Udomo zege unanisumbua

Asee🀣🀣🀣🀣
 
Habari wana MMU je ni fanyaje kuna mdada humu ananivutia sema naogopa kumwambia naombeni ushauri wenu
Kuna wake za watu humu, hakuna alie singo. Endelea kumpigia mgast tu kuiridhisha nafsi huyo unayeamini ni mdada.
 
Kuna wake za watu humu, hakuna alie singo. Endelea kumpigia mgast tu kuiridhisha nafsi huyo unayeamini ni mdada.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mbona kuna mabinti humu sio wote wa mama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…