UDSM cha 25 kwa ubora Africa na 4,229 Duniani

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
443
18





CONTINENT RANK
UNIVERSITY
COUNTRY
WORLD RANK





1
University of Cape Town
405


2
University of Pretoria
509


3
Stellenbosch University
555


4
University of the Witwatersrand
693


5
Rhodes University
922


6
University of Kwazulu Natal
1,076


7
University of the Western Cape
1,102


8
Cairo University
1,219


9
American University in Cairo
1,334


10
Nelson Mandela Metropolitan University
1,446


11
University of South Africa
1,476


12
University of the Free State
1,844


13
University of Johannesburg
2,037


14
North West University
2,484


15
Ain Shams University
2,785


16
Strathmore University Nairobi
2,795


17
Mansoura University
2,943


18
Universit� Cheikh Anta Diop de Dakar
3,602


19
Al Akhawayn University Ifrane
3,653


20
Makerere University *
3,811


21
Universit� Cadi Ayyad
3,956


22
Addis Ababa University
4,055


23
Universit� Djillali Liabes
4,116


24
Universit� Abou Bekr Belkaid Tlemcen
4,143


25
University of Dar Es Salaam
4,229


26
University of Namibia
4,289


27
Arab Academy for Science & Technology and Maritime Transport
4,347


28
University of Khartoum
4,371


29
University of Nairobi
4,467


30
Kwame Nkrumah University of Science & Technology
4,479


31
Cape Peninsula University of Technology
4,510


32
University of Mauritius
4,559


33
�cole Mohammadia d'Ing�nieurs
4,618


34
University of Botswana
4,633


35
Mauritius Institute of Education
4,666


36
University of Zimbabwe
4,754


37
Facult� des Sciences Rabat
4,759


38
German University in Cairo
4,772


39
Universit� Abdelmalek Essaadi *
4,866


40
Helwan University
4,872


41
Polytechnic of Namibia
4,939


42
Durban University of Technology
5,032


43
Universit� de Ouagadougou
5,135


44
Assiut University
5,281


45
Zagazig University
5,383


46
Universidade Eduardo Mondlane
5,395


47
Universit� de Batna
5,548


48
University of Fort Hare
5,791


49
Universit� Virtuelle de Tunis
5,806


50
University of Ghana
5,822


51
University of Zambia
5,875


52
National University of Rwanda
5,888


53
Universit� Mohammed Premier Oujda *
5,950


54
Egerton University
6,266


55
Institut Agronomique et Veterinaire Hassan II
6,268


56
Makerere University Faculty of Computing & Information Technology
6,301


57
International University of Africa
6,482


58
Kampala International University
6,510


59
Sudan University of Science & Technology
6,556


60
Tshwane University of Technology
6,563


61
University of Benin
6,602


62
Universit� Mentouri de Constantine
6,766


63
University of Garyounis
6,781


64
Alexandria University
7,002


65
Universit� des Sciences et de la Technologie Houari Boumediene
7,008


66
University of Zululand
7,016


67
Universit� Mohammed V Souissi
7,042


68
University of Malawi
7,062


69
Monash University South Africa
7,069


70
Universit� Abdelhamid Ibn Badis Mostaganem
7,205


71
Universit� Senghor d'Alexandrie
7,279


72
Universit� Ibn Zohr Agadir
7,597


73
Vaal University of Technology
7,655


74
British University in Egypt
7,781


75
Universit� Mohammed V Agdal
7,841


76
Universit� d'Alger
7,849


77
University of Ilorin
7,902


78
Obafemi Awolowo University
7,942


79
South Valley University
8,010


80
Facult� de Med�cine & Pharmacie
8,024


81
University of Ibadan
8,034


82
American University of Kinshasa
8,139


83
Moi University
8,284


84
Institut National des Postes et Telecommunications Maroc
8,285


85
Jimma University
8,304


86
Universit� de Bejaia
8,376


87
Minufiya University
8,413


88
College of Medicine University of Malawi
8,534


89
University of Tanta
8,539


90
Central University of Technology
8,644


91
Universit� M'Hamed Bougara de Boumerdes
8,727


92
Sokoine University of Agriculture
