hahahahahhaaaa......tatizo la net ya ubwete,yaan amekosa cha kusema......kaaaz kweli kwel,kwani nani asiejua kua udom wanafundishwa na undergraduate wenzao,dogo hana sababu ya kuanzisha ubish usio na tija,kwan hizi si wiki za kujiandaa na ue?napata mashaka sana kama thread hii imeandikwa na msomi wa chuo kikuu kwa kiswahili kibovu hivi,wewe ndo unasababisha chuo chenu kionekane hewa tu!
hvi m2 ka wewe una mpango wa kumaliza chuo,uingie kwenye job market,ukacompete na m2 frm havard or oxford?pole yako mkuuKweli ustaarabu na nidhamu kazi kwelikweli, ehee! Karibia thread nzima mmekoment matusi. Dah! Hii inatisha.
ndo anaingia darasa la kwanza mwakani.yan wa2 ka hawa ndo wanaifanya udom ionekane co ki2,kumbe ni chuo kizur 2 kama vingne..Huyu Ilonza ni mwanafunzi wa darasa la PILI au?
sa unalilia nini mkuu,udsm na sua c ndio vyuo hapa tanzania au umesahau?Wanafunzi wa UDOM wanaumoja wa kudai haki zao,wanapofanyahivo mnadharau ila wakigoma udsm mnasifia.
Udsm na Sua vyuo vizee ata binadamu akizeeka upungua cognive abilities, enzi zenu zileeee, mmeisha fulia.sa unalilia nini mkuu,udsm na sua c ndio vyuo hapa tanzania au umesahau?
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.
Nyie ndio mnaofanya UDOM idharauliwe kutokana na thread za kitoto kama hizi...kuandika kwenye kunakusumbua hadi inatia shaka umefikaje fikaje hapo.
hebu nenda kwenye mgomo wenu na utuondolee ujinga wako hapa.
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.
kwa kweli,udom ina kazi kubwa sana,tena kama ina admitt wa2 wa dizain yako,cjui ka 2tafka!mr ilonza,me nadhan we co mwanafunz wa chuo kikuu ila unaish 2 kwenye compound surrounding udom.Naona mmeifagilia sana udsm ila inawezekana nyote mnasomea Udsm. Poa tu hamna aja ya kuendelea kubishana wakati ukweli unajulikana.
Inaonekana wewe ni teacher wa kiswahili, sory najua nawewe ulikalishwa kama mimi.Kiswahili kigumu!!
Inaonekana wewe ni teacher wa kiswahili, sory najua nawewe ulikalishwa kama mimi.
Udsm enzi zenu ziliisha isha Hacheni UDOM,iitwe Udom,kadri siku zinavyo pita hadi mtasahaurika,ila msijari.