Udomo zege unanisumbua

Pole sana, unaogopa hata vivuli vya wadada, technologia imerahisisha mambo cku hz kazi kupata mawasiliano tu, sasa kama ww unaogopa hata mtu ambaye hakuoni utasaidiwa vp kaka
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sawa boss ushauri wako kijana mwezako
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚sawa boss ushauri wako kijana mwezako
Mshukuru Mungu kwa kukupa udomo zege.
Vijana wengi waliojifanya wanajua kutongoza miaka ya 99-2005 tushawazika kwa ngoma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…