the senior
Member
- Aug 15, 2012
- 24
- 2
In Tanzabnia kwa ubora wa vyuo Dar es Salaam haiwezi kuwa juu. Wametumia vigezo ambavyo si yakinifu. Kwa Tanzania vyuo kama SUA may be the best kwa ubora wa elimu. Kingekuwa bora Muhimbili isingejitoa.
WW umekurupuka nani kakwambia muhimbili ilijitoa udsm sababu ya ubora? acheni kuropoka vitu msivyo vijua hizo ni taratibu za kupanua huduma za mashirika ya umma. unafikiri vyuo vya umma wanafanya kama vikundi vya saccos bila utaratibu acha ushabiki dogo unaonekana huna elimu ya kufikiri .