UDOM wakanusha tamko

Mkerio

Member
Mar 12, 2006
35
0
Uongozi wa wanafunzi Udom wamekanusha taarifa kuwa walitoa tamko kulaani hatua ya Chadema kutoka bungeni ( soma majira Jpili). Wanasema aliyetoa tamko ni mwanafunzi mwenye kiherehere wala hana cheo alichosema anacho. Hawakumtuma wala hakuwa anawalikisha maoni ya uongozi wala wanafunzi wa UDOM.Waliagiza achukuliwe hatua kwa kuwadhalilisha wana UDOM. Nilikuwa nimewashangaa sana wana UDOM.
 
Watuwekee taarifa za huyu mtu......picha, jina, wa wapi, kozi anayosoma, alianza lini chuo, yuko mwaka wa ngapi, uzoefu wake katika kutoa matamko........n.k BY THE WAY.....KWA NINI WAMECHELEWA KUKANUSHA.....????
 
hao watoto siwaamini.

mpaka wafundishwe na wahadhiri wa UD ndiyo watapata akili.

Prof. Mvungi wape adabu hao mijusi.
 
There has to be something that UDOM is not telling us...ok, may be wamekanusha, but why immediately after elections zenye crisis, they decided kumtunuku shahada ya heshima JK? Kwa watu wakini, wangengoja kwanza labda mpaka amalize kipindi chake na waone kweli amefanya kazi in spite of what people said---but why now? UDOM is a paradox in politics...
 
Wamelanusha au Wamekanusha? ok ujumbe umefika
 
There has to be something that UDOM is not telling us...ok, may be wamekanusha, but why immediately after elections zenye crisis, they decided kumtunuku shahada ya heshima JK? Kwa watu wakini, wangengoja kwanza labda mpaka amalize kipindi chake na waone kweli amefanya kazi in spite of what people said---but why now? UDOM is a paradox in politics...

...Hiyo shahada ya heshima imetolewa kwa malengo maalum a.k.a hongo, ili mheshimiwa aendeleze kwa kasi zaidi ujenzi wa chuo hicho.

...In other way, ni kama asante fulani hivi.....kuna watu wamepata vyeo ambavyo hawakuwa navyo huko walikotoka, uki-add na historia ya kuwa founding fathers/mothers wa udom.
 
kama hamjui. UDOM inadhaniwa kuwa ni mahala ambapo UwT wengi wanapelekwa kupasha bongo zao pale. na mahala ambapo serikali itavuna wengi wa kuwaingiza humo.
Sasa tegemea wawe kinyume na serikali watanyaushwa wakome
 
Uongozi wa wanafunzi Udom wamekanusha taarifa kuwa walitoa tamko kulaani hatua ya Chadema kutoka bungeni ( soma majira Jpili). Wanasema aliyetoa tamko ni mwanafunzi mwenye kiherehere wala hana cheo alichosema anacho. Hawakumtuma wala hakuwa anawalikisha maoni ya uongozi wala wanafunzi wa UDOM.Waliagiza achukuliwe hatua kwa kuwadhalilisha wana UDOM. Nilikuwa nimewashangaa sana wana UDOM.

kwa nini ushangae udom chuo kikuu cha kata!
 
Watuwekee taarifa za huyu mtu......picha, jina, wa wapi, kozi anayosoma, alianza lini chuo, yuko mwaka wa ngapi, uzoefu wake katika kutoa matamko........n.k BY THE WAY.....KWA NINI WAMECHELEWA KUKANUSHA.....????

Hizi data ni muhimu kuzipata. wadau waliopo karibu na huyu mtu watuwekee picha yake hapa janvini.
 
Mtu mmoja mpumbavu alikunywa maji ya bendera ameifanya UDOM kudhaurika kila kona, sikuamini nilipoona wazazi wanawahamisha wanao kutoka uko
 
are you kidding? but for the part of u-dom derailing its just-started-accelerating train towards accreditation due to such ''tamko'' ,i co-sign with you,but i cant believe there might be parents ''touched'' enough with that reflection of puppetism of u-dom to the extent of withdrawing their sons and daughters!
 
hao watoto siwaamini.

mpaka wafundishwe na wahadhiri wa UD ndiyo watapata akili.

Prof. Mvungi wape adabu hao mijusi.

Kipofu kaona mwezi! Kasoma kwenye chuo kichovu cha UD basi anaona kama kasoma Harvard ama MIT! Hata ushamba pia una mipaka jamani!
 
Watuwekee taarifa za huyu mtu......picha, jina, wa wapi, kozi anayosoma, alianza lini chuo, yuko mwaka wa ngapi, uzoefu wake katika kutoa matamko........n.k BY THE WAY.....KWA NINI WAMECHELEWA KUKANUSHA.....????

Walikuwa wanachakachua taarifa, hawa UDOM hawaaminiki, juzi tu wamemtunuku Mwizi wa kura Udocta. Au basi wakanushe ni ile shahada waliyomtunuku!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom