wanaoaibika ni sisi au nyinyi? Ukweli umekudhihirikieni hata kipofu analitambua hilo.sio nyinyi mliowakandamiza waislamu tangu mwanzo katika sekta ya elimu? Usifuate kasumba za wenzio.kaa chini na utafute ukweli upo wapi.upo chuo wewe unawaaibisha hata ndugu zako wa o'level wakiuona huu utumbo wako.we unamsema mufti, humuoni padri slaa? Na elimu yake ya chuo amefumaniwa na mwanamke wa mtu.halafu askofu wenu mkuu pengo anasema "msiangalie maovu yake but angalieni elimu yake" kuna elimu gani hapa kama si kujidhalilisha? Uliza maana ya mufti then ndio uanze kujudge.sio kukurupuka na kupayuka kama mwehu.muft kacolify mambo ya dini ndio akateuliwa kuongoza waislam.hakuteuliwa kuongoza kampuni wala ofisi.wewe unavoona waislamu wapo nyuma kielimu hebu angalia rais wako,makamu wake wana dini gani?mzee mwinyi ana dini gani?soma historia ujue ukweli .kwa taarifa yako hii nchi imepata uhuru kupitia nguvu na damu ya waislamu.mababu zako wakristo unadhani walikuwa wanaweza kumuondosha mjerumani na muingereza?wakati wao ndio waliokuleteeni hiyo dini yenu ya upotovu?uliza mkwawa,abushiri bwana heri na wenziwao walikuwa na dini gani?mnajitahidi kuufunika ukweli wa nch hii kwa kutusomesha historia za uongo but tushazinduka.pole kwa ubwege wako huo.eti unasema mko 20%kwani nani anaepitisha wanafunzi kama si nyie?baraza zima la necta viongozi wote mmelikamata nyie wakristo unadhani muislamu atapitia wapi? Na sie mlitupitisha ili msionekane mna udini but ukweli ndio huo."eti chuo chenu" kama chetu tungethubutu kukupeni chimwaga,thietre na maeneo maengine mpige kwaya zenu?hiki chuo ni chenu ukizingatia mkuu wa chuo ni mkapa.na ndio mana mkapewa maeneo yote hao kuendesha mambo yenu.uadhani hatujui kuwa mna umoja wenu wa wakristo unaojumuisha maprofesa na walimu wakristo ktk chuo hiki ili kuuvuruga uislamu?mimi nataka umpe pole sana huyo jamaa wako wa ng'ong'ona but mwambie kashonwa nyuzi 9 kabla kusema nani kamtuma asambaze kashfa kwa waislamu sasa tunataka apone atueleze nani kamtuma afanye upuuzi huo.mkileta udini kwenye elimu ya juu mtaaibika mbaya kwani mko only 20%. Kila siku tunawahimiza hapa kwenye jamvi kuwa geuzeni madrasa kuwa madarasa hamtaki, chagueni mufti ambaye angalau ni form 4 aweze kujua umuhimu wa kujenga mashule nyie mnamng'ang'ania wenu wa darasa la saba. Kaeni chonjo jk akitoka tunatimua akina mlacha na kikula kwa kuwa ndio chanzo cha udini. Chuo gani ukiomba kazi kwa jina la kiislam hata kama la uongo unapewa kazi hata kama hauna sifa, halafu mnajidanganye eti hela za waarabu. Kwanza tutaanza kuchunguza kama hakuna masomo ya ughaidi katika hicho mnachoita chuo chenu. Huyo mkristo aliyepigwa avumilie tu kwani wao wamemwaga damu ya osama wiki hii kwa hiyo wana mihasira yao hao. Udini na uongozi wapi na wapi. We ms mbona hujawahi kugombea hata uenyekiti wa kitongoji?