8,761


93
Universit� de Nouakchott
8,766


94
Facult� des Sciences Dhar El Mahraz
8,855


95
University of Lagos
8,871


96
Ecole National Sup�rieure de l'Informatique (ex-INI)
8,960


97
Universit� Hassan II Mohammadia
8,964


98
Universit� des Sciences et de la Technologie d'Oran Mohamed Boudiaf
9,004


99
�cole Sup�rieure des Communications de Tunis
9,011


100
Kenyatta University
9,129


Universities 1 to 100 of 100​
 
Heri na hao chuo changu hakipo kabisa. MUzumbe.
Mkuu pole sana. Naona UD imejitahidi. Ila naamini tukiweza kuondoa siasa kwenye utendaji wa vyuo vya Tanzania, tutafika mbali. Siasa na elimu hazina mfanano wa kujenga
 
Let me hope mmekiona KIU! Watu walikuwa wakikibeza sana aisee.

Mh,sitaki kuamini rank iliyoshika KIU jamani. Hapana kama ni mchezo lazima urudiwe,haya matokeo ni batili kabisa. Pia Makerere has always been behind UDSM sasa mwaka huu kulikoni wamewapiku? Na bado bongo tutafulia sana kielim maana maprof wote ndio hao wanaondoka tunawareplace na wahindi!!! Teh teh teh!!
 

Kila siku watu wanabandika hizi ranking, HIZI SIO RANKING ZA UBORA WA CHUO ni ranking za ubora wa website za chuo, yaani website ina ukubwa gani, ina rich files ngapi (PDF, PowePoint etc) angalia link ya methodology kwenye hiyo site.

Hizi ndo ranking za ubora wa chuo
http://www.topuniversities.com/university_rankings/results/2008/overall_rankings/fullrankings/

Utaona kwa mfano kuwa Cape Town ni namba 179 duniani, tofauti kabisa na ubora wa website yake.
 
  • Thanks
Reactions: UKI
Kila siku watu wanabandika hizi ranking, HIZI SIO RANKING ZA UBORA WA CHUO ni ranking za ubora wa website za chuo, yaani website ina ukubwa gani, ina rich files ngapi (PDF, PowePoint etc) angalia link ya methodology kwenye hiyo site.

Hizi ndo ranking za ubora wa chuo
http://www.topuniversities.com/university_rankings/results/2008/overall_rankings/fullrankings/

Utaona kwa mfano kuwa Cape Town ni namba 179 duniani, tofauti kabisa na ubora wa website yake.


Wewe ss unaleta malumbano BUT sipo hapa kulumbana! Ukiangalia hiyo yako ni ya mwaka jana n still I INSIST hayo niliyotoa ndy majibu. Aksante.
 
In Tanzabnia kwa ubora wa vyuo Dar es Salaam haiwezi kuwa juu. Wametumia vigezo ambavyo si yakinifu. Kwa Tanzania vyuo kama SUA may be the best kwa ubora wa elimu. Kingekuwa bora Muhimbili isingejitoa.
 
Wewe ss unaleta malumbano BUT sipo hapa kulumbana! Ukiangalia hiyo yako ni ya mwaka jana n still I INSIST hayo niliyotoa ndy majibu. Aksante.

Unainsist nini sasa? SOMA METHODOLOGY!!
Size (S). Number of pages recovered from four engines: Google, Yahoo, Live Search and Exalead. For each engine, results are log-normalised to 1 for the highest value. Then for each domain, maximum and minimum results are excluded and every institution is assigned a rank according to the combined sum.
Visibility (V). The total number of unique external links received (inlinks) by a site can be only confidently obtained from Yahoo Search. Results are log-normalised to 1 for the highest value and then combined to generate the rank.
Rich Files (R). After evaluation of their relevance to academic and publication activities and considering the volume of the different file formats, the following were selected: Adobe Acrobat (.pdf), Adobe PostScript (.ps), Microsoft Word (.doc) and Microsoft Powerpoint (.ppt). These data were extracted using Google and merging the results for each filetype after log-normalising in the same way as described before.
Scholar (Sc). Google Scholar provides the number of papers and citations for each academic domain. These results from the Scholar database represent papers, reports and other academic items.
Sio kipimu cha ubora wa shule, ni ubora wa website tu. Na ubora wa website wenyewe bomu, kuwa na files nyingi kwenye website zidhani kama kunaifanya iwe bora.

