Udom sasa udini waziwazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udom sasa udini waziwazi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by LWAKAPISI, May 8, 2011.

 1. LWAKAPISI

  LWAKAPISI Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni udini kuitafuna nchi basi serikali ifike haraka UDOM na imalize hili kabla mambo hayajaharibika.Katika uchaguzi ulofanyika chuoni hapa wa serikali ya wanafunzi,tume ya uchaguzi ilipitisha wagombea kwa kupendelea waislam, kila idara.Baada ya hapo hali iliendelea kuchafuka maana siku ya Alhamis usiku wanaharakati chuoni hapa walinasa waraka uliokuwa umeandikwa na waislam wakihimizana kuwa siku ya jana wapge kura wote ili wakiongoze chuo chao(ulisema waraka).Baada ya waraka huo kuonekana huku chuo cha elimu zilianza vurumahi na zikapelekea mwanafunzi mmoja mkiristo kupigwa hadi kushonwa nyuzi nane kichwani.Yote tisa,kumi ilikuwa jana siku siku ya uchaguzi maana kura zimepgwa kidini bila kujali uwezo wa watu maana watu walienda kuchagua kwa kuangalia majina tu,na wakristo licha ya kuteuliwa wachache wote wamepita.Lakini baada ya matokeo kutangazwa wakristo walishangilia kwa pambio za dini hata matokeo yalipokuwa yanatangazwa,mkiristo akitangazwa waliitikia "BWANA ASIFIWE" na mwislam walisema "takbir huyo ni wako"wakimwambia bwana ASALI ISAH ambaye ni mkurugenzi wa tume
  Ngazi ya shirikisho yaani rais wa chuo kizima walikuwa wagombea wawili baada ya mmoja "kujiDovutwa"(kujitoa)mida ya mwisho,wagombea hao walikuwa ni :
  1.ABUBAKAR BASHE mdogo wake na H.BASHE ila wana udom kama walivyomwambia kuwa yeye ni Rostam group wamempiga chini tena kwa kishindo,pale maskini uccm umemponza maana Udom ya leo na CCM ni maadui
  2.GABRIEL DEBORA dada hasiye na jina kabisa ila ndiye kachaguliwa kwa kishindo
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ms kura si ndiyo zilizoamua..?
   
 3. SOKON 1

  SOKON 1 JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,114
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kwa waislamu huimizana kuchaguana wakiwa msikitini ni jambo la kawaida ila linapochukuliwa upande wa pili ni udini ila Waslamu wanajisahau kutofautisha uwezo wa mtu kuongoza na imani yake ndivyo inatupelekea kuleta udini.
  Kuhusu Bashe anastahili kutokuwa kiongozi sababu alishindwa kusoma alama za nyakati kwani familia yake na uhusiano na CCM na Rostam Aziz Ndicho kimemfanya akose kura na pia dini yake.
   
 4. MAYOO

  MAYOO JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  teh teh teh waislamu mnapenda kushika palipooza ndo maana hamuendelei. Eti sasa hivi ccm na uislam ni chanda na pete! Teh teh teh, wakipiga hatua wenzenu kwenda mbele nyie ndo mnarudi kule walikotoka teh teh teh. Kwa ufupi iyo kitu (ccm) ni used sana jamani haitowafikisha popote hasa ukizingatia mlivyonyuma kimaendeleo
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 453
  Trophy Points: 180
  MS mjumbe hauawi...mbona unakuwa hivi lakini....huyu ni messenger tu katuletea hapa tuone hali halisi ilivyo....shame !!
   
 6. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2011
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,643
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Hujui na hutaelewa jambo hata siku moja kwa usahihi hasa ukiwa irrational! Pole hayo yameanzia Msikitini yakaishia kwa wote kuwa wa mwisho!
   
 7. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hivi watanzania tunaelekea wapi, kwanini kila sehemu mnazungumzia udini tu... hii ni hatari sana, nawaambia hamfai kuwa chuo kikuu, wakati wenzetu wakenya na waganda wanaongelea maendeleo sisi udini... na mlaaniwe mpaka mshangae!!! :evil:
   
 8. LWAKAPISI

  LWAKAPISI Member

  #8
  May 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mie nimefanya kuwajuza hali halisi kwahiyo kuniita mimi mdini sion kam kuna ligic!!!AU MLITAKA TUNYAMAZE
   
 9. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Mkileta udini kwenye Elimu ya juu mtaaibika mbaya kwani mko only 20%. Kila siku tunawahimiza hapa kwenye jamvi kuwa geuzeni madrasa kuwa madarasa hamtaki, chagueni mufti ambaye angalau ni form 4 aweze kujua umuhimu wa kujenga mashule nyie mnamng'ang'ania wenu wa darasa la saba. Kaeni chonjo JK akitoka tunatimua akina Mlacha na Kikula kwa kuwa ndio chanzo cha udini. Chuo gani ukiomba kazi kwa jina la kiislam hata kama la uongo unapewa kazi hata kama hauna sifa, halafu mnajidanganye eti hela za waarabu. Kwanza tutaanza kuchunguza kama hakuna masomo ya ughaidi katika hicho mnachoita chuo chenu. Huyo mkristo aliyepigwa avumilie tu kwani wao wamemwaga damu ya Osama wiki hii kwa hiyo wana mihasira yao hao. Udini na uongozi wapi na wapi. We MS mbona hujawahi kugombea hata uenyekiti wa kitongoji?
   
 10. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,127
  Likes Received: 3,316
  Trophy Points: 280
  wewe malaria sugu si ulikuwa banned..ukalalamika kwenye gazeti la mwana halisi...naona kifungo kimeisha sasa..Teh! Teh! Teh!
   
 11. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapo penye nyekundu pana maswali mengi zaidi ya majibu, kumbe hiki chuo kinamashindano ya kidini.... mleta mada na wewe una tatizo pia!!
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,270
  Likes Received: 19,413
  Trophy Points: 280
  :bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange:so sad...udini upo hadi undeground?
   
 13. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,716
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 160
  mjadala mzima ni pumba tupu....

  nafasi akipata muislamu ni udini...akipata mkristo ni udini..akiwa muhindi ni ubaguzi wa rangi..akiwa mhaya, mchaga ni ukabila and the list goes on and on..

  shame on us na upambavu wetu...:A S cry:

  big up to mafisadi maana kinachowaweka pamoja ni common interest(money making) wako from dini tofauti, kabila tofauti na rangi tofauti na ni kwa sababu hiyo wataendelea kututawala kwa vile tumekhiyari ujinga badili ya werevu.
   
 14. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  chuo umeenda kukua wewe
  upo
  college ya education ndio
  maana mawazo yako yamekaa
  ki ualim ualimu 2 Na kama
  ungekua social science na juzi
  kama
  ungehudhuria public lecture ya
  prof issa shivji chimwaga hall
  usingepost hii status
  kabisaa
  na mambo kama haya
  kuyapost humu ni kukishushia
  hadhi chuo watu wanatuchora
  wanatuona wajinga kumbe
  wajinga mpo wachache
  mnaotafuta sifa za
  kizamani.ushaona vyuo vingine
  wana viherehere vya kupost
  humu kwani wenyewe hawana
  matukio? Mambo kama haya
  yaleteni udom chamber
  tuyajadili wanafunzi 2
   
 15. N

  Nancy70 Member

  #15
  May 8, 2011
  Joined: Dec 7, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huko tunakoelekea ni hatari tupu halafu tunajiita eti sisi hapa ni GREAT THINKERS..!! tutafika kweli.
   
 16. Acha Uvivu

  Acha Uvivu JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  na wewe hapo umembwela, unakubali kweli kampeni zinazoendeshwa kwa waraka wa Kiislamu. Acha Uvivu wa kufikiria, waraka na uchaguzi huru wapi na wapi?
   
 17. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  katika vilaza hapo chuoni wewe ni kilaza , kwa nini unataka umma husijue madudu ya hapo chuo, kwanza wewe unatakiwa kupingana na hoja na sio kupinga yeye kupost vitu hapo,
  naona wewe umeshazoe utumwa wa serikali kuwanyima watu taarifa,
  unapomwambi wengine hawana vielele hiyo ni kuongea kama KIBURUDISHO na sio THINK TANKER.
  ondoa mipasho hapa, nahisi hata huyo shivji ukumuelewa.
  haya masuhala ya DINI yapo inabidi serikali iyafanyie kazi maana wao ndio waasisi kwa kumuita DR SLAA padri hali wakijua yeye ni katibu mkuu wa chadema na sio padri tena, ccm walitumia hilo jina kutuma message kwa waislamu wasimchague lakini hakujua kutakuja kuwa na madhara ya kauli kama hizo, walichokuwa wanataka ni ikulu tu.

   
 18. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #18
  May 8, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ms nini kosa la alieleta hbr mpk kumwambia hvyo?. Otherwise 2jadil madhara ya udin ktk taifa letu kwan 2naelekea kuangamia
   
 19. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #19
  May 8, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  C vema kudharau taaluma ya mwenzio, wote tumefika hapa kutokana na walimu. Unamaanisha Mwl J. K nae hakua na mchango kwa taifa hli?y kila cku tunamquote kwa busara zake, am not a teacher by proffesional bt nawaheshim walimu. M nafanya shughul zangu pale UDOM na udini upo ni dhahr bila ya kificho.
   
 20. Engager

  Engager JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Natafuta mchumba
   
Loading...