma tena wadau embu kwa pamoja tukemee huu uwizi wa hawa wajanja wachache