Ndio yangu ya mwaka jana, ya mwaka huu haijatoka bado so what?
 
Unainsist nini sasa? SOMA METHODOLOGY!!

Sio kipimu cha ubora wa shule, ni ubora wa website tu. Na ubora wa website wenyewe bomu, kuwa na files nyingi kwenye website zidhani kama kunaifanya iwe bora.

Ndio yangu ya mwaka jana, ya mwaka huu haijatoka bado so what?

Ni kweli kabisa mkuu Kang!
Hiyo ndiyo webometrics haswa! Kama huyu mleta mada hajui web maana yake nini na metric maana yake nini, itakuwa taabu kweli kweli yeye kuelewa. Au aelete vigezo vilivyotengeneza list yake hiyo. Usipooona akaleta hizi tumwelezazo. Aaala!
 
Unainsist nini sasa? SOMA METHODOLOGY!!

Sio kipimu cha ubora wa shule, ni ubora wa website tu. Na ubora wa website wenyewe bomu, kuwa na files nyingi kwenye website zidhani kama kunaifanya iwe bora.

Ndio yangu ya mwaka jana, ya mwaka huu haijatoka bado so what?

Haya tumwagie data za vyuo vyetu hapa bongo na africa mashariki kwa kutumia hiyo criteria yako tuone basi. Chamsingi tunataka tujue where we are now.
 





CONTINENT RANK
UNIVERSITY
COUNTRY
WORLD RANK





1
University of Cape Town

405



2
University of Pretoria

509



3
Stellenbosch University

555



4
University of the Witwatersrand

693



5
Rhodes University

922



6
University of Kwazulu Natal

1,076



7
University of the Western Cape

1,102



8
Cairo University

1,219



9
American University in Cairo

1,334



10
Nelson Mandela Metropolitan University

1,446



11
University of South Africa

1,476



12
University of the Free State

1,844



13
University of Johannesburg

2,037



14
North West University

2,484



15
Ain Shams University

2,785



16
Strathmore University Nairobi

2,795



17
Mansoura University

2,943



18
Universit� Cheikh Anta Diop de Dakar

3,602



19
Al Akhawayn University Ifrane

3,653



20
Makerere University *

3,811



21
Universit� Cadi Ayyad

3,956



22
Addis Ababa University

4,055



23
Universit� Djillali Liabes

4,116



24
Universit� Abou Bekr Belkaid Tlemcen

4,143



25
University of Dar Es Salaam

4,229



26
University of Namibia

4,289



27
Arab Academy for Science & Technology and Maritime Transport

4,347



28
University of Khartoum

4,371



29
University of Nairobi

4,467



30
Kwame Nkrumah University of Science & Technology

4,479



31
Cape Peninsula University of Technology

4,510



32
University of Mauritius

4,559



33
�cole Mohammadia d'Ing�nieurs

4,618



34
University of Botswana

4,633



35
Mauritius Institute of Education

4,666



36
University of Zimbabwe

4,754



37
Facult� des Sciences Rabat

4,759



38
German University in Cairo

4,772



39
Universit� Abdelmalek Essaadi *

4,866



40
Helwan University

4,872



41
Polytechnic of Namibia

4,939



42
Durban University of Technology

5,032



43
Universit� de Ouagadougou

5,135



44
Assiut University

5,281



45
Zagazig University

5,383



46
Universidade Eduardo Mondlane

5,395



47
Universit� de Batna

5,548



48
University of Fort Hare

5,791



49
Universit� Virtuelle de Tunis

5,806



50
University of Ghana

5,822



51
University of Zambia

5,875



52
National University of Rwanda

5,888



53
Universit� Mohammed Premier Oujda *

5,950



54
Egerton University

6,266



55
Institut Agronomique et Veterinaire Hassan II

6,268



56
Makerere University Faculty of Computing & Information Technology

6,301



57
International University of Africa

6,482



58
Kampala International University

6,510



59
Sudan University of Science & Technology

6,556



60
Tshwane University of Technology

6,563



61
University of Benin

6,602



62
Universit� Mentouri de Constantine

6,766



63
University of Garyounis

6,781



64
Alexandria University

7,002



65
Universit� des Sciences et de la Technologie Houari Boumediene

7,008



66
University of Zululand

7,016



67
Universit� Mohammed V Souissi

7,042



68
University of Malawi

7,062



69
Monash University South Africa

7,069



70
Universit� Abdelhamid Ibn Badis Mostaganem

7,205



71
Universit� Senghor d'Alexandrie

7,279



72
Universit� Ibn Zohr Agadir

7,597



73
Vaal University of Technology

7,655



74
British University in Egypt

7,781



75
Universit� Mohammed V Agdal

7,841



76
Universit� d'Alger

7,849



77
University of Ilorin

7,902



78
Obafemi Awolowo University

7,942



79
South Valley University

8,010



80
Facult� de Med�cine & Pharmacie

8,024



81
University of Ibadan

8,034



82
American University of Kinshasa

8,139



83
Moi University

8,284



84
Institut National des Postes et Telecommunications Maroc

8,285



85
Jimma University

8,304



86
Universit� de Bejaia

8,376



87
Minufiya University

8,413



88
College of Medicine University of Malawi

8,534



89
University of Tanta

8,539



90
Central University of Technology

8,644



91
Universit� M'Hamed Bougara de Boumerdes

8,727



92
Sokoine University of Agriculture

8,761



93
Universit� de Nouakchott

8,766



94
Facult� des Sciences Dhar El Mahraz

8,855



95
University of Lagos

8,871



96
Ecole National Sup�rieure de l'Informatique (ex-INI)

8,960



97
Universit� Hassan II Mohammadia

8,964



98
Universit� des Sciences et de la Technologie d'Oran Mohamed Boudiaf

9,004



99
�cole Sup�rieure des Communications de Tunis

9,011



100
Kenyatta University

9,129


Universities 1 to 100 of 100​

Confuse!

http://www.4icu.org/topAfrica/
 
Haya tumwagie data za vyuo vyetu hapa bongo na africa mashariki kwa kutumia hiyo criteria yako tuone basi. Chamsingi tunataka tujue where we are now.

Uko ryt mkuu maana kuliko kubishana ingekuwa vyema watumwagie data zaidi! Chapa kiuno aliona kutupa data kama hizo ingekuwa mwanga mzuri kwa ss kujua tulipo, halikadhalika huyo mheshimiwa mwengine. I blv bila yeye tusingejua hali ilivyo so ni vizuri tusaidiane katika hili jamani.
 
Uko ryt mkuu maana kuliko kubishana ingekuwa vyema watumwagie data zaidi! Chapa kiuno aliona kutupa data kama hizo ingekuwa mwanga mzuri kwa ss kujua tulipo, halikadhalika huyo mheshimiwa mwengine. I blv bila yeye tusingejua hali ilivyo so ni vizuri tusaidiane katika hili jamani.
Hiyo data ni wanatumia vigezo gani kupima viwango vyao, Reserch, publications au nini graduates
 
heri na hao chuo changu hakipo kabisa. Muzumbe.


mungu wangu, wale wabishi bado wanaumbuka tu. Hata kwa vigezo hivyo bado kwa tanzania ni udsm pekee. Hakuna mzumbe wala nini? Labda mtengeneze vigezo vya hapa tanzania! Poleni sana ninyi brands za institutes zilizojipa jina la universities.
 
Back
Top Bottom