Was it technically or politically because what I know is that in the past such a move as doing business at the college was almost impossible. Hata hivyo old thinking is still very alive among the Dons at college. Kuna watu pale wanachofikiri sio applicable in 21st century.Safari zipi zilizoifanya FoE na sasa CoET idumae kwa miongo karibu minne tangu ianzishwe. Tusitafute majibu mepesi kwa maswali magumu. Hii ni issue siyo kwa serikali tu, hata kwa hivi vyuo vyenyewe. Kama tukiwategemea wanasiasa ndiyo watufanyie kila kitu, nakuhakikishia hatutafika popote. Ni lazima tufike mahali tuonyeshe kwamba bila wao tunaweza kujisimamia wenyewe ... na ninalazimika kuamini kwamba FoE (CoET) walizembea sana kuliona hili likitokea kwa sababu ya kutegemea misaada ya wafadhili kama Ujerumani, Sweden, Denmark, n.k. na hawakuwa na agenda ya je, hawa wafadhili wakisitisha huduma zao itakuwaje?
Ni lini serikali ilizuia vyuo kuwa na miradi ya kujiendesha kama siyo kukosa maarifa kwa waliopewa dhamana ya kusimamia na kuviongoza vyuo hivyo?
Wakati umefika sasa wa kubadilika kifikra ... tusiweke siasa katika kila kitu. Hizi siasa ndizo zinadumaza akili zetu. Kama tumelogwa vile!!
Was it technically or politically because what I know is that in the past such a move as doing business at the college was almost impossible. Hata hivyo old thinking is still very alive among the Dons at college. Kuna watu pale wanachofikiri sio applicable in 21st century.
Kwakuwa kile ni chuo cha serikali tunategemea nani atafanya hizo changes? Lazima ziwe na baraka ya serikali. Kwabahati mbaya naona serikali hailioni hilo.Wako busy na kujisifia na idadi inayoongezeka ya wanafunzi
Shame upon us,How come chuo kiombe msaada kwa jinsi hii? jamani tutafika kweli?Wakati huohuo mnasisitiza watu wasome sayansi ili wawe mainjinia ,wataenda kusomea wapi?
Mwanangu ndo mana tunaomba mchango wako...Bila Coet Baba`ko Ningekua wapi? So zichange bana, hata Mjukuu wetu atapopasua akapige Telecom Pale kama Babu yake...
Hivi mfano hii fundraising ikashindwa kufika malengo wht will happen? Ina maana ndio tutaacha COET ife?
To be honest,this is totally failure nawaambia,watakaochangia ni wachache sana na haitafikia malengo yaliyowekwa sababu imekaa kisiasa sana.Labda strategy ibadilishwe.Mwanangu ndo mana tunaomba mchango wako...Bila Coet Baba`ko Ningekua wapi? So zichange bana, hata Mjukuu wetu atapopasua akapige Telecom Pale kama Babu yake...
Sidhani kama hapa wanaweza pata msaada wowote... Labda kama ni msaada wa kumtusi JK
Mugo"The Great";696633 said:Fundraising inaonyesha kuwa watu wanapaswa kuchangia kwa mwaka. Lakini ingependeza zaidi kama Prof. Katima angeambatanisha na Plans pengine na estimates za vitu ambavyo wanatarajia kufanya.Hii itawapa fursa wachangiaji kujua kiasi gani kimekusanywa year X,Y.. na kitu gani kimefanyika katika miaka hiyo.
Kuchangia ni muhimu sana hasa kwa sisi ma- Ex-Foe/COET, lakini michango hiyo italindwaje ili isifisadiwe?[/QUOTE]
Ndio hapa kwenye tatizo watu wengi wanaogopa kuchanga.Labda wazibane kampuni za kihandisi zichangie
Message niliyopewa zamani zile ni kuwa kusoma engineering ni kukosea njia
Nyie hamshangai nusu nzima ya watoto waliofanya mtihani wa darasa la saba mwaka huu wamefeli? There is a serious problem in education hapa Tanzania, na something has to be done. Mimi i am shocked, lakii nadhani ndio matunda ya kuwa na viongozi wasio na elimu za maana.And this is wht irritates me the most! to them is just the numbers...................
whilst i am not against this idea or prof katima whatsoever (soma hapo chini). As an alumni at this very institution i am inclined to believe kwamba siasa inaua hiki chuo especially the college of engineering (formally known as faculty of engineering (foe) ).
i am not a fan of "let the govt do everything" but hiki ni chuo cha hiyo govt.
govt hiyohiyo ambayo iko bize kuhakikisha udom inakamilika na kuwa kete yah uchaguzi mwakani, si mnajua 2010 is just tommor.
1. Hivi hizi negligence tutaacha lini? jk aka vasco dagama hawezi kuspare just two abroad trips na hela hiyo ikatumika kwenye ukarabati wa chuo chetu?
2. Hela za epa? What if tukachukua 10% pale?
this negligence of our govt is absolutely bullshit, ni lini tutaipa elimu priority stahili? Ni lini tutaacha kuingiza siasa hata kwenye mambo ya msingi?
it can easily be seen kwamba the whole leadership in tz ipo kwenye homa ya uchaguzi which is one yr away? Who will therefore come to the rescue of this issue?
to be frank hii ni aibu kwa serikali na watanzania kwa ujumla period.
halafu bado kuna mijitu inatoka kifua mbele ooh serikali imefanya mambo makubwa!!!!!!!!!, jk anatisha, ohh jk anaonewa wivu, lets stop politics and do something!
haiwezekani tukawa bize kujenga udom wakati tukiacha one of the then finest engineering institution ikijifia kama haina mwenyewe.
congratulations prof katima for this idea but we have to put the govt to task!
note: Attachement imembatanishwa fo the original doc.
university of dar es salaam
college of engineering and technology
office of the principal
p.o. Box 35131 - dar es salaam tanzania
tel.: +255 22 2410753 (direct) or 4210501-9/ext.2800 e-mail: principalcoet@udsm.ac.tz
fax: +255 22 2410114 or 2410411 or 2410029 website: www.coet.ac.tz
our ref.: coet/001/jhyk/ank november 22, 2009
fellow engineers
dear sir/madam,
re: Launching of coet rehabilitation and maintenance fund
the engineering education and training in tanzania started in 1973 when the then faculty of engineering (foe) was established at the university of dar es salaam (udsm). In 1979 the university established the institute of production innovation (ipi) to serve as a link between the faculty of engineering (foe) of the university of dar es salaam (udsm) and the tanzanian industry in order to foster mutual utilization of knowledge and facilities. In 2001 foe and ipi were merged into a college of engineering and technology (coet).
after over three decades of use, the infrastructure and machinery have run down and require a huge rehabilitation and replacement. The college development partners who injected huge sums to develop the superstructure, understandably, are not willing to fund rehabilitation and maintenance of the same. This task is supposed to be done by the government. While we acknowledge the huge budget for personnel emoluments, over the years, the university has been receiving less and less moneys for capital investment and other charges; despite increasing numbers of staff, students and programmes. As a result, the area which has suffered most is infrastructure maintenance. As elaborated in the attached brochure, the infrastructure is in bad state, and we can not let it continue to deteriorate, because this will have far reaching adverse effects to the quality of engineering education we
are offering. In the bid to reverse this trend we are launching a coet
rehabilitation and maintenance fund.
being one of key stakeholders to our college, we are appealing for your contribution to this fund. In the table below we have indicated some figures which we consider to be modest, because we would like as many people as possible to be able to contribute. However, we appeal to those who have been touched by this noble cause to contribute more.
s/n entity
minimum amount
requested
(t.shs.)
1. Coet senior staff 30,000/= per year
2. Coet junior staff 20,000/= per year
3. Coet (foe) alumni 30,000/= per year
4. Engineers 30,000/= per year
3. Other well-wishers 20,000/= per year
4. Engineering firms 500,000/= per year
5. research projects in coet funded locally 200,000/= per year
5. research projects in coet funded by development partners 1,000,000/= per year
6. Non-engineering firms 100,000/= per year
you may wish to pay by cash or cheque if you are within the neighborhood, coets main administration building - accounts office, room no. 20; or directly into our bank account, details are as shown below:
account name: faculty of engineering rehabilitation
account number: 2081100012
bank name: nmb - udsm branch
thanking you most sincerely for your continued cooperation and support.
prof. J.h.y. Katima
principal