Je, IFM kozi ya Computer Science ni sawa na vyuo vingine kama UDSM na UDOM?

Next Elon Musk

Senior Member
Dec 2, 2019
111
80
Habari Wana-JF,

Nilikua nauliza nataka ku apply degree chuo cha IFM course ya computer science ila je ufundishaji wao ni sawa na chuo Cha UDSM au UDOM katika nyanja ya ufundishaji na mazingira?
 
Soma prospectus zao.
Masomo haya ya kujiongeza kama comp.science, eng, it hayaangalii sana uwezo wa chuo bali wewe mwenyewe.
Unaweza kusoma mtaala hata wa cambridge na bado ukawa mweupe. Hizi ni kozi za kujiongeza zaidi. Unaweza ukakuta mtu yuko open na akawa nondo kwa kuwa tu anajituma na anaenda extra miles.
 
Thread closed!
 
Yeah for real I get u but what in terms of opportunities naskia mostly UDSM ukisoma unakua na opportunities nyingi
 
I applied a certain contract job kama Design engineer for some renewable power system project vigezo vilikua uwe na qualifications hizi
Degree Electrical/Mech

Skills needed:
ArchiCAD
AutoCAD
Twin Motion
knowledge in Python and data analytics
And other stuffs

Hizo zote skills above only AutoCAD ndo Elect/Mech anatuma chuo kama assistive tools so where we learn the others?

Things comes to kujiongeza.
Hakuna kozi iko complete au utatoka umeiva.

Ukisema archiCAD umuachie architect umekosa kazi, twin motion umuachie graphic designer umekosa kazi, Python and data analysis umuachie Data scientist umekosa kazi pia.

You should be adaptive na bit la marketplace linavoenda and update yourself to fit in.
 
actually hiki ndo nilikua nataka kujua kabisa mkuu nashukuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So inabidi twende nje ya box

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom