kelvin_sigwa_1
Member
- Dec 6, 2016
- 41
- 24
Nilisoma UDOM katika college ya Natural and Math science, Bsc Physics. Baada ya kuona haina tija katika maish yangu nikaacha.
Nilichogundua nikwamba Chuo cha UDOM kipo kwa ajili ya urasimu na sio academics, ndio maana hakitoi wasomi bora.
Nilichogundua nikwamba Chuo cha UDOM kipo kwa ajili ya urasimu na sio academics, ndio maana hakitoi wasomi bora.