Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,354
- 4,409
Ni udomo zege au uandishi zege.Habari wana MMU je ni fanyaje kuna mdada humu ananivutia sema naogopa kumwambia naombeni ushauri wenu
Aina ya tongozo inategemea na Mwanamke mwenyewe.niambie tu mkuu chakufanya sema pm yake kafunga
duuπππππππpole sana kwa masaibuKuna demu nlimtumia ujumbe dm ukafutwa 10 sec later!! Nkajarb tena nkakuta sms zimepotlea hewani [emoji3] mod kafa kaoza humo
Mjumbe umechangamka hivi hujaonja lkn Leo hiiiAsa we njoo PM halafu utume na ya kutolea utajua hujui [emoji23]
ni ujumbe mkuu swaga za live nipo vizuriNi udomo zege au uandishi zege.
Unataka kuniambia kuwa utaongea naye au utamwandikia ujumbe
Jipu chapu kabla sijalala
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Unakubali kabisa ufe uoze we mjumbe na utamu wako akiliniHuu uzi ungeandikwa na mdada ningeona kawaida maana sisi tunakufaga na maumivu moyoni hatusemagi
Mjumbe umechangamka hivi hujaonja lkn Leo hiii
sawa mkuu kuna mambo mengi zaidi ya ngono ko sifokasi sana hukoMshukuru Mungu kwa kukupa udomo zege.
Vijana wengi waliojifanya wanajua kutongoza miaka ya 99-2005 tushawazika kwa ngoma.
Hehehehehh winners never quitBado una bet michezo ya EPL ?
duuππππππsawa mkuu yote hayouna zuzuka na li parody ππ
Unaitaje sasa domo zegeni ujumbe mkuu swaga za live nipo vizuri
Mzinga mzima mzimaKuonja nini sasa?
Mmea ama mzinga?
mkuu shida ni pm kufunga ataki kujibu sio kama na ogopa lengo la uzi ni kwamba ajue mkuuPole sana, unaogopa hata vivuli vya wadada, technologia imerahisisha mambo cku hz kazi kupata mawasiliano tu, sasa kama ww unaogopa hata mtu ambaye hakuoni utasaidiwa vp kaka
mkuuππππππhaita leta maana hivyo nazani itakuwa simple kueleweka nikiandika domo zegeUnaitaje sasa domo zege
Badirisha sasa Uzi wako usisomeke domo zege
Ni uandishi zege
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mkuu upo vizuri mikeka yako uwa nafuataHehehehehh winners never quit
If you know what i mean π
Tunajifanyisha tu mkuu sisi wa kiumeongera mkuu kwani wadada wapo wachache hiviππππππ mbona id ni nyingi za kike
ππππππWw n mdada or mkaka
eh mbona sasa mmeweka avatar za kike si mtawachaganya watuπππππTunajifanyisha tu mkuu sisi wa kiume
Hebu tumalize hili la udomo zege kwanzamkuu upo vizuri mikeka yako uwa nafuata