UDSM-College of Engineering inaomba msaada

Safi mkuu, hongera kwa hilo

Mkuu wa COET sasa hivi sio Prof. MWAMILA, ni Prof. KATIMA. Prof. Mwamila muda wake uliisha na sasa amekuwa appointed kuwa VC chuo kikuu cha Mandela Tz.

Hivi hiki chuo cha mandela kiko wapi?? Msaada tutani , wengine hatujakisikia!!

Kuhusu uchangiaji, mimi siungi mkono hilo suala, serikali kazi yake ni nini?? Watueleze wamechukua hatua gani ku-convice serikali ya CCM kutoa kitu kidogo halafu ikasema imeshindwa. Sasa sisi ambao tulisoma chini ya serikali masikini ya ujamaa na kujitegemea halafu tukapata kila kitu unafikiri itakuwa rahisi kuamini kuwa serikali tajiri ya sasa haiwezi!!! thinking of EPA, Kangoda etc.

Sasa kila tulikopitia from primary school mpaka chuo kikuu wakianza kuomba misaada ya michango kama hivi tutafika kweli???

Kama serikali yetu imeshindwa kazi watuambie, au sisi wenyewe tufumbue macho na tutafute majibu!!!!!! Dalili za mvua............!!!!!!!!!!!
 
Shame on you CCM, kama maji yamezidi unga si mseme wengine wawasaidie au tutafute muwekezaji!!!!????
 
Ndo nakisikia leo. Kiko wapi hiki Chuo? Najua kuna Chuo Kikuu cha Nelson Mandela, kilichopo Port Elizaberth, SA

Hivi hiki chuo cha mandela kiko wapi?? Msaada tutani , wengine hatujakisikia!!

Kuhusu uchangiaji, mimi siungi mkono hilo suala, serikali kazi yake ni nini?? Watueleze wamechukua hatua gani ku-convice serikali ya CCM kutoa kitu kidogo halafu ikasema imeshindwa. Sasa sisi ambao tulisoma chini ya serikali masikini ya ujamaa na kujitegemea halafu tukapata kila kitu unafikiri itakuwa rahisi kuamini kuwa serikali tajiri ya sasa haiwezi!!! thinking of EPA, Kangoda etc.

Sasa kila tulikopitia from primary school mpaka chuo kikuu wakianza kuomba misaada ya michango kama hivi tutafika kweli???

Kama serikali yetu imeshindwa kazi watuambie, au sisi wenyewe tufumbue macho na tutafute majibu!!!!!! Dalili za mvua............!!!!!!!!!!!

Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Kimataifa ;

Nelson Mandela Institute of Science and Technology

Karangai, Arusha

Kiko kwenye hatua za maandalizi,
 
Natamani those old good days za FoE zingeweza kurudia maana waliozionja wanazikumbuka. Kadri itakavyowezekana mi naona tuchangie kuwawezesha hawa jamaa wakaboresha mambo pale. Pengine bado hatuoni umuhimu wa kuwa na elimu ya uhandisi inayokidhi matakwa ya kizazi cha leo. Time will tell, ila tutachemsha sana kama fani za science zitaendelea kukaa ICU kwenye life supporting machines halafu tutegemee tutaboresha ujenzi wa nchi yetu.
Hiyo ni COET, what about Muhimbili na vyuo vingine? Mambo sijui huko yakoje
 
Jamani kuchangia ni kitu cha hiari kama wewe utachangia na mwingine atachangia pia. kwanini basi tunachangia harusi, sendoff, kichenparty, ubatizo,kipailama, kumunio na mengineyo mengi? au kwa vile kuna mnoso? ni kweli kwamba serikali yetu inamakosa pia, lakini tukumbuke watoto wetu ndo wanasoma na watakaokwenda kusoma pale. Kama hutaki kuchangia acha na ukae kimya uwaache wanaotaka wachange.
 
Kwa Sababu Wanasiasa wameamua kuitelekeza FOE/COET nadhani ni Wajibu wetu Wahandisi na wote wenye Mapenzi Mema kujitoa ili kusaidia hali ya Uhandisi! Nimesoma Uhandisi kuna inteligents guys pale hata final projects wanazofanya zingeweza kusaidia sana as far as micro- technology is concerned lakini nani anayejali? Hamna. Nadhani kuna Haja ya FOE/CoET Alumni kusaidia ( Matereals and Ideas support) ili chuo hiki kisipoteze Sifa yake
 
It's bad economics for the government to fund FOE. There is no guarantee when FOE students graduate they will not seek greener pastures abroad. So why should the Tanzanian government pay to educate people who go to build other countries? Carry your own cross and pay your own way. Let the government invest the money in better projects not educate future American and European tax payers.
 
Mbona ulishajibu hii posti. Au unapenda kuendeleza ligi ya vitu vilivyo wazi.

Ever heard of 'upon second reading'? Jiafrika limeng'ang'ania mizungu utadhani yake! Hii kasumba inanikumbusha kilio hiki cha Frantz Fanon:

I am a man, and what I have to recapture is the whole past of the world. I am not responsible solely for the revolt in Santo Domingo...In no way should I derive my basic purpose from the past of the people of colour. In no way should I dedicate myself to the revival of an unjustly unrecognized Negro civilization...The black man wants to be like the white man...Long ago the black man admitted the unarguable superiority of the white man, and all his efforts are aimed at achieving a white existence" - Black Skin White Masks pages 161 -162
 
It's bad economics for the government to fund FOE. There is no guarantee when FOE students graduate they will not seek greener pastures abroad. So why should the Tanzanian government pay to educate people who go to build other countries? Carry your own cross and pay your own way. Let the government invest the money in better projects not educate future American and European tax payers.
Not all trained engineers in the country go abroad.Even if that is the case, the well being of the college is the matter for all of us. I dont agree with the idea that government should not be involved in this. Tanzania is not USA or a European country.If government does not sponsor these institutions, where would they get competent people to grow the economy? Or as usual it could be for the benefit of Mafisadi because of illiteracy amongst the members of the society?
 
Ever heard of 'upon second reading'? Jiafrika limeng'ang'ania mizungu utadhani yake! Hii kasumba inanikumbusha kilio hiki cha Frantz Fanon:

I am a man, and what I have to recapture is the whole past of the world. I am not responsible solely for the revolt in Santo Domingo...In no way should I derive my basic purpose from the past of the people of colour. In no way should I dedicate myself to the revival of an unjustly unrecognized Negro civilization...The black man wants to be like the white man...Long ago the black man admitted the unarguable superiority of the white man, and all his efforts are aimed at achieving a white existence" - Black Skin White Masks pages 161 -162

Muheshimiwa katiba ya TZ umeisoma lakini kuhusu uhuru wa mtu kuishi/kuhamia sehemu nyingine?
 
Not all trained engineers in the country go abroad.Even if that is the case, the well being of the college is the matter for all of us. I dont agree with the idea that government should not be involved in this. Tanzania is not USA or a European country.If government does not sponsor these institutions, where would they get competent people to grow the economy? Or as usual it could be for the benefit of Mafisadi because of illiteracy amongst the members of the society?

We have enough competent people. Instead of the government educating future American and European tax payers we can use the money to market our country for tourism and foreign investment. The benefits to the country are immediate. The multiplier effect of increased tourism and foreign investment to our nation is larger than expecting engineering graduates to grow the economy. Carry your own cross.
 
kwamtazamo huu hatutafika popote...anyway walio na michango hima tafadhari....
 
We have enough competent people. Instead of the government educating future American and European tax payers we can use the money to market our country for tourism and foreign investment. The benefits to the country are immediate. The multiplier effect of increased tourism and foreign investment to our nation is larger than expecting engineering graduates to grow the economy. Carry your own cross.

DUH..,ebwana you think like kikwete aisee,ni ndugu yako?jamaa yako?rafiki ako?

hizi short sightedness za maviongozi yetu kumbe na wananchi tunazishare vilevile.
Tourism is better than education because with tourism you see money first hand.
swadakta,we keep pilling rotten tomatoes like this one in our top leadership line and we are doomed for eternity.
 
Back
Top Bottom