Watuwekee taarifa za huyu mtu......picha, jina, wa wapi, kozi anayosoma, alianza lini chuo, yuko mwaka wa ngapi, uzoefu wake katika kutoa matamko........n.k BY THE WAY.....KWA NINI WAMECHELEWA KUKANUSHA.....????Uongozi wa wanafunzi Udom wamekanusha taarifa kuwa walitoa tamko kulaani hatua ya Chadema kutoka bungeni ( soma majira Jpili). Wanasema aliyetoa tamko ni mwanafunzi mwenye kiherehere wala hana cheo alichosema anacho. Hawakumtuma wala hakuwa anawalikisha maoni ya uongozi wala wanafunzi wa UDOM.Waliagiza achukuliwe hatua kwa kuwadhalilisha wana UDOM. Nilikuwa nimewashangaa sana wana UDOM.
Uongozi wa wanafunzi Udom wamekanusha taarifa kuwa walitoa tamko kulaani hatua ya Chadema kutoka bungeni ( soma majira Jpili). Wanasema aliyetoa tamko ni mwanafunzi mwenye kiherehere wala hana cheo alichosema anacho. Hawakumtuma wala hakuwa anawalikisha maoni ya uongozi wala wanafunzi wa UDOM.Waliagiza achukuliwe hatua kwa kuwadhalilisha wana UDOM. Nilikuwa nimewashangaa sana wana UDOM.
There has to be something that UDOM is not telling us...ok, may be wamekanusha, but why immediately after elections zenye crisis, they decided kumtunuku shahada ya heshima JK? Kwa watu wakini, wangengoja kwanza labda mpaka amalize kipindi chake na waone kweli amefanya kazi in spite of what people said---but why now? UDOM is a paradox in politics...
hao watoto siwaamini.
mpaka wafundishwe na wahadhiri wa UD ndiyo watapata akili.
Prof. Mvungi wape adabu hao mijusi.
Uongozi wa wanafunzi Udom wamekanusha taarifa kuwa walitoa tamko kulaani hatua ya Chadema kutoka bungeni ( soma majira Jpili). Wanasema aliyetoa tamko ni mwanafunzi mwenye kiherehere wala hana cheo alichosema anacho. Hawakumtuma wala hakuwa anawalikisha maoni ya uongozi wala wanafunzi wa UDOM.Waliagiza achukuliwe hatua kwa kuwadhalilisha wana UDOM. Nilikuwa nimewashangaa sana wana UDOM.
Watuwekee taarifa za huyu mtu......picha, jina, wa wapi, kozi anayosoma, alianza lini chuo, yuko mwaka wa ngapi, uzoefu wake katika kutoa matamko........n.k BY THE WAY.....KWA NINI WAMECHELEWA KUKANUSHA.....????
Mtu mmoja mpumbavu alikunywa maji ya bendera ameifanya UDOM kudhaurika kila kona, sikuamini nilipoona wazazi wanawahamisha wanao kutoka uko