Atakula kirungu cha utosi 😂Ukute mdada unayemtaka ni demu wa mod..jaribu kumtag alafu ndy utajua hujui
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Sasa hata kam umodi alitaka akonyewe yeye au [emoji38][emoji1787][emoji1787]Unatafuta ban ya milele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah nimeishiwa nguvu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hili liko wazi mbona [emoji1787]
Anatafuta ban ya maisha🤣Atakula kirungu cha utosi 😂
Asa we njoo PM halafu utume na ya kutolea utajua hujui 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah nimeishiwa nguvu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi unajua , masela tunadata na profile picture kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa dah , umeshaharibu mental picture [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asa we njoo PM halafu utume na ya kutolea utajua hujui [emoji23]
Naye ni wewe pekee😄Una uhakika ni mdada?
Manake humu JF kuna mdada mmoja tu
Haaa mbona hivyo?Una uhakika ni mdada?
Manake humu JF kuna mdada mmoja tu
kutype vip mkuu😁😁😁sijakupataSasa kuType Verse tu shida kuongea je??
kwa nini mkuu😂😂😂😂😂nimeona nifunguke tuHuu uzi ungeandikwa na mdada ningeona kawaida maana sisi tunakufaga na maumivu moyoni hatusemagi
hahahahahahahahh kumbe ndo yanayowakuta baadhi ya mabahariaMod wakat wakutongoza mademu zao...
Wanawambiaga ivi..
Anatumia kwanza ID nyingine..alafu inakua ivi.
Mambooo vipi...blah blaaa blahaaa
Then hatua ya pili.... Ivi unajua Mimi ni mod ??.
Demu ,uongoo..
Mod.... Chagua nani nmpe BAN saizi
Kweli mwanangu...
Kademu kanachaguaa, Nakweli unapigwa BAN
Au anaweza kuamua kufuta nyuzi weee
Mpaka dem akakubali[emoji23]
Basi Mademu walivyo "anajisikiaa rahaaaaaa " kua namtu ambaye,akitaka amwambie, futa uzi fulan, anafuta[emoji23]
MODS msinipige BAN wakuu, nyie kuleni ,kila mbuzi hula sawasasa na urefu wa kamba yake. Kuleni wakuuu.
Maisha yenyewe ndo haya!...
Hata sisi Huku ,,, haturuhusiw lkn unafanyaje sasa , TOTO hiloo jeupeee ,paja pajaa, unoo unoo,kalio kalioo, sura suraaa. Umehudumia,, limerudi kukushukuru
Ndugu, tukiweka unafiki pemben..hata kama niwewe, UTAKULA.
mkuu ni kimtag si ndo 😁😁😁😁😁atanigomea mazima now pm kafungaMtag nikupe technique za kinyamwezi, amini kwamba hatochomoa.
Bado una bet michezo ya EPL ?Una uhakika ni mdada?
Manake humu JF kuna mdada mmoja